Haya yote aliyofeli Rais Magufuli ni madogo sana, mradi wa Stiglers Gorge ndiyo utakuwa tsunami kwenye kushindwa!

Hakuna mazuri; huyu bana amevuruga sana uchumi wa nchi na uchumi wa wananchi hivyo hata sisi wana ccm hatumtaki sema wengi wetu ni waoga na tunatetea matumbo yetu endapo tukimpinga unajua hasira/visasi vya huyu jamaaa.
Pumbafu we sio CCM acha kujichetua..JPM atosha mpk 2025 utake usitake shauri yako
 
Uliposema kuhusu zile hostel za Mlimani kuwa zimejengwa chini ya kiwango walikushambulia haswaaaa, zilipoanza kupata nyufa wakatulia.

Na hili ulisemalo pia ni muda tu, muda utaongea na tutarudia mjadala kwenye hii THREAD
 
Sijui ilianza sukari, uhakiki, kodi za hovyo, makinikia, mbaazi, korosho, ndege vyote hivyo Rais wetu anashindwa vibaya sana na hii ni kutokana na one man show.

Ngoja niwapeni kuhusu mbaazi. Aliyekuwa msambazaji mkuu wa zao hilo kule kwa wahindi alikuwa Yusuph Manji. Serikali ikampiga stop kisha waziri wa kilimo akaenda huko kudai kuwa sasa atakayekuwa msambazaji mkuu wa mbaazi kwao ni serikali ya Tanzania badala ya Yusuph Manji. Akajibiwa kama ni hivyo basi hata hizo mbaazi zenu hatuzitaki tena. Soko likaenda shimoni.

Kaenda kwenye makinikia kisha sasa wanatoa kinyemela kupeleka Japan kusafisha. Matokeo yake mategemeo yao yamekuwa sifuri na imekuja hasara ya kufa mtu.

Rais Magufuli amefeli kila jambo. Sasa kuna mradi mmoja huko nyanda za juu wa umeme unaojulikana kama Stiglers Gorge. Huu mradi kwanza huo umeme tunaoambiwa kuwa tutapata hautofikia hata nusu yake. Mradi ukikamilika pamoja na kutumia fedha nyingi sana za ndani (maana nje tumenyimwa) utaenda kuwa msiba kwa mazingira, hasara ya mradi husika na hatimaye utatuletea umeme wa kusuasua. Tusubiri tuone! Wapi amewahi kufanikiwa? Mbona wenzake wote hawakuthubutu kuugusa? Si ulikuwepo? Haya tuone ila hajawahi kufanikiwa.

Ngoja niishie hapo maana mtu unaweza kula kifungo cha maisha jela kutokana na uhochezi na hakimu akapewa "promosheni" mchana peupeeee! Mambo ni vululu vululu ukiugusa utawala na dola ni kifungo cha kufa mtu.
Mkwele aliposema nawaleteeni Chuma, Sasa chuma kinaonekana, Wapinzani wa JPM wapokatika wakati mgumu maana hawana pakushika, waliyosema hayawezekani yeye anaelekea kuyamaliza kabla ya miaka mitano ya kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pumbafu we sio CCM acha kujichetua..JPM atosha mpk 2025 utake usitake shauri yako
Kaka samahani kama nimekukwaza,

I assure bro, mimi ni ccm pure lakini sio ccm mbumbu! Najielewa na pia najua haki ya watanzania. Naumia sana kuona nchi yangu ikiteketea kwa ujinga wa kumuogopa mtu mmoja.

As I told, tukutane 2020 dodoma ofisi ndogo ya ccm pale wakati nachukua form; utakaposikia kuna mtu mmoja amejitokeza kuchukua form ya kugombea urais kupitia ccm akimpinga jiwe wala usijiulize mara mbili...tambua ni mimi uliyenitukana hapo juu.
 
Amefeli kwenye nini kwa mfano?

Maana stiegler gorge tokea ianze kutekelezwa miezi sita haijafika na mradi wa miaka mitatu,utasema umefeli au unaombea afeli?

Na akifeli wewe utafaidika na nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Anaombea ifeili ili apate nini?Mimi nilifikiri wivu wa mwanaume ni kupata maendeleo,kumbe umegeuka roho mbaya?
Watu sampuli hiyo wanatakiwa kusamehewa kwani hawajui wanalosema.
 
Facts mkuu.

Nakubaliana na wewe kwamba wivu wa maendeleo tu. Wasamehewe tu maana kwenye msafara wa mamba na kenge wapo.

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Mwisho ni 2020; nitakuwa mgombea mpinzani wa huyu jiwe ndani ya chama. Japo najua upo chama kile but so long as najua misimamo yako nitakukumbuka katika ufalme hapo magogoni.....hahahaha

It sounds like a joke but we have to wait, muda utakuwa hakimu mzuri
Mwenye wabunge wengi ndio mwamba,Raisi bila wabunge ataondelewa.
Lakini kwa akili za hesabu ya kawaida karibu mara zote Raisi ametoka kwenye chama chenye wabunge wengi.
 
Kaka samahani kama nimekukwaza,

I assure bro, mimi ni ccm pure lakini sio ccm mbumbu! Najielewa na pia najua haki ya watanzania. Naumia sana kuona nchi yangu ikiteketea kwa ujinga wa kumuogopa mtu mmoja.

As I told, tukutane 2020 dodoma ofisi ndogo ya ccm pale wakati nachukua form; utakaposikia kuna mtu mmoja amejitokeza kuchukua form ya kugombea urais kupitia ccm akimpinga jiwe wala usijiulize mara mbili...tambua ni mimi uliyenitukana hapo juu.
Acha upumbafu JPM Ni mpaka 2025..subiri mpk 2025 ndo ukachukue form
Hapa kazi TU
Kidumu chama Cha mapinduzi
Kama wewe hujamwelewa Rais Basi ni wewe kivyako.wengine tunamwelewa na tunamkubali.hatuyumbishwi na upuuzi wa watu wasiojua ukweli.takwimu halisi za uchumi zinaonyesha uchumi unapanda aasa sijui we unachobishia Ni nn
 
yaani wamisri watoke makwao waache wake zao waje kujenga mradi utakaofeli...

chadema hamjui mnachotaka.. mmeishia kupinga kila kitu..

reliii ilee imeshaaamka.... haya umeme nao huooooo unakujaaaaa

Wewe nawe wa ajabu kweli!!

Wachina walitoka China miles nyingi kujenga mradi wa bomba la gesi na project ikafeli dramatically, leo waarabu wa "zero mile" wanalipi la kuweza...??

Watu wa CCM kina Jakaya Kikwete na wenzake akiwemo Magufuli wakaiba na mradi uko wapi?

Ahadi ya umeme bwerere ikawa ahadi hewa na leo mnakuja na project nyingine eti ya Stiglers Gorge...

Wewe ndiyo thibitisha ni kwa kiasi tuwaamini kuwa mtafanikisha mradi huu??

Usivyoelewa, si ajabu ukasema ni kwa sababu tuna Rais "Zero Brain" Jiwe aka Jum.a Pumba Ma.harage akisaidiwa na "Zero Brain2" aka Daud Albert Bashite....!!
 
Sijui ilianza sukari, uhakiki, kodi za hovyo, makinikia, mbaazi, korosho, ndege vyote hivyo Rais wetu anashindwa vibaya sana na hii ni kutokana na one man show.

Ngoja niwapeni kuhusu mbaazi. Aliyekuwa msambazaji mkuu wa zao hilo kule kwa wahindi alikuwa Yusuph Manji. Serikali ikampiga stop kisha waziri wa kilimo akaenda huko kudai kuwa sasa atakayekuwa msambazaji mkuu wa mbaazi kwao ni serikali ya Tanzania badala ya Yusuph Manji. Akajibiwa kama ni hivyo basi hata hizo mbaazi zenu hatuzitaki tena. Soko likaenda shimoni.

Kaenda kwenye makinikia kisha sasa wanatoa kinyemela kupeleka Japan kusafisha. Matokeo yake mategemeo yao yamekuwa sifuri na imekuja hasara ya kufa mtu.

Rais Magufuli amefeli kila jambo. Sasa kuna mradi mmoja huko nyanda za juu wa umeme unaojulikana kama Stiglers Gorge. Huu mradi kwanza huo umeme tunaoambiwa kuwa tutapata hautofikia hata nusu yake. Mradi ukikamilika pamoja na kutumia fedha nyingi sana za ndani (maana nje tumenyimwa) utaenda kuwa msiba kwa mazingira, hasara ya mradi husika na hatimaye utatuletea umeme wa kusuasua. Tusubiri tuone! Wapi amewahi kufanikiwa? Mbona wenzake wote hawakuthubutu kuugusa? Si ulikuwepo? Haya tuone ila hajawahi kufanikiwa.

Ngoja niishie hapo maana mtu unaweza kula kifungo cha maisha jela kutokana na uhochezi na hakimu akapewa "promosheni" mchana peupeeee! Mambo ni vululu vululu ukiugusa utawala na dola ni kifungo cha kufa mtu.

Mkuu unaandika haya kutokana na utaalamu,ubobezi na ujuzi wako katika hili jambo au unaongozwa na hisia na matamanio yako tu?
 
Bora upigwe kifungo cha maisha kuliko risasi ipigwe hewani halafu itue kwenye kisogo au kifua chako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiwe nchi imeshamshinda anazuga tu ,hata waliompa huo urais wanajuta , sasa si atuachie nchi yetu aende zake kwao .
 
JPM amebakiza miaka 7 ya kutawala Tz.
Muhimu jitahidini thread za JPM ziwe fupifupi maana miaka 7 ni mingi mnaweza pumzi ikakata

Sent using Jamii Forums mobile app

Linazungumzwa lingine unajibu lingine, hiyo listi imetajwa hapo kwa vitu alivyofeli amesingiziwa au amefeli kweli?
 
Acha upumbafu JPM Ni mpaka 2025..subiri mpk 2025 ndo ukachukue form
Hapa kazi TU
Kidumu chama Cha mapinduzi
Kama wewe hujamwelewa Rais Basi ni wewe kivyako.wengine tunamwelewa na tunamkubali.hatuyumbishwi na upuuzi wa watu wasiojua ukweli.takwimu halisi za uchumi zinaonyesha uchumi unapanda aasa sijui we unachobishia Ni nn

Umesema?
 
Sijui ilianza sukari, uhakiki, kodi za hovyo, makinikia, mbaazi, korosho, ndege vyote hivyo Rais wetu anashindwa vibaya sana na hii ni kutokana na one man show.

Ngoja niwapeni kuhusu mbaazi. Aliyekuwa msambazaji mkuu wa zao hilo kule kwa wahindi alikuwa Yusuph Manji. Serikali ikampiga stop kisha waziri wa kilimo akaenda huko kudai kuwa sasa atakayekuwa msambazaji mkuu wa mbaazi kwao ni serikali ya Tanzania badala ya Yusuph Manji. Akajibiwa kama ni hivyo basi hata hizo mbaazi zenu hatuzitaki tena. Soko likaenda shimoni.

Kaenda kwenye makinikia kisha sasa wanatoa kinyemela kupeleka Japan kusafisha. Matokeo yake mategemeo yao yamekuwa sifuri na imekuja hasara ya kufa mtu.

Rais Magufuli amefeli kila jambo. Sasa kuna mradi mmoja huko nyanda za juu wa umeme unaojulikana kama Stiglers Gorge. Huu mradi kwanza huo umeme tunaoambiwa kuwa tutapata hautofikia hata nusu yake. Mradi ukikamilika pamoja na kutumia fedha nyingi sana za ndani (maana nje tumenyimwa) utaenda kuwa msiba kwa mazingira, hasara ya mradi husika na hatimaye utatuletea umeme wa kusuasua. Tusubiri tuone! Wapi amewahi kufanikiwa? Mbona wenzake wote hawakuthubutu kuugusa? Si ulikuwepo? Haya tuone ila hajawahi kufanikiwa.

Ngoja niishie hapo maana mtu unaweza kula kifungo cha maisha jela kutokana na uhochezi na hakimu akapewa "promosheni" mchana peupeeee! Mambo ni vululu vululu ukiugusa utawala na dola ni kifungo cha kufa mtu.
Nadhani ww unamchukia hata wazai wako kwa kukuleta Duniani!!!
 
Back
Top Bottom