Hayati Dkt. John Magufuli alikuwa na Unique Style of Leadership

Hatimaye Mama Samia Suluhu Hassan ameanza kwa style ileile ya Magu, tumbua mama, lete heshima, ngoa visiki, toa machaka ya wapigaji,
Tunakungalia kwa siku 100 mama, shikamoo mazaaaaa
 
Alichofanikiwa zaidi ni kutengeneza mfumo wa kusiwa yeye tu! Magazeti, redio na TV vilipigwa pini ili kumsifu yeye! Angeruhusu na madhaifu yake yatangazwe na yabainishwe kwa raia sidhani kama ungetuandikia pambio kama hili! R.I.P JPM ulifanya yako kama walivyofanya watangulizi wako
Kwani hamna madhaifu ambayo mliyadiscuss humu 😁😁😁
 
Atakumbukwa kwa jinsi alivyokuwa mjuaji na kuonea watu waliokuwa hawakubaliani na mawazo yake hasa wapinzani
Wapinzani ndio wajuaji na dawa ya wajuaji na wasaliti ni kuwa eliminate tu 😁 he did a wonderful job ambayo inastahili pongezi. Huwezi kuwa unafundisha halafu wanafunzi wapumbavu wanapiga makelele huko backbenchaz
 
Kwani hamna madhaifu ambayo mliyadiscuss humu [emoji16][emoji16][emoji16]
Achana na humu ambako kuna watu wachache! Angeacha magazeti, redio na luninga ziwe huru kujadili mazuri na madhaifu yake!
 
Legacy ya JPM itadumu sana, so far tangu kuzaliwa Tanganyika Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere ndo na Hayati John Pombe Joseph Magufuli ndo maraisi pekee ambao watakumbukwa sana katika historia ya nchi hii. Pamoja na sababu nyingi ikiwemo kutetea wanyonge na kuataka Tanzania isonge mbele kimaendeleo kwa kuhakikisha rasilimali inanufaisha watu wote. Ni mtu ambaye amekuwa akijichanganya na watu wa kila aina.

Pamoja kuwa Rais bado yeye na familia yake wamekuwa wakiishi maisha ya kawaida sana pasipo kujiinua, pamoja na mapungufu machanche ya kujiiinua kama personality badala ya kuimarisha taasisi kwa kipindi kifupi amekuwa taaa na mwanga kwa alipotufikisha. Aliweza kutoa majibu ya hapo kwa hapo kulingana na shida za wananchi. Kwake mabo ya machakato na process haikuwa na nafasi katika utawala wake.

Rest in peace Hard Rock, chuma imara, Mungu akulaze mahala pema panapostahili peponi kulingana na matendo yako.
MUNGU AMLIPE KWA KILA ALILOTUFANYIA. nimekuja kumjua huyu bwana huku mwishoni mwishoni alikuwa ni kiongozi wa aina ya pekee saana , itachukuwa muda mno TANZANIA KUMMPATA MTU KAMA HUYU .
 
Wapinzani ndio wajuaji na dawa ya wajuaji na wasaliti ni kuwa eliminate tu 😁 he did a wonderful job ambayo inastahili pongezi. Huwezi kuwa unafundisha halafu wanafunzi wapumbavu wanapiga makelele huko backbenchaz
Alifanikiwa nini sasa?
 
Wapinzani ndio wajuaji na dawa ya wajuaji na wasaliti ni kuwa eliminate tu [emoji16] he did a wonderful job ambayo inastahili pongezi. Huwezi kuwa unafundisha halafu wanafunzi wapumbavu wanapiga makelele huko backbenchaz
Sawa CAG
 
Legacy ya JPM itadumu sana, so far tangu kuzaliwa Tanganyika Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere ndo na Hayati John Pombe Joseph Magufuli ndo maraisi pekee ambao watakumbukwa sana katika historia ya nchi hii. Pamoja na sababu nyingi ikiwemo kutetea wanyonge na kuataka Tanzania isonge mbele kimaendeleo kwa kuhakikisha rasilimali inanufaisha watu wote. Ni mtu ambaye amekuwa akijichanganya na watu wa kila aina.

Pamoja kuwa Rais bado yeye na familia yake wamekuwa wakiishi maisha ya kawaida sana pasipo kujiinua, pamoja na mapungufu machanche ya kujiiinua kama personality badala ya kuimarisha taasisi kwa kipindi kifupi amekuwa taaa na mwanga kwa alipotufikisha. Aliweza kutoa majibu ya hapo kwa hapo kulingana na shida za wananchi. Kwake mabo ya machakato na process haikuwa na nafasi katika utawala wake.

Rest in peace Hard Rock, chuma imara, Mungu akulaze mahala pema panapostahili peponi kulingana na matendo yako.

Awamu ya 5 ndio ilikuwa awamu ya hovyo sana.
 
One Man Show.

Hakuna la maana kwa mvunja katiba kama jpm.

He was horrible.
 
Hujazungumzia vitendo vya kidikteta alivyovileta nchini ambavyo tulikuwa hatujawahi kushuhùdia
 
Back
Top Bottom