Teh teh teh...JPM amebakiza miaka 7 ya kutawala Tz.
Muhimu jitahidini thread za JPM ziwe fupifupi maana miaka 7 ni mingi mnaweza pumzi ikakata
Sent using Jamii Forums mobile app
Amefeli kwenye nini kwa mfano?Vipi kuhusu kufeli kunakosemwa , amesingiziwa ?
JPM amebakiza miaka 7 ya kutawala Tz.
Muhimu jitahidini thread za JPM ziwe fupifupi maana miaka 7 ni mingi mnaweza pumzi ikakata
Sent using Jamii Forums mobile app
soma tena uzi ueleweAmefeli kwenye nini kwa mfano?
Maana stiegler gorge tokea ianze kutekelezwa miezi sita haijafika na mradi wa miaka mitatu,utasema umefeli au unaombea afeli?
Na akifeli wewe utafaidika na nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jitahidi uwe unasoma mada na kuielewa kabla ya kukimbilia kutoa mapovu. Mbona mada inaeleweka hata kwa std 4 wa st. kayumbaAmefeli kwenye nini kwa mfano?
Maana stiegler gorge tokea ianze kutekelezwa miezi sita haijafika na mradi wa miaka mitatu,utasema umefeli au unaombea afeli?
Na akifeli wewe utafaidika na nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini unajidanganya?...Rais Magufuli amefeli kila jambo...
Zezeta lengingine hili apa!Amefeli kwenye nini kwa mfano?
Maana stiegler gorge tokea ianze kutekelezwa miezi sita haijafika na mradi wa miaka mitatu,utasema umefeli au unaombea afeli?
Na akifeli wewe utafaidika na nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawezi bakiwa na miaka 7; kwani 2020 anaondoka ; na Mimi ndie nitakayemuondoa kupitia ccm pale chimwaga mjini dodoma.JPM amebakiza miaka 7 ya kutawala Tz.
Muhimu jitahidini thread za JPM ziwe fupifupi maana miaka 7 ni mingi mnaweza pumzi ikakata
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema iwapo Mungu atampa uhai kwani uhai wake una guarantee?Waliambiwa hii ni nguvu ya gongo sio ya mirinda wala pepsi, wakabisha. Sasa walichobakiwa nacho ndio huu uwezo wa kuanzisha threads zisizo na kichwa wala miguu.
Huyu Ngosha tunae mpaka 2025 iwapo Mungu atatupa uhai.
Hakuna mazuri; huyu bana amevuruga sana uchumi wa nchi na uchumi wa wananchi hivyo hata sisi wana ccm hatumtaki sema wengi wetu ni waoga na tunatetea matumbo yetu endapo tukimpinga unajua hasira/visasi vya huyu jamaaa.Uzushi mtupu .mnaombea mabaya wakati mazuri yanakuja
Amefanikiwa kulipa mishahara kwa watumishi kwa wakati muafaka.Sijui ilianza sukari, uhakiki, kodi za hovyo, makinikia, mbaazi, korosho, ndege vyote hivyo Rais wetu anashindwa vibaya sana na hii ni kutokana na one man show.
Ngoja niwapeni kuhusu mbaazi. Aliyekuwa msambazaji mkuu wa zao hilo kule kwa wahindi alikuwa Yusuph Manji. Serikali ikampiga stop kisha waziri wa kilimo akaenda huko kudai kuwa sasa atakayekuwa msambazaji mkuu wa mbaazi kwao ni serikali ya Tanzania badala ya Yusuph Manji. Akajibiwa kama ni hivyo basi hata hizo mbaazi zenu hatuzitaki tena. Soko likaenda shimoni.
Kaenda kwenye makinikia kisha sasa wanatoa kinyemela kupeleka Japan kusafisha. Matokeo yake mategemeo yao yamekuwa sifuri na imekuja hasara ya kufa mtu.
Rais Magufuli amefeli kila jambo. Sasa kuna mradi mmoja huko nyanda za juu wa umeme unaojulikana kama Stiglers Gorge. Huu mradi kwanza huo umeme tunaoambiwa kuwa tutapata hautofikia hata nusu yake. Mradi ukikamilika pamoja na kutumia fedha nyingi sana za ndani (maana nje tumenyimwa) utaenda kuwa msiba kwa mazingira, hasara ya mradi husika na hatimaye utatuletea umeme wa kusuasua. Tusubiri tuone! Wapi amewahi kufanikiwa? Mbona wenzake wote hawakuthubutu kuugusa? Si ulikuwepo? Haya tuone ila hajawahi kufanikiwa.
Ngoja niishie hapo maana mtu unaweza kula kifungo cha maisha jela kutokana na uhochezi na hakimu akapewa "promosheni" mchana peupeeee! Mambo ni vululu vululu ukiugusa utawala na dola ni kifungo cha kufa mtu.
Uzushi mtupu .mnaombea mabaya wakati mazuri yanakuja
Na itamkaa sawa pale atakapoona 2020 watu wamemgeuka pale chimwaga ukumbini ili hali yeye ni mwenyekiti wa chama chetu.Ule usemi aliokuwa anapenda kuusema "Tuna hela" naona umepungua sasa hv, nadhani akili imeanza kumkaa sawa!!!!
Mwisho ni 2020; nitakuwa mgombea mpinzani wa huyu jiwe ndani ya chama. Japo najua upo chama kile but so long as najua misimamo yako nitakukumbuka katika ufalme hapo magogoni.....hahahahaZidumu fikra za mwenyekiti wa chama
Hata kupika chai na kukuletea ofisini, mradi jina langu liko kwenye payroll niachane na kupika chapati.Mwisho ni 2020; nitakuwa mgombea mpinzani wa huyu jiwe ndani ya chama. Japo najua upo chama kile but so long as najua misimamo yako nitakukumbuka katika ufalme hapo magogoni.....hahahaha
It sounds like a joke but we have to wait, muda utakuwa hakimu mzuri