Haya yote aliyofeli Rais Magufuli ni madogo sana, mradi wa Stiglers Gorge ndiyo utakuwa tsunami kwenye kushindwa!

Sijui ilianza sukari, uhakiki, kodi za hovyo, makinikia, mbaazi, korosho, ndege vyote hivyo Rais wetu anashindwa vibaya sana na hii ni kutokana na one man show.

Ngoja niwapeni kuhusu mbaazi. Aliyekuwa msambazaji mkuu wa zao hilo kule kwa wahindi alikuwa Yusuph Manji. Serikali ikampiga stop kisha waziri wa kilimo akaenda huko kudai kuwa sasa atakayekuwa msambazaji mkuu wa mbaazi kwao ni serikali ya Tanzania badala ya Yusuph Manji. Akajibiwa kama ni hivyo basi hata hizo mbaazi zenu hatuzitaki tena. Soko likaenda shimoni.

Kaenda kwenye makinikia kisha sasa wanatoa kinyemela kupeleka Japan kusafisha. Matokeo yake mategemeo yao yamekuwa sifuri na imekuja hasara ya kufa mtu.

Rais Magufuli amefeli kila jambo. Sasa kuna mradi mmoja huko nyanda za juu wa umeme unaojulikana kama Stiglers Gorge. Huu mradi kwanza huo umeme tunaoambiwa kuwa tutapata hautofikia hata nusu yake. Mradi ukikamilika pamoja na kutumia fedha nyingi sana za ndani (maana nje tumenyimwa) utaenda kuwa msiba kwa mazingira, hasara ya mradi husika na hatimaye utatuletea umeme wa kusuasua. Tusubiri tuone! Wapi amewahi kufanikiwa? Mbona wenzake wote hawakuthubutu kuugusa? Si ulikuwepo? Haya tuone ila hajawahi kufanikiwa.

Ngoja niishie hapo maana mtu unaweza kula kifungo cha maisha jela kutokana na uhochezi na hakimu akapewa "promosheni" mchana peupeeee! Mambo ni vululu vululu ukiugusa utawala na dola ni kifungo cha kufa mtu.
Nonsense!
 
yaani wamisri watoke makwao waache wake zao waje kujenga mradi utakaofeli...
chadema hamjui mnachotaka.. mmeishia kupinga kila kitu..
reliii ilee imeshaaamka.... haya umeme nao huooooo unakujaaaaa
. unapojenga uchumi wa nchi bila kuzingatia kwanza uchumi wa watu, unajiundia matatizo ya uharibifu wa huo uchumi wa nchi. Watu wenye njaa wanafungua vyuma na taa mabarabarani wakauze vyuma chakavu. Tusisubiri kuwapigisha kwata bw kwenye reli, imarisha uchumi wa watu kwanza.
 
Sijui ilianza sukari, uhakiki, kodi za hovyo, makinikia, mbaazi, korosho, ndege vyote hivyo Rais wetu anashindwa vibaya sana na hii ni kutokana na one man show.

Ngoja niwapeni kuhusu mbaazi. Aliyekuwa msambazaji mkuu wa zao hilo kule kwa wahindi alikuwa Yusuph Manji. Serikali ikampiga stop kisha waziri wa kilimo akaenda huko kudai kuwa sasa atakayekuwa msambazaji mkuu wa mbaazi kwao ni serikali ya Tanzania badala ya Yusuph Manji. Akajibiwa kama ni hivyo basi hata hizo mbaazi zenu hatuzitaki tena. Soko likaenda shimoni.

Kaenda kwenye makinikia kisha sasa wanatoa kinyemela kupeleka Japan kusafisha. Matokeo yake mategemeo yao yamekuwa sifuri na imekuja hasara ya kufa mtu.

Rais Magufuli amefeli kila jambo. Sasa kuna mradi mmoja huko nyanda za juu wa umeme unaojulikana kama Stiglers Gorge. Huu mradi kwanza huo umeme tunaoambiwa kuwa tutapata hautofikia hata nusu yake. Mradi ukikamilika pamoja na kutumia fedha nyingi sana za ndani (maana nje tumenyimwa) utaenda kuwa msiba kwa mazingira, hasara ya mradi husika na hatimaye utatuletea umeme wa kusuasua. Tusubiri tuone! Wapi amewahi kufanikiwa? Mbona wenzake wote hawakuthubutu kuugusa? Si ulikuwepo? Haya tuone ila hajawahi kufanikiwa.

Ngoja niishie hapo maana mtu unaweza kula kifungo cha maisha jela kutokana na uhochezi na hakimu akapewa "promosheni" mchana peupeeee! Mambo ni vululu vululu ukiugusa utawala na dola ni kifungo cha kufa mtu.
Ukisemaa ukweli utapewa kila jina baya, mchochezi, msaliti, mpiga dili, kibaraka etc.

Na watu ambao hata hawajui maudhui ya "Confessions of An Economic Hitman" cha John Perkins.

Siku hizi sitaki kubishana sana, nataja vitabu tu vinavyoelezea haya mambo kwa kina zaidi.
 
Bora tungejikita kwenye Wind power au Solar kwa kweli
Duniani kote wamewekeza kwenye solar na kwa sasa Morocco anaongoza
China, Egypt na hata Dubai wameamua
 
mhn! wacha si vilaza katika haya mavitu tusubiri matokeo na hasa ya kushuka bei ya umeme mengine yahatuhusu sana tushachoka kuweka majiko ya umeme tuliyozawadiwa na kamati za harusi kama zawadi ya kamati baada ya kuzipiga na kugawana kwenye kamati.
 
Sijui ilianza sukari, uhakiki, kodi za hovyo, makinikia, mbaazi, korosho, ndege vyote hivyo Rais wetu anashindwa vibaya sana na hii ni kutokana na one man show.

Ngoja niwapeni kuhusu mbaazi. Aliyekuwa msambazaji mkuu wa zao hilo kule kwa wahindi alikuwa Yusuph Manji. Serikali ikampiga stop kisha waziri wa kilimo akaenda huko kudai kuwa sasa atakayekuwa msambazaji mkuu wa mbaazi kwao ni serikali ya Tanzania badala ya Yusuph Manji. Akajibiwa kama ni hivyo basi hata hizo mbaazi zenu hatuzitaki tena. Soko likaenda shimoni.

Kaenda kwenye makinikia kisha sasa wanatoa kinyemela kupeleka Japan kusafisha. Matokeo yake mategemeo yao yamekuwa sifuri na imekuja hasara ya kufa mtu.

Rais Magufuli amefeli kila jambo. Sasa kuna mradi mmoja huko nyanda za juu wa umeme unaojulikana kama Stiglers Gorge. Huu mradi kwanza huo umeme tunaoambiwa kuwa tutapata hautofikia hata nusu yake. Mradi ukikamilika pamoja na kutumia fedha nyingi sana za ndani (maana nje tumenyimwa) utaenda kuwa msiba kwa mazingira, hasara ya mradi husika na hatimaye utatuletea umeme wa kusuasua. Tusubiri tuone! Wapi amewahi kufanikiwa? Mbona wenzake wote hawakuthubutu kuugusa? Si ulikuwepo? Haya tuone ila hajawahi kufanikiwa.

Ngoja niishie hapo maana mtu unaweza kula kifungo cha maisha jela kutokana na uhochezi na hakimu akapewa "promosheni" mchana peupeeee! Mambo ni vululu vululu ukiugusa utawala na dola ni kifungo cha kufa mtu.
Ngoja nikujibu hili la stigler ndo tamu hayo mengine sina takwimu, siku nyingine jitahidi uje na takwimu za kitaalamu zinazopelekea huo mradi kufeli, jitahidi ufike pale kisaki utembetembee huku ukitafuta namna ya kuingia kule mradi ulipo halafu ufanye tathimini zako za kihandisi na kijiolojia amabazo zitakupa muongozo vyema wa hoja yako ya huo mradi kufeli. jitahidi pia kutafuta hata mpango kazi wa huo mradi pamoja na ripoti ya mazingira na madhara yake kisha ipitie vizuri na zile mitigation zake,pia jielimishe ni hekali ngapi zitatumika kwa ajili ya miundo hiyo kisha hizo hekali zitafute ni asilimia ngapi za mbuga nzima. ukitoka hapo safiri uende kihansi na kidatu omba picha za enzi miradi hiyo ilipokua inajengwa jinsi eneo lilivyofyekwa na uone leo hilo eneo lilivyo baada ya kuliludishia kama awali. hizi chuki binafsi za kujenga hoja kuanzia kwenye vitu vingine ili upate vihisishi kwa wengine kwa kuhitimisha kwenye hoja nyingine ili upotoshe kwa maslahi yako huo sio uungwana hata kidogo. hivi umewahi fanya tafiti ndogo tu juu ya gharama za umeme zinavyzalishwa kutoka ktk vyazo mbalimbali? hujionei huruma kuhusu kesho yako wewe au wanao kuendelea kuumia na gharama kubwa za leo za uniti za umeme. mambo mengine mkuu usiruhusu chuki zako zikaendesha hadi mambo ya msingi ya kitaifa.
Ubarikiwe sana
 
First US$340 million project under the Great Lakes Regional Initiative

WASHINGTON, August 6, 2013 – The World Bank’s Board of Executive Directors today approved US$340 million for the Regional Rusumo Falls Hydroelectric Project which aims to benefit people in Burundi, Rwanda and Tanzania. This project is the first operation under the World Bank Group Great Lakes Regional Initiative inaugurated by World Bank Group President Jim Yong Kim during his historic joint visit with UN Secretary General Ban Ki-moon in May 2013.

The overall project cost is US$468.60 million and its eventual 80 megawatt generation capacity will boost reliable power supply to the electricity grids of Burundi, Rwanda and Tanzania, reduce electricity costs, promote renewable power, spur job-led economic development and pave the way for more dynamic regional cooperation, peace and stability among the countries of the Nile Equatorial Lakes (NEL) sub-region in east Africa.

Hii ilikuwa ni press release ya World Bank

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE
Sasa bwana mkubwa kwani Rusumo ni project inayogharamiwa na Tanzania peke yake? au scope ya mradi huo huu jui? hebu isome vizuri hiyo press realese hadi mwisho ili uone mgawanyo wa mkopo huo ulivyo katika hizo nchi tatu, pia ingia google uulize construction cost per MW for Hydropower Electricity ni bei gani. na kama ukiamua utumie bando zako vyema jifunze running cost za Hydropower versus other source of power. ukitoka hapo soma soma financial and economic analysis za hydropower ukilinganisha na source zingine.ukienda na kujifunza haya natumai bando zako utakua unazitendea vyema na pia utakua umejieleimisha vya kutosha
 
Kwani kupanda kwa bei za unit za umeme kunatokana na nini? Ungetujibu hilo swali kwanza, ili tuanze kujadili mada zako.
 
Sijui ilianza sukari, uhakiki, kodi za hovyo, makinikia, mbaazi, korosho, ndege vyote hivyo Rais wetu anashindwa vibaya sana na hii ni kutokana na one man show.

Ngoja niwapeni kuhusu mbaazi. Aliyekuwa msambazaji mkuu wa zao hilo kule kwa wahindi alikuwa Yusuph Manji. Serikali ikampiga stop kisha waziri wa kilimo akaenda huko kudai kuwa sasa atakayekuwa msambazaji mkuu wa mbaazi kwao ni serikali ya Tanzania badala ya Yusuph Manji. Akajibiwa kama ni hivyo basi hata hizo mbaazi zenu hatuzitaki tena. Soko likaenda shimoni.

Kaenda kwenye makinikia kisha sasa wanatoa kinyemela kupeleka Japan kusafisha. Matokeo yake mategemeo yao yamekuwa sifuri na imekuja hasara ya kufa mtu.

Rais Magufuli amefeli kila jambo. Sasa kuna mradi mmoja huko nyanda za juu wa umeme unaojulikana kama Stiglers Gorge. Huu mradi kwanza huo umeme tunaoambiwa kuwa tutapata hautofikia hata nusu yake. Mradi ukikamilika pamoja na kutumia fedha nyingi sana za ndani (maana nje tumenyimwa) utaenda kuwa msiba kwa mazingira, hasara ya mradi husika na hatimaye utatuletea umeme wa kusuasua. Tusubiri tuone! Wapi amewahi kufanikiwa? Mbona wenzake wote hawakuthubutu kuugusa? Si ulikuwepo? Haya tuone ila hajawahi kufanikiwa.

Ngoja niishie hapo maana mtu unaweza kula kifungo cha maisha jela kutokana na uhochezi na hakimu akapewa "promosheni" mchana peupeeee! Mambo ni vululu vululu ukiugusa utawala na dola ni kifungo cha kufa mtu.
Samahani lakini ila vinasaba vyako sio vya mtanzania. Umetumwa?
 
First US$340 million project under the Great Lakes Regional Initiative

WASHINGTON, August 6, 2013 – The World Bank’s Board of Executive Directors today approved US$340 million for the Regional Rusumo Falls Hydroelectric Project which aims to benefit people in Burundi, Rwanda and Tanzania. This project is the first operation under the World Bank Group Great Lakes Regional Initiative inaugurated by World Bank Group President Jim Yong Kim during his historic joint visit with UN Secretary General Ban Ki-moon in May 2013.

The overall project cost is US$468.60 million and its eventual 80 megawatt generation capacity will boost reliable power supply to the electricity grids of Burundi, Rwanda and Tanzania, reduce electricity costs, promote renewable power, spur job-led economic development and pave the way for more dynamic regional cooperation, peace and stability among the countries of the Nile Equatorial Lakes (NEL) sub-region in east Africa.

Hii ilikuwa ni press release ya World Bank

Sent using Jamii Forums mobile app
80MGW kwa gharama zote hizo mmmmmh kumbe sasa 2100MGW ni lundo la hela kwa sababu

80MGW~1tr
2100MGW~? crossmultplication

(2100MGW×1tr)÷80MGW=26.25trillions mmmh sio poa
 
Sijui ilianza sukari, uhakiki, kodi za hovyo, makinikia, mbaazi, korosho, ndege vyote hivyo Rais wetu anashindwa vibaya sana na hii ni kutokana na one man show.

Ngoja niwapeni kuhusu mbaazi. Aliyekuwa msambazaji mkuu wa zao hilo kule kwa wahindi alikuwa Yusuph Manji. Serikali ikampiga stop kisha waziri wa kilimo akaenda huko kudai kuwa sasa atakayekuwa msambazaji mkuu wa mbaazi kwao ni serikali ya Tanzania badala ya Yusuph Manji. Akajibiwa kama ni hivyo basi hata hizo mbaazi zenu hatuzitaki tena. Soko likaenda shimoni.

Kaenda kwenye makinikia kisha sasa wanatoa kinyemela kupeleka Japan kusafisha. Matokeo yake mategemeo yao yamekuwa sifuri na imekuja hasara ya kufa mtu.

Rais Magufuli amefeli kila jambo. Sasa kuna mradi mmoja huko nyanda za juu wa umeme unaojulikana kama Stiglers Gorge. Huu mradi kwanza huo umeme tunaoambiwa kuwa tutapata hautofikia hata nusu yake. Mradi ukikamilika pamoja na kutumia fedha nyingi sana za ndani (maana nje tumenyimwa) utaenda kuwa msiba kwa mazingira, hasara ya mradi husika na hatimaye utatuletea umeme wa kusuasua. Tusubiri tuone! Wapi amewahi kufanikiwa? Mbona wenzake wote hawakuthubutu kuugusa? Si ulikuwepo? Haya tuone ila hajawahi kufanikiwa.

Ngoja niishie hapo maana mtu unaweza kula kifungo cha maisha jela kutokana na uhochezi na hakimu akapewa "promosheni" mchana peupeeee! Mambo ni vululu vululu ukiugusa utawala na dola ni kifungo cha kufa mtu.
STIGLERS GORGE ni Big Time Failure kwa Tanzania na qa

waathirika ni vizazi vijavyo katika kulipa deni. Shida ni kwamba anayefanya maamuzi ana uelewa finyu wa mambo halafu anafanya maamuzi ya mambo makubwa kiuchumi na kijamii. Imefika wakati hata wasaidizi wake wasomi na degrees zao wamebaki kusifia tu sawa na wale ambao hawajasoma.
Katika miradi yote mradi utakaotutia umaskini vizazi na vizazi ni huo wa Stiglers Gorge. Bila kuzingatia sababu za WWF kuhusu kuvuruga ecosystems na World Heritage site kuna sababu 3 za nguvu kwa nini Stiglers Gorge ni wastage of money kwa nchi ya Tanzania; (1) Maji yapatayo 36% yaliyokuwapo mwaka 1980 wakati feasibility study ilifanyika sasa hivi hayapo (2) Umeme wa kutegemea maji siyo wa kuaminika kwenye karne hii kutokana na mabadiliko ya tabia nchi (3) Hata Mtera na Kihansi zilipojengwa miaka ya 1980s na 1990s tuliambiwa zingekuwa ni suluhisho la umeme lakini zimeahindwa. Lakini tunaambiwa bwawa linajaa matope hivyo hata kimo cha maji kinakuwa kidogo.
(4) Kuna ongezeko kubwa la watu wanaoishi pembezoni mwa mto unakoanzia na unakopita hivyo basi kuongezeka kwa shughuli za kibinadamu kama kilimo na mifugo.

Kweli Baba wa Taifa ndiye muasisi na mbunifu wa mradi wa Stiglers Gorge lakini hata kama angekuwa hai kufika leo angebadili mawazo ya utekelezaji kwa vile alikuwa ana shaurika.

Tutajenga Stigler Gorge kwa bei mara 3 ya hiyo wanayoitaja na hatuwezi kupata hizo Megawati 2100. Tutaendelea kulipa mkopo kutoka kwa nchi wahisani tulizokopa vizazi na vizazi.
 
Sijui ilianza sukari, uhakiki, kodi za hovyo, makinikia, mbaazi, korosho, ndege vyote hivyo Rais wetu anashindwa vibaya sana na hii ni kutokana na one man show.

Ngoja niwapeni kuhusu mbaazi. Aliyekuwa msambazaji mkuu wa zao hilo kule kwa wahindi alikuwa Yusuph Manji. Serikali ikampiga stop kisha waziri wa kilimo akaenda huko kudai kuwa sasa atakayekuwa msambazaji mkuu wa mbaazi kwao ni serikali ya Tanzania badala ya Yusuph Manji. Akajibiwa kama ni hivyo basi hata hizo mbaazi zenu hatuzitaki tena. Soko likaenda shimoni.

Kaenda kwenye makinikia kisha sasa wanatoa kinyemela kupeleka Japan kusafisha. Matokeo yake mategemeo yao yamekuwa sifuri na imekuja hasara ya kufa mtu.

Rais Magufuli amefeli kila jambo. Sasa kuna mradi mmoja huko nyanda za juu wa umeme unaojulikana kama Stiglers Gorge. Huu mradi kwanza huo umeme tunaoambiwa kuwa tutapata hautofikia hata nusu yake. Mradi ukikamilika pamoja na kutumia fedha nyingi sana za ndani (maana nje tumenyimwa) utaenda kuwa msiba kwa mazingira, hasara ya mradi husika na hatimaye utatuletea umeme wa kusuasua. Tusubiri tuone! Wapi amewahi kufanikiwa? Mbona wenzake wote hawakuthubutu kuugusa? Si ulikuwepo? Haya tuone ila hajawahi kufanikiwa.

Ngoja niishie hapo maana mtu unaweza kula kifungo cha maisha jela kutokana na uhochezi na hakimu akapewa "promosheni" mchana peupeeee! Mambo ni vululu vululu ukiugusa utawala na dola ni kifungo cha kufa mtu.
Kilaza katika ubora wake ikiwemo na Chadema aibu zinawashuka sasa
 
Ukisemaa ukweli utapewa kila jina baya, mchochezi, msaliti, mpiga dili, kibaraka etc.

Na watu ambao hata hawajui maudhui ya "Confessions of An Economic Hitman" cha John Perkins.

Siku hizi sitaki kubishana sana, nataja vitabu tu vinavyoelezea haya mambo kwa kina zaidi.
Kilaza vipi,,Jiwe alferi kama ulivyoomba na chadema Yako au umebadili mawazo
 
Back
Top Bottom