Haya yanayotokea sasa ni Marudio yalishatokea. "NITAUFANYA MGUMU MOYO WA FARAO ....."

Chakaza

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
41,034
Reaction score
74,732
Hivi hawa Chadema kusema uchaguzi usifanyike hadi Reforms zifanyike ili uwe uchaguzi wa HAKI NA HURU ni kosa?
Sasa ona masahibu wanayopitia. Viongozi wao wanatekwa,kuuawa, kushambuliwa, sasa hivi wanazuiwa kusafiri, chama kinyimwa ruzuku, chama kimewekewa zuio haramu kufanya kazi, na kubwa kuliko yote Kiongozi mkuu kawekwa gerezani kiuonevu tuu kwa kesi mbaya sana.
Jee wanastahili hayo yote wakati wanayafanya kikatiba?
Hivi hao washauri wa Farao hawamshauri vizuri kuhusu hili au wao ndio wanachochea ili machafuko yatokee wakimbie wakafaidi rasilimali walizojichotea?
Au haya ni mapenzi ya MUNGU ili litimie analolitaka?
Maana Waisrael walipotaka kuondoka utumwani Misri Farao alikataa na kuongeza mapigo. Na demand ilipoongezeka Mungu naye akaufanya moyo wa Farao uwe mgumu ili aje ajidhihirishe na historia ije iandikwe!
Jee Farao wetu anaenda kuandika historia mpya baada ya moyo wake kufanywa mgumu?
 
Hivi kikatiba wajibu wa First Lady au First Gentleman nini hasa hadi awe analipwa kubwa na sasa hata pension?
Mie nadhani ni kumshauri Farao amuonapo anapotoka au kupotoshwa! Sidhani analipwa kwa kulala kitanda kimoja naye.
Jee makosa ya ma Farao inastahili nao tuwabebeshe lawama kwa kutowajibika?
 
Faraoh amesaidia kuipeleka No Reforms No Elections kwa wananchi. Sasa hivi asiyepata tiba hospitali anafahamu kwamba tunahitaji reforms, anaewekwa mahabusu kwa uonevu anafahamu tunahitaji reforms. Hata lile panga lililopita wilayani katika kinyang’anyiro cha ubunge limewaacha wengi wakitafakari kuhusu reforms.
 
Hivi hawa Chadema kusema uchaguzi usifanyike hadi Reforms zifanyike ili uwe uchaguzi wa HAKI NA HURU ni kosa?
Sasa ona masahibu wanayopitia. Viongozi wao wanatekwa,kuuawa, kushambuliwa, sasa hivi wanazuiwa kusafiri, chama kinyimwa ruzuku, chama kimewekewa zuio haramu kufanya kazi, na kubwa kuliko yote Kiongozi mkuu kawekwa gerezani kiuonevu tuu kwa kesi mbaya sana.
Jee wanastahili hayo yote wakati wanayafanya kikatiba?
Hivi hao washauri wa Farao hawamshauri vizuri kuhusu hili au wao ndio wanachochea ili machafuko yatokee wakimbie wakafaidi rasilimali walizojichotea?
Au haya ni mapenzi ya MUNGU ili litimie analolitaka?
Maana Waisrael walipotaka kuondoka utumwani Misri Farao alikataa na kuongeza mapigo. Na demand ilipoongezeka Mungu naye akaufanya moyo wa Farao uwe mgumu ili aje ajidhihirishe na historia ije iandikwe!
Jee Farao wetu anaenda kuandika historia mpya baada ya moyo wake kufanywa mgumu?
Calculation ya ccm na vibaraka wao waliotoka chadema ,walifikili yakifanyika aya kwa chadema mpya , basi Magoti yatapigwa , sasa wajue hakuna kubembeleza , hakuna kurudi nyuma, na chama kitavuka
 
Hivi kikatiba wajibu wa First Lady au First Gentleman nini hasa hadi awe analipwa kubwa na sasa hata pension?
Mie nadhani ni kumshauri Farao amuonapo anapotoka au kupotoshwa! Sidhani analipwa kwa kulala kitanda kimoja naye.
Jee makosa ya ma Farao inastahili nao tuwabebeshe lawama kwa kutowajibika?

Cha ajabu tangu aapishwe sijawahi kumwona akiambatana na First Gentleman wake .
Huenda angekua kama mfariji na mshauri wake mkuu . Lakini anaonekana ni mkorofi na hashauriki kwa aababu ya kufikiri madaraka yake yanamfanya kuwa kama Mungu .
 
Moja ya great thinker wangu wa kwanza kabisa kuwafuatilia humu jf ile miaka ya 2009 nikiwa guest humu
 
Hivi hawa Chadema kusema uchaguzi usifanyike hadi Reforms zifanyike ili uwe uchaguzi wa HAKI NA HURU ni kosa?
Sasa ona masahibu wanayopitia. Viongozi wao wanatekwa,kuuawa, kushambuliwa, sasa hivi wanazuiwa kusafiri, chama kinyimwa ruzuku, chama kimewekewa zuio haramu kufanya kazi, na kubwa kuliko yote Kiongozi mkuu kawekwa gerezani kiuonevu tuu kwa kesi mbaya sana.
Jee wanastahili hayo yote wakati wanayafanya kikatiba?
Hivi hao washauri wa Farao hawamshauri vizuri kuhusu hili au wao ndio wanachochea ili machafuko yatokee wakimbie wakafaidi rasilimali walizojichotea?
Au haya ni mapenzi ya MUNGU ili litimie analolitaka?
Maana Waisrael walipotaka kuondoka utumwani Misri Farao alikataa na kuongeza mapigo. Na demand ilipoongezeka Mungu naye akaufanya moyo wa Farao uwe mgumu ili aje ajidhihirishe na historia ije iandikwe!
Jee Farao wetu anaenda kuandika historia mpya baada ya moyo wake kufanywa mgumu?
Chura kiziwi ndiye pepo mchafu anauetakiwa kutolewa kwa viboko
 
Faraoh hakua binadam wa kawaida .
Tulishaambiwa na wanazuoni wakubwa wa kidini kuwa kuna watu wanaoa majini na kuzaa nayo watoto

Kwa hiyo bila shaka kabisa tunaishi au kutawaliwa au kuongozwa na Watu wenye vinasaba vya kijini . Hao sio watu wa kawaida na huo sio mpango wa Mungu kwa Mwanadamu.
Huo ni uzao wa Nyoka kama alivyokua Kaini .
Uzao wa Nyika unatawala kwa damu na haumthamini binadamu zaidi ya mali ,madaraka na kusujudiwa .

Ndio maana Mungu alimleta Yesu ambaye hakuzaliwa kwa mbegu za baba na mama bali kwa neno la Mungu kwa uwezo wa Roho Mtakatifu ili aje kwa ajili ya kuwashinda na kuangusha tawala za majini duniani ili binadamu aishi kwa haki na kwa amani .

Tumuombe sana Mungu ili ufalme wake uje na yale yanayofanyika mbinguni yafanyike na hapa duniani .

Mkonda sio muadilifu kama Gambo .
Mpina sio mtu wa kukosa nafasi ya Kuingia kwenye mchujo .
Biteko sio muadilifu kama Majaliwa .
Lukuvi ni muadilifu sana ila kosa lake hakutaka Zanzibar ipate uhuru kamili maana wataleta ugaidi . Ni kweli mana kule Zanzibar majini ni wengi wanaofugwa na kuolewa na kuzaa watoto.

Lisu hajawahi kuwa Mhalifu. Lisu hakuwahi kuwa Mwana usalama kuwa ameasi au kutoa siri za usalama kama walivyomuua Imrani Kombe . Lisu ni Mwanasiasa . Chadema ni chama cha siasa chenye uvumilivu mkubwa sana . Niliona kijana akiuawa na makada wa CCM wanaoitwa Watendaji kwa Kutuhumiwa tu kuiba komputer.
Hao ndio CCM wanaopewa madaraka kuua binadamu . Bila shaka CCM imejaa majini wengi sana nyonya damu .
 
Hapa napo kuna neno zito. Natamani mkuu Mshana Jr angesoma post hii hasa kuhusu haya mambo ya uzao wa Kaini nk na kutupa fikra zake.
 
Tutaa dika sana ila reform labda CCM wapende wenyewe, ila sio kwa hizi kelle za chura ambazo hazimzuii Ng'ombe kunywa maji
 
Hakuna shaka kabisa kuwa nchi ipo chini ya utawala wa ibilisi. Ndiyo maana baraza la maaskofu wametangaza mfungo na maomni maalum ya kumlilia Mungu wa haki ili ainasue nchi kutoka kwenye mamlaka ya shetani ambaye anawatumia mawakala wake kuwadhulumu haki wanadamu wa Tanganyika.
 
Hivi hawa Chadema kusema uchaguzi usifanyike hadi Reforms zifanyike ili uwe uchaguzi wa HAKI NA HURU ni kosa?
Sasa ona masahibu wanayopitia. Viongozi wao wanatekwa,kuuawa, kushambuliwa, sasa hivi wanazuiwa kusafiri, chama kinyimwa ruzuku, chama kimewekewa zuio haramu kufanya kazi, na kubwa kuliko yote Kiongozi mkuu kawekwa gerezani kiuonevu tuu kwa kesi mbaya sana.
Jee wanastahili hayo yote wakati wanayafanya kikatiba?
Hivi hao washauri wa Farao hawamshauri vizuri kuhusu hili au wao ndio wanachochea ili machafuko yatokee wakimbie wakafaidi rasilimali walizojichotea?
Au haya ni mapenzi ya MUNGU ili litimie analolitaka?
Maana Waisrael walipotaka kuondoka utumwani Misri Farao alikataa na kuongeza mapigo. Na demand ilipoongezeka Mungu naye akaufanya moyo wa Farao uwe mgumu ili aje ajidhihirishe na historia ije iandikwe!
Jee Farao wetu anaenda kuandika historia mpya baada ya moyo wake kufanywa mgumu?
Wakati wa Bwana ukifika umefika! Na Ili ufike matukio mengi hayana budi kutokea!
Kadri giza linavyokolea ndivyo asubuhi inavyokaribia!
Keep moving!
 
Hivi hawa Chadema kusema uchaguzi usifanyike hadi Reforms zifanyike ili uwe uchaguzi wa HAKI NA HURU ni kosa?
Sasa ona masahibu wanayopitia. Viongozi wao wanatekwa,kuuawa, kushambuliwa, sasa hivi wanazuiwa kusafiri, chama kinyimwa ruzuku, chama kimewekewa zuio haramu kufanya kazi, na kubwa kuliko yote Kiongozi mkuu kawekwa gerezani kiuonevu tuu kwa kesi mbaya sana.
Jee wanastahili hayo yote wakati wanayafanya kikatiba?
Hivi hao washauri wa Farao hawamshauri vizuri kuhusu hili au wao ndio wanachochea ili machafuko yatokee wakimbie wakafaidi rasilimali walizojichotea?
Au haya ni mapenzi ya MUNGU ili litimie analolitaka?
Maana Waisrael walipotaka kuondoka utumwani Misri Farao alikataa na kuongeza mapigo. Na demand ilipoongezeka Mungu naye akaufanya moyo wa Farao uwe mgumu ili aje ajidhihirishe na historia ije iandikwe!
Jee Farao wetu anaenda kuandika historia mpya baada ya moyo wake kufanywa mgumu?
89d9a31a-9397-47bf-8e1e-e5e754901a35.jpeg
 
Hapa napo kuna neno zito. Natamani mkuu Mshana Jr angesoma post hii hasa kuhusu haya mambo ya uzao wa Kaini nk na kutupa fikra zake.
Nimefika mkuu wangu ngoja niipitie. Ila kuna kavideo hapa nimekapenda
 
Faraoh hakua binadam wa kawaida .
Tulishaambiwa na wanazuoni wakubwa wa kidini kuwa kuna watu wanaoa majini na kuzaa nayo watoto

Kwa hiyo bila shaka kabisa tunaishi au kutawaliwa au kuongozwa na Watu wenye vinasaba vya kijini . Hao sio watu wa kawaida na huo sio mpango wa Mungu kwa Mwanadamu.
Huo ni uzao wa Nyoka kama alivyokua Kaini .
Uzao wa Nyika unatawala kwa damu na haumthamini binadamu zaidi ya mali ,madaraka na kusujudiwa .

Ndio maana Mungu alimleta Yesu ambaye hakuzaliwa kwa mbegu za baba na mama bali kwa neno la Mungu kwa uwezo wa Roho Mtakatifu ili aje kwa ajili ya kuwashinda na kuangusha tawala za majini duniani ili binadamu aishi kwa haki na kwa amani .

Tumuombe sana Mungu ili ufalme wake uje na yale yanayofanyika mbinguni yafanyike na hapa duniani .

Mkonda sio muadilifu kama Gambo .
Mpina sio mtu wa kukosa nafasi ya Kuingia kwenye mchujo .
Biteko sio muadilifu kama Majaliwa .
Lukuvi ni muadilifu sana ila kosa lake hakutaka Zanzibar ipate uhuru kamili maana wataleta ugaidi . Ni kweli mana kule Zanzibar majini ni wengi wanaofugwa na kuolewa na kuzaa watoto.

Lisu hajawahi kuwa Mhalifu. Lisu hakuwahi kuwa Mwana usalama kuwa ameasi au kutoa siri za usalama kama walivyomuua Imrani Kombe . Lisu ni Mwanasiasa . Chadema ni chama cha siasa chenye uvumilivu mkubwa sana . Niliona kijana akiuawa na makada wa CCM wanaoitwa Watendaji kwa Kutuhumiwa tu kuiba komputer.
Hao ndio CCM wanaopewa madaraka kuua binadamu . Bila shaka CCM imejaa majini wengi sana nyonya damu .
Lisu hajawahi kuwa Mhalifu. Lisu hakuwahi kuwa Mwana usalama kuwa ameasi au kutoa siri za usalama kama walivyomuua Imrani Kombe . Lisu ni Mwanasiasa . Chadema ni chama cha siasa chenye uvumilivu mkubwa sana . Niliona kijana akiuawa na makada wa CCM wanaoitwa Watendaji kwa Kutuhumiwa tu kuiba komputer.
Hao ndio CCM wanaopewa madaraka kuua binadamu . Bila shaka CCM imejaa majini wengi sana nyonya damu

Back
Top Bottom