Hayati Lowassa alivyomponza Kikwete akatimuliwa Msasani kwa kufokewa na Mwalimu Nyerere

Awapi kwamba wenzie wangefanya vibaya kuliko yeye?
 
Ilikuwaje kwenye uongozi wake akakumbwa na kashfa za ufisadi mkubwa?
Escrow, Richmond, umeme wa Tegeta ile 300B?
Binafsi nimejikita jinsi Kikwete alivyoshughulikia fisadi mkubwa Proffessor Kighoma Malima waziri wa fedha muislamu mwenzie aliyekuwa fisadi mkubwa akijificha kwenye uswalihina wa Kiislamu Kikwete akamgundua kuwa yule fisadi anajificha kibla na misikitini akifisadi mbio anakimbilia misikitini na kujifanya imamu akiporomosha Aya za Allah kwa waislamu wanavyoonewa Tanzania Wakati pesa za kifisadi tayari zimeingia Akaunti zake nje ya nchi

Kikwete akamchomoa kibla na kushugulika naye bila kujali yeye imamu yuko kibla akitiririka Aya za kuruani

Mengine sijui
 
Jk alivyo deal na Kighoma, Nyerere hakuwa kwenye madaraka, Raisi alikuwa Hassan, hivyo JK kuwa Makonda wa Awamu ya Nyerere hiyo haipo.
 
Jk alivyo deal na Kighoma, Nyerere hakuwa kwenye madaraka, Raisi alikuwa Hassan, hivyo JK kuwa Makonda wa Awamu ya Nyerere hiyo haipo.
Nyerere alivyozima hoja ya Serikali tatu chini ya G55 ambayo ilishamshinda Mwinyi na Malecela alikuwa Rais?

Nyerere alivyoratibu kukatwa kwa jina la Malecela na Lowassa 1995 alikuwa ni Chairman wa CCM?
Baada ya Jk kumshinda Mkapa na Msuya kabla matokeo kutangazwa akaibuka na hoja ya kura zirudiwe kati ya Mkapa na Jk alikuwa Chairma wa Ccm?

Vijana wengi hamuwezi kujua nguvu aliyokuwa nayo Kambarage hadi anaondoka Duniani

JKs wote wawili walikuwa na katabia flani hivi

wanaweza wakalia hadharani kumbe wanacheka na wanaweza wakacheka hadharani kumbe wanalia
 
Kwenye hiyo hotuba Jakaya aliongea nini? Mbona unatupa kazi ya kupatwa hisia bila sababu🤣
Weka japo Summary Mkuu.
 

Ile hotuba na reaction ya Nyerere ndio kinanifanya mpaka Leo kusema "KIFUA CHA JK KIMEBEBA MENGI SANA YA NCHI HII YA NDANI SANA"
 
Unachuki binafsi wte awe na sababu za kuwachukia
 
Huu uongo wa kitoto sana.BMW alikuwa ni kipenzi cha mwalimu kwa urais wa JMT baada ya Dr Salim,hiyo sababu dhahania haiwezi kutosha kumuondoa BMW moyoni mwa mchonga
Sio kwel mgombea wa mwalim alikua Ahmed salim baada ya mkapa kumfuata kumueleza kuwa anautaka urais basi mwl akaona amuunge mkono kwasababi alikua Hana makundi wala makando kando

Sent from my SM-G950U1 using JamiiForums mobile app
 
Umeeleza vyema sana mkuu

Sent from my SM-G950U1 using JamiiForums mobile app
 
Salim angeshika Uraisi wa muungano Bila shida fitna za Wazanzibari wenzie ndio zilizuia
Nyerere alimpenda sana tu fitna zilitoka Zanzibar waliogoma kumuunga mkono vikao vya CCM Dodoma
Wazanzibar unawajua kweli ww au una wasikia tu hawawezi kufanya kitendo hicho hata siku moja fitn kubwa wanamtandao walisema mwarabu
 
Awapi kwamba wenzie wangefanya vibaya kuliko yeye?
Nahisi japo sina uhakika kuwa Wewe ni kijana na pengine 2007 wakati wa kashfa ya Richmond ulikuwa mdogo

kasome report ya Richmond na uhusika wa kila mmoja ndio utajua kwanini hadi leo hakuna hata mmoja aliweza kumjibu kwa hoja kuanzia ndani ya Bunge hadi nje ya Bunge Dr Harrison Mwakyembe

Mwakyembe alitendea haki sana taaluma yake ya Uandishi wa uchunguzi na Sheria

oamoja na wingi wa wapambe hadi leo…kuhusu ile report wote walikuwa wanasema No comment na wote waliohusika waliishia kujiuzulu badala ya kujibu hoja
 
Kaka Pohamba endelea kutupa Historia.
👉 Kipindi Cha uteuzi was magu, wakati wa utawala na Kash Kash zote.
 
Watu mmeiva,,

Shusha nondo chief,,


Baada ya kusoma hapa nimegundua kitu,,,


Humu kuna watu bendera hufata upepo,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…