Hayati Magufuli alifanikiwa kutengeneza kundi lililomuamini na kumtii mithili ya wafia Dini


ivi unajielewa ulicho andika [emoji2955][emoji2955]
 

[emoji3590][emoji3590][emoji24][emoji24]
 
Inasemekana Magufuli alipenda sana kusifiwa , kwahiyo jamii inatambua wako waliokuwa wanamsifia na kujikuta wakiingizwa kwenye praise team na kuteuliwa .[emoji1752]
 
Ben Mkapa alikua anamkosoa sana Magufuli! Ben alikua anamwita John na sio Mh Rais

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
m na kuteuliwa .

Sasa mshangao wangu ni huu , Mtu huyu ambaye hakuwa na ushawishi wowote Majukwaani aliwezaje kutengeneza kikundi cha kumuabudu na kumtii mithili ya Machifu wa enzi za Ujima ?
Nimekwishakusoma.
Mada yako ina udhaifu wa "kishabiki." Hili linaeleweka toka kwa mtu kama wewe.

Mfano mzuri wa udhaifu wa mada yako na unazi wa vyama ni huo mstari mmoja na nusu hapo juu.

Unajumuisha kundi kubwa sana la waTanzania katika hicho unachokiita "...kikundi cha kumuabudu na kumtii...."

Na kwa vile ni kama umetishwa na hili kundi kubwa la waTanzania, ambalo, pamoja na kutokuwepo kwa Magufuli, lakini kundi hili bado limeshikilia kuyaona yale waliyoyapenda toka kwa huyo kichaa bila ya shurti ya yeye mwenyewe, wala wapambe wake.
Hili ndilo ulipashwa kuliwekea uzito mkubwa katika mada yako; na kuachana na hao "watani" wako wa siku zote, hasa hapa JF.

Mada yako itakuwa na thamani kubwa sana ukiweza kudadavua sababu hizo. In fact, CHADEMA wangefaidika sana na kuzijua sababu za hawa waTanzania kumng'ang'ania huyo kichaa, licha ya hoja nzito na za ushawishi mkubwa wayaone maovu ya huyo kichaa, bila ya mafanikio makubwa; licha ya maovu yote waliyotendewa na huyo kichaa!
 
Nimejaribu kwa namna yangu kumweleza mleta mada juu ya haya uliyoyaweka vizuri zaidi wewe; bila shaka mkuu 'Erythro' atakuelewa vuri zaidi wewe kuliko mimi.

Ila umezidisha mno sifa. Ningekubaliana nawe moja kwa moja kuhusu hayo maneno yako ya mwisho, kama isingekuwa ule ukichaa wake ulioharibu sana mazuri aliyoyasimamia.
 
Moja ya kampeni za wazi hadharani , nyingine ya kupanga mipango isiyojulikana gizani
Kwa vile ile ya Mbowe ipo kama ilivyo naiacha kama ilivyo...lakini hilo la mipango isiyojulikana gizani, hapana....ila mie naona mmoja alikuwa anataka misifa....yaani yupo na Mzeee na labda akitoka hapo baadae aseme alinipa maagizo usibishe!
 
Poleni wafiwa hamuachi kumkumbuka marehemu alikuwa mtu mwema sana!
 
Hakuna utawala ambao haujawahi kuua, kuteka wala kupoteza watu kwa africa

Katiba zetu mbovu ndiyo zinawafanya watawala wafanye wanavyotaka

Kwani Dr mwamboka alitekwa kwenye utawala wa Magufuli? Na Mawazo aliuwawa kwenye utawala wa Magufuli?!
Kwani uovu ukitendwa na wengi unabadilika kuwa wema?
 
Kabisa Hadi Leo Bado liko royal Kwa mfu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…