Hayati Lowassa alivyomponza Kikwete akatimuliwa Msasani kwa kufokewa na Mwalimu Nyerere

Bila picha hili wasilisho ni uongo!
 
Yes hii kauli Magufuli alishaisema sana.
 
Baada ya Richmond mapambano yalikuwa makali sana, msifikiri watu wako kimya hawana cha kusema, ilikuwa do or die, kete zikasukumwa kila mtu akatumia umwamba wake wa mjini.

Muulizeni muajemi 2013 - 2016 alipotelea wapi na kwanini aliibuka kuelekea 2020.

Wanaume hatuliilii hovyohovyo, tunavumilia vipigo na kujibu mapigo mpaka mwisho wa game.
 
Kosa la JPm lilikuwa ni hili....kumsogeza huyu mwamba. Alishapotezwa vizuri. Now is back and fired!
 
Kwani JK hakuwa mwana mtandao?

Ninapata hisia kuwa JK alimkata EL kwa kukumbuka maelekezo toka Nyerere.

Pili kumbe JK ameanza uharibifu kitambo na amekuwa sugu ikiwa ndiye alipewa;
Maelekezo kuhusu Monduli
Kuhusu Kighoma Malima nk
Kwenye msiba Jk kapotea ghafla,haijulikaniki kaondokaje

wengine wameondoka kwa kuaga familia ya Lowasa ila yeye katoroka kabla hata ya Rais kuondoka

Aibu
 
😁😁😁😁😁
 
Kumbe.Aandike kitabu kabla hajafa
 
Nakusoma kwa utulivu...
 
Muwe mnatunga vizuri hizo hadithi zenu tena muwe mnafanya utafiti kabla ya kuandika,huyo Mrisho Kikwete unayedai Nyerere alikuwa rafiki yake ukimaanisha baba yake Kikwete jina lake ni Halfan Mrisho Kikwete hivyo Mrisho ni jina la Jakaya akirithi jina la babu yake na Jakaya nalo ni jina lake akirithi jina la babu yake upande wa mama yake.Halafu unavyohadithia utafikiri ulikuwa ukiongozana naye kwenye hizo harakati zake zote!
 
Kwani JK hakuwa mwana mtandao?

Ninapata hisia kuwa JK alimkata EL kwa kukumbuka maelekezo toka Nyerere.

Pili kumbe JK ameanza uharibifu kitambo na amekuwa sugu ikiwa ndiye alipewa;
Maelekezo kuhusu Monduli
Kuhusu Kighoma Malima nk
Sasa JK amekulia kwenye system na mtoto wa chief katika familia za Viongozi ulitegemea Monduli awe Rais wa wapi na watu wamekulia viapo?
 
Acha uongo, Freeman Mbowe na Lema hawakuwa wabunge 2005-2010..

Sasa huko walikoshadadia ni wapi??
 
JKs Hao ni wanasiasa nguli africa
 
Mwambieni JK atuandikie Kitabu kabla ya Kufa tujifunze mbinu za medani za Vitengo.

Pili asije kukosea kutuondolea Samia 😁😁
 
Na hili wengi hawalifahamu. Hata marehemu JPM kuna kipindi alikuwa anaropoka kuwa Kikwete alimlazimisha kuchukua fomu
Na unaweza kukumbuka Kauli ya JK kwamba mlisema Mimi mpole nimewaletea chuma.

Kiufupi Urais wa JPM ni kama alivyopata Thisekedi baada ya kuona first 11 wamezingua akaona hapa atafute super sub ambae atakuoa chama na atawapelekea moto Wapinzani.

Sema super sub alianza kuita sharubu sana πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£

Ndio maana Suk gang Huwa hawamkubaki kabisa JK wanahisia aliwakatisha ulaji 😁😁
 
Uhusika wa kikwete kwenye Richmond ni upi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…