Haya ya kwa wasiokuwa waislam. Waislam watu wa amani sasa

Haya ya kwa wasiokuwa waislam. Waislam watu wa amani sasa

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,722
Reaction score
15,117
Kuna kanisa leo kutwa nzima wanapiga kwaya tu tena kwa kutumia sauti za nje.
Wenyewe wapo majumbani lkn wameweka flush, licha ya leo.kuwa eid
Waislam watu wa amani sana, maana uvumulivu kwa dini nyengine haupo
 
Ila kwa namna mnavyokaa kimya kwenye utekaji na mauaji huku mkipongeza vitu vya kijinga, naona sasa bora Israel anavyowabonda.
Kumbe mpo hovyo namna hii?... Misikiti leo ilikua ikimpamba kwa maua na mashekhe hawakugusia neno haki zaidi sana waomba watu wakapige kura.... Kwa mwendo huu naona kabisa wapalestina wanauawa kwa sababu ya unafiki wenu wenyewe 😒
 
Kwani Kuna msikiti ambao haupigi achana siku ya pasaka? Mbona hoja zako ni kama upo kilabu cha pombe?
 
Sasa kila siku unaleta humu, unataka sisi tufanyaje? Washtaki sehemu husika. Ila naomba nyuma ya nyumba yako, pembeni na mbele kote kuwe na Makanisa. Mtu mdini hupewa kiboko yake, umeona inavyonoga eeh? Sikiliza mahubiri na nyimbo umuabudu Mungu wa Majeshi.

#NO REFORMS NO ELECTION.
#FREE TUNDU LISSU. ✌️
 
Kwani Kuna msikiti ambao haupigi achana siku ya pasaka? Mbona hoja zako ni kama upo kilabu cha pombe?
Tofauti na adhana 2 min na kwaya ya 24 hours. Bora ungalisema mauled na kwaya
 
Kwa nini huwa mnawashwa washwa na kukereka na ibada za wakristo mitaani? Huu ni ujuha. Nchi hii siku hizi kuna misikiti mingi mitaani mpaka maporini. Ikifika adhana ni kelele mji mzima mpaka wageni hudhani hili ni taifa la kiislam. Mbona wasio waislam hawalalamiki kwa kelele za adhana?
 
Yani haya mambo ya dini staki hata watoto wangu wayajue inafanya watu mazombie c mazombie yan ka zuzu kila mtu afate mambo yake over
 
Back
Top Bottom