Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HAKUNA CORONA ZAIDI YA PROPAGANDA. Niamini mkuu.Unaweza jiuliza now Corona imeenda wapi?Kabla ya kifo cha Magufuli kila kona zilikua ni kelele za Corona. Baada ya kifo kukawa kimya kama miezi 4 hivi,Corona ilienda wapi?Sababu zilizofanya kuwe na Lockdown na sheria kali mwaka jana mbona saiz hazipo ilhali variety iliyopo sasa inaonesha ni mbaya kuliko mwanzo?Toka imeanza Corona sijawahi tumia kitu kinaitwa sanitizer au kufuata njia zao za kujikinga, Ninafanya kazi ktk mazingira ambayo ni hatari sana ktk kuenea kwa Corona lkn sijawahi sikia miongoni mwetu kaondoka au kalazwa Corona. Inawezekana vipi?Uganda hadi leo wamefunga shule kujikinga na Corona, ni kwamba Uganda Corona yao ni hatari sana kuliko Nchi zingine au wanatumia sayansi gani?Tuliona bungeni eti watakua wanaingia mchana ili kujikinga na Corona, Hii ni sayansi gani inayosema wakiingia Asubuhi watapata Corona?Kulikua na mazuio ya kutembea usiku huko Kenya na RSA,hii ni sayansi gani inayosema Corona inasambaa sana usiku kuliko mchana na ukiangalia usiku population huwa ndogo sana?
Mimi nadhani ashitakiwe kwa kuzaa toto jinga kama wewe,JPM anapaswa kushtakiwa kwa kuficha ugonjwa na kusababisha vifo vya maelfu.
Salim Ahmed Salim foundation imetoa mchango wa 100m/- MUHAS kuunga mkono jitihada dhidi ya UVIKO-19.
Hatua ya kupongezwa kabisa yenye kustahili kuungwa mkono bila kujali nani haoni umuhimu huo.
Hata hivyo wakfu huo wamesema walisukumwa kutoa pesa hizo katika kuyaenzi maisha ya marehemu mke wa Waziri Mkuu mstaafu huyu, ambaye alifariki 20 Oct 2020 kwa ugonjwa hatari wa UVIKO.
Hayati Magufuli kwa wakati huo Rais wa JMT kumbe alijua akamuombea ila akaendelea kudai hakukuwa na Corona nchini.
Roho ngumu kabisa za binadamu zenye kustahili kuangaliwa vinasaba vyake.
Mimi nadhani ashitakiwe kwa kuzaa toto jinga kama wewe,
Sawa kulikuwa na Covid wakati wa JPM ulitaka afanyeje?
Waliofanya tofauti na JPM kama Kenya, Uganda na nchi zingine walifanikiwa kiasi gani kumzidi JPM kwenye mapambano dhidi ya Covid?
JPM alijua kuna Covid lakini alijua akiwatia hofu wananchi hofu ingewamaliza, alijua kabisa lock down sio suluhisho ndio maana hata nchi zilizowekwa lock down bado watu walikufa sana na saiv wamekuja kugundua JPM alikuwa sahihi kutoweka lock down
Fear of unknownIssue ya korona legendary John Pombe alikuwa great asee, pingeni tu.
Canal Powel alikuwa kadungwa chanjo zote mpaka immunity booster vaccine, now tumesikia nini?.
Huu ugonjwa kuna hidden scenerio inachezwa hapo na wasiojua ndiyo tunachezeshwa midundo vururu vururu!.
Twendeni taratibu na hii mikopo kwanza as if kunywa supu nyama zipo chini!.
ivi huu ugonjwa upo kweli au ni mimi tu naona vibaya
Ndo kusema corona si ugonjwa unaoua bali watu kwenye nchi za wenzetu walikufa kutokana na kutangaziwa uwepo wa ugonjwa huo na kuwekwa lockdown na kwamba sisi tulisalimika kutokana na msimamo wa Magufuli. Seriously?
Wajinga na wapumbavu ndio wanamlaumu JPM kwenye covid.JPM alifanikiwa sana.
Pambana na kesi ya mtemi wenu ya corona waachie wenye nayo.Salim Ahmed Salim foundation imetoa mchango wa 100m/- MUHAS kuunga mkono jitihada dhidi ya UVIKO-19.
Hatua ya kupongezwa kabisa yenye kustahili kuungwa mkono bila kujali nani haoni umuhimu huo.
Hata hivyo wakfu huo wamesema walisukumwa kutoa pesa hizo katika kuyaenzi maisha ya marehemu mke wa Waziri Mkuu mstaafu huyu, ambaye alifariki 20 Oct 2020 kwa ugonjwa hatari wa UVIKO.
Hayati Magufuli kwa wakati huo Rais wa JMT kumbe alijua akamuombea ila akaendelea kudai hakukuwa na Corona nchini.
Roho ngumu kabisa za binadamu zenye kustahili kuangaliwa vinasaba vyake.
JPM anapaswa kushtakiwa kwa kuficha ugonjwa na kusababisha vifo vya maelfu.
Pambana na kesi ya mtemi wenu ya corona waachie wenye nayo.
Mambo mengine yanakudhidi acha nayo utapata sonona ufe kibudu.Miaka 11 ya kazi:
View attachment 1982613
Tunajua kuna mada huwaibua.
Tusaidie ndugu taasisi ya urais kwa kifungu kipi cha katiba?
Kuhusiana na corona JPM alijitahidi pakubwa