Hayati Dkt. John P. Magufuli ni Nabii wa Afrika aliyechelewa kueleweka katika ukombozi wa pili wa Mwafrika, wala hakuogopa vigingi vya Mabeberu.

Sometimes njaa inawafanya mfikiri kwa matumbo badala ya ubongo.
 
Usimzushie ulimpaka mafuta ya unabii wewe?!!!!!!.
Tunamdharirisha marehemu tunampa sifa za unabii asizostahili tafadhali tumpe sifa za utendaji wake wa kazi kwa jamii hapo ni stahiki yake na Mungu atamsamehe makosa yake.
 
Baada ya id amini dikteta mwingine afrika na pombe
 
Tunamdharirisha marehemu tunampa sifa za unabii asizostahili tafadhali tumpe sifa za utendaji wake wa kazi kwa jamii hapo ni stahiki yake na Mungu atamsamehe makosa yake.
Well written mkuu.
 
Magu ni nabii pekee ambaye anaruhusu watu wake wapigwe risasi 30 nje ya eneo lenye ulinzi mkali la bunge na bado hakutaka kutafuta muuaji wa huyo aliye taka kumuua raia wake!

Je kama aliweza kuruhusu ujinga huu kwa raia wake kwann unamuita nabii? Au unamaanisha nabii wa uongo?
 
Ninacho elewa ni kwamba umesacrifice maisha yako kwaajili ya watanzania.

 
Inawezekana una mungu wako ambaye siyo huyu wa kwetu!

Kama ni Mungu wa Ibrahimu,Isaka na Yakobo, Hapana! Magufuli hawezi kuwa nabii. Hana hizo sifa!
 
n
nabii hakubariki kwao, hata moyo wako unakushuhudia kwamba Dkt. Magufuli ameingia mbinguni kupewa taji lake la imani thabiti.
😅😅😅😅unachekesha. Atendaye dhambi ni wa Shetani. Mungu hana nafasi na watu waovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…