kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Ongeyeni yote kishingo ilikua mwisho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanamrudisha kweli ama fix tu. Kuna nafasi yake maana ma pro ni 12.Wamrudishe Gerson Fraga sina cha kuongeza sina cha kupunguza
Sijajua unabisha au unakubali. Kitendo cha kocha kuona kuwa timu yangu ina mapungufu fulani na mchezaji wangu fulani nikimuhamisha nikampa haya majukumu mapya na akayaweza basi huyo kocha ni mtaalamu hasa. Na kutengenezwa sijui wewe umetafsiri vipi kwa upeo wako. Kwangu mimi kutengenezwa maana yake ni kumpa mchezaji majukumu mapya uwanjani halafu unamjaribu kwenye viwanja vya mazoezi au mechi za kirafiki huku unampa maelekezo mbali mbali ni kwa namna gani wewe kocha unataka acheze ili akupe kile ambacho kinashindikana kwa "regular players" wa kila siku wa hiyo nafasi. Na ndicho kitu alikifanya Lentchantre kwa Kapombe. Kwa wanaomjua Kapombe muda mrefu ni "regular player" kwa nafasi ya beki wa pembeni au beki wa kati. Lakini Lentchantre alienda mbali zaidi kumtengeneza acheze namba 6 na wakati mwingine namba 8 ili apte matokeo anayoyahitaji kama kocha.Kapombe ni versatile toka muda mrefu hivyo hakukuwa na kutengeneza chochote pale
Wamchukue Bangala hapo YangaWanamrudisha kweli ama fix tu. Kuna nafasi yake maana ma pro ni 12.
Hapo kwa Akpan ndipo namlaumu kocha, naamini Akpan anaweza kucheza vizuri zaidi ya Mkude akiaminiwa na kupewa nafasi, kama kocha anampa nafasi mzungu wake anayeharibu kila siku, kwanini hampi Akpan tumuone?Kwanza mimi napingana na hoja zako zote.
1. Unasema kocha abadilike kwa kufungwa mechi moja tu na Yanga ? Si kweli Zoran aliaproach vizuri sana mechi ya Yanga first half na asingefanya mabadiliko kwenye second half wakati kikosi chake kilicheza vizuri kipindi cha kwanza.
Subs zake alifanya kwa nia njema kabisa ya kwenda kutunza mpira kwa kumuingiza Okwa na Okra alichokosea ni kumtoa Chama akamuacha Sakho, alitakiwa kumtoa Sakho amuache Chama.
2. Unasema Simba wanahitaji DM simba DM wanao zaidi ya watatu kikosini na wote wana quality kuliko timu yoyote ya ligi kuu. Akpan, Kanoute, Mkude na Mzamiru.
3. Unasema Simba wanahitaji replacement ya Prime Kanoute lini Kanoute alikuwa kwenye Prime yake ?
4. Mnataka mashabiki waachie ngazi kwa lipi? Kufungwa na Yanga mechi mbili mfululizo ? Are you serious shabiki wa namna hiyo ni shabiki maandazi and probably ni shabiki mamluki.
5. Anyway umesuggest Simba wamsajili DM wamwache nani waende wakamchukue nani ?
Hapa ajabu naona wengine wanamlaumu mpaka Inonga kama vile yeye ndie chanzo cha yale magoli tuliyofungwa..Goli la kwanza la Mayele ndiyo kosa la DM ila goli la pili lilikuwa kosa la timu nzima.
Hakuna aliyetrace back kwa strikers kumsumbua Dikson Job,
Kwenye midfield hakuna aliyefanya zone marking.
Defenders hakuna aliyenusa hatari ya mpira ule na kufanya interception in fact the whole team was in shambles.