Kuhusiana na corona JPM alijitahidi pakubwa
WAPUMZIKE Kwa Amani
Wote Wote Wote
Sawa kulikuwa na Covid wakati wa JPM ulitaka afanyeje?Salim Ahmed Salim foundation imetoa mchango wa 100m/- MUHAS kuunga mkono jitihada dhidi ya UVIKO-19.
Hatua ya kupongezwa kabisa yenye kustahili kuungwa mkono bila kujali nani haoni umuhimu huo.
Hata hivyo wakfu huo wamesema walisukumwa kutoa pesa hizo katika kuyaenzi maisha ya marehemu mke wa Waziri Mkuu mstaafu huyu, ambaye alifariki 20 Oct 2020 kwa ugonjwa hatari wa UVIKO.
Hayati Magufuli kwa wakati huo Rais wa JMT kumbe alijua akamuombea ila akaendelea kudai hakukuwa na Corona nchini.
Roho ngumu kabisa za binadamu zenye kustahili kuangaliwa vinasaba vyake.
Chadema hamna pa kushikilia!Wanaoona alijitahidi, wengine tunawaona ni accomplice kwenye uhalifu wake kama huyu:
Rais wa Brazil kushtakiwa kwa makosa ya Uhalifu Dhidi ya Binadamu
Tulieni jamani kuna watu wana kesi za kujibu.
Alijitahidi wakati ilimuondoa? Badala ya kufuata science inasemaje yeye akafuata ujinga? Ulifurahishwa na Kabudi kunyweshwa Ile mikojo mbele ya camera ili kumfurahisha bwana mkubwa? BTW Ile stock ya Madagascar ipo wapi Kwa sasa? Iligawiwa vipi? Ilisambazwa vipi? Akina nani walitumia? Maana takwimu za Jensen tunapewa kila siku, ni vyema tupewe na takwimu ya Ile kitu ya Kabudi, maana ni Kodi zetu zilitumika kuifuataKuhusiana na corona JPM alijitahidi pakubwa
Wajinga na wapumbavu ndio wanamlaumu JPM kwenye covid.JPM alifanikiwa sana.Salim Ahmed Salim foundation imetoa mchango wa 100m/- MUHAS kuunga mkono jitihada dhidi ya UVIKO-19.
Hatua ya kupongezwa kabisa yenye kustahili kuungwa mkono bila kujali nani haoni umuhimu huo.
Hata hivyo wakfu huo wamesema walisukumwa kutoa pesa hizo katika kuyaenzi maisha ya marehemu mke wa Waziri Mkuu mstaafu huyu, ambaye alifariki 20 Oct 2020 kwa ugonjwa hatari wa UVIKO.
Hayati Magufuli kwa wakati huo Rais wa JMT kumbe alijua akamuombea ila akaendelea kudai hakukuwa na Corona nchini.
Roho ngumu kabisa za binadamu zenye kustahili kuangaliwa vinasaba vyake.
Lockdown ndiyo utetezi pekee kwa huyo Mhutu. Hakuna jipya wala ubunifu kwenye lockdown zaidi sana jiwe alijificha nyumbani kwake huku akiwaasa watu wasijifungie ndani.Sawa kulikuwa na Covid wakati wa JPM ulitaka afanyeje?
Waliofanya tofauti na JPM kama Kenya, Uganda na nchi zingine walifanikiwa kiasi gani kumzidi JPM kwenye mapambano dhidi ya Covid?
JPM alijua kuna Covid lakini alijua akiwatia hofu wananchi hofu ingewamaliza, alijua kabisa lock down sio suluhisho ndio maana hata nchi zilizowekwa lock down bado watu walikufa sana na saiv wamekuja kugundua JPM alikuwa sahihi kutoweka lock down
Unatia aibu mno kwenye swala la Corona Magu ni mshindi......Salim Ahmed Salim foundation imetoa mchango wa 100m/- MUHAS kuunga mkono jitihada dhidi ya UVIKO-19.
Hatua ya kupongezwa kabisa yenye kustahili kuungwa mkono bila kujali nani haoni umuhimu huo.
Hata hivyo wakfu huo wamesema walisukumwa kutoa pesa hizo katika kuyaenzi maisha ya marehemu mke wa Waziri Mkuu mstaafu huyu, ambaye alifariki 20 Oct 2020 kwa ugonjwa hatari wa UVIKO.
Hayati Magufuli kwa wakati huo Rais wa JMT kumbe alijua akamuombea ila akaendelea kudai hakukuwa na Corona nchini.
Roho ngumu kabisa za binadamu zenye kustahili kuangaliwa vinasaba vyake.
Ndo kusema corona si ugonjwa unaoua bali watu kwenye nchi za wenzetu walikufa kutokana na kutangaziwa uwepo wa ugonjwa huo na kuwekwa lockdown na kwamba sisi tulisalimika kutokana na msimamo wa Magufuli. Seriously?Sawa kulikuwa na Covid wakati wa JPM ulitaka afanyeje?
Waliofanya tofauti na JPM kama Kenya, Uganda na nchi zingine walifanikiwa kiasi gani kumzidi JPM kwenye mapambano dhidi ya Covid?
JPM alijua kuna Covid lakini alijua akiwatia hofu wananchi hofu ingewamaliza, alijua kabisa lock down sio suluhisho ndio maana hata nchi zilizowekwa lock down bado watu walikufa sana na saiv wamekuja kugundua JPM alikuwa sahihi kutoweka lock down
There is something fishy going on.Mimi huku nilipo sijasikia mwenye Corona wala kumuona.Hospitali zetu vijijini ni business as usual,Referal Hospital yetu ni business as usual.Hivi Corona ipo kwenye midomo yenu tu na mitandaoni.Yes watu wanaugua na kufa,but this is usual tumezoea!Why the fearmongering.Ni ushetani mtupu.Salim Ahmed Salim foundation imetoa mchango wa 100m/- MUHAS kuunga mkono jitihada dhidi ya UVIKO-19.
Hatua ya kupongezwa kabisa yenye kustahili kuungwa mkono bila kujali nani haoni umuhimu huo.
Hata hivyo wakfu huo wamesema walisukumwa kutoa pesa hizo katika kuyaenzi maisha ya marehemu mke wa Waziri Mkuu mstaafu huyu, ambaye alifariki 20 Oct 2020 kwa ugonjwa hatari wa UVIKO.
Hayati Magufuli kwa wakati huo Rais wa JMT kumbe alijua akamuombea ila akaendelea kudai hakukuwa na Corona nchini.
Roho ngumu kabisa za binadamu zenye kustahili kuangaliwa vinasaba vyake.
There is something fishy going on.Mimi huku nilipo sijasikia mwenye.Hospitalitzetu vijijini in business as usual,Referal Hospital yetu ni business as usual.Hivi Corona IPO kwenye midomo yenu tu na mitandaoni.Yes watu wanaugua na kufa,but this is usual tumezoea!Why the fearmongering.Ni ushetani mtupu.
There is something fishy going on.Mimi huku nilipo sijasikia mwenye.Hospitali zetu vijijini in business as usual,Referal Hospital yetu ni business as usual.Hivi Corona ipo kwenye midomo yenu tu na mitandaoni.Yes watu wanaugua na kufa,but this is usual tumezoea!Why the fearmongering.Ni ushetani mtupu.Jamani Satan uses fear to intimidate and dominate,tuweSalim Ahmed Salim foundation imetoa mchango wa 100m/- MUHAS kuunga mkono jitihada dhidi ya UVIKO-19.
Hatua ya kupongezwa kabisa yenye kustahili kuungwa mkono bila kujali nani haoni umuhimu huo.
Hata hivyo wakfu huo wamesema walisukumwa kutoa pesa hizo katika kuyaenzi maisha ya marehemu mke wa Waziri Mkuu mstaafu huyu, ambaye alifariki 20 Oct 2020 kwa ugonjwa hatari wa UVIKO.
Hayati Magufuli kwa wakati huo Rais wa JMT kumbe alijua akamuombea ila akaendelea kudai hakukuwa na Corona nchini.
Roho ngumu kabisa za binadamu zenye kustahili kuangaliwa vinasaba vyake.
ivi huu ugonjwa upo kweli au ni mimi tu naona vibaya
HAKUNA CORONA ZAIDI YA PROPAGANDA. Niamini mkuu.Unaweza jiuliza now Corona imeenda wapi?Kabla ya kifo cha Magufuli kila kona zilikua ni kelele za Corona. Baada ya kifo kukawa kimya kama miezi 4 hivi,Corona ilienda wapi?Sababu zilizofanya kuwe na Lockdown na sheria kali mwaka jana mbona saiz hazipo ilhali variety iliyopo sasa inaonesha ni mbaya kuliko mwanzo?Toka imeanza Corona sijawahi tumia kitu kinaitwa sanitizer au kufuata njia zao za kujikinga, Ninafanya kazi ktk mazingira ambayo ni hatari sana ktk kuenea kwa Corona lkn sijawahi sikia miongoni mwetu kaondoka au kalazwa Corona. Inawezekana vipi?Uganda hadi leo wamefunga shule kujikinga na Corona, ni kwamba Uganda Corona yao ni hatari sana kuliko Nchi zingine au wanatumia sayansi gani?Tuliona bungeni eti watakua wanaingia mchana ili kujikinga na Corona, Hii ni sayansi gani inayosema wakiingia Asubuhi watapata Corona?Kulikua na mazuio ya kutembea usiku huko Kenya na RSA,hii ni sayansi gani inayosema Corona inasambaa sana usiku kuliko mchana na ukiangalia usiku population huwa ndogo sana?ivi huu ugonjwa upo kweli au ni mimi tu naona vibaya