Hayati Gadafi wakati akiongoza alitumia rasilimali ya mafuta kwa kutokuwa na madeni Tanzania inafeli wapi?????

Hakuwa na unafiki na alikuwa mkweli na kila kitu ni vitendo tu
Ila mtu mweusi huyo mdudu yumo kichwani hana dawa?

Tatizo letu ni wizi na uongo
Hata hao kina nyerere walikuwa ni maneno tu vitendo sifuri
Viongozi we2 wanajisahau,,utazani wana mkataba na Mungu wa kuishi milele,,,kwani ukiwafanyia mazuri wananchi wako utaharibikia nini, dhima kubwa mno wanabeba. Watakutana na Mola wao
Ila gadafi atabaki kuwa kiongozi bora kwa wananchi wake kuliko kiongozi yeyote afrika, hakuna cha nyerere wala mandela

Haswaa
 
Viongozi we2 wanajisahau,,utazani wana mkataba na Mungu wa kuishi milele,,,kwani ukiwafanyia mazuri wananchi wako utaharibikia nini, dhima kubwa mno wanabeba. Watakutana na Mola wao

Haswaa

Hilo neno zito sana
Kuwafanyia wananchi mazuri”

Unakuta jamii yote ni wachache sana wanakuwa na roho ya upendo nina maana hata maisha ya kawaida ya familia
Wengine ni wabaya sana kwa familia zao tu sasa ndio hawa hawa wanakuja kuwa makatili

Aliesema wakinichagua watalimia meno
Hapo wasingempa kabisa
Watu wawe wanaangaliwa matendo yao na kauli zao

Kama wale wote waliokuwa wanakubali kila kitu na leo wanakataa kila kitu hao wanajulikana wangekatwa mapema kwenye teuzi zote maana ni wanafiki

Mungu atupe viongozi wenye hekma na wasikivu Amiin
 
Kweli kabisa chief,,
 
Back
Top Bottom