Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,729
- 2,851
Salim Ahmed Salim foundation imetoa mchango wa 100m/- MUHAS kuunga mkono jitihada dhidi ya UVIKO-19.
Hatua ya kupongezwa kabisa yenye kustahili kuungwa mkono bila kujali nani haoni umuhimu huo.
Hata hivyo wakfu huo wamesema walisukumwa kutoa pesa hizo katika kuyaenzi maisha ya marehemu mke wa Waziri Mkuu mstaafu huyu, ambaye alifariki 20 Oct 2020 kwa ugonjwa hatari wa UVIKO.
Hayati Magufuli kwa wakati huo Rais wa JMT kumbe alijua akamuombea ila akaendelea kudai hakukuwa na Corona nchini.
Roho ngumu kabisa za binadamu zenye kustahili kuangaliwa vinasaba vyake.
Cowen powell waziri wa mambo ya nje mstaafu wa marekani kafa na corona juzi wakati wao ndo watoa chanjo na waathirika wakubwa, je hilo ni jina kubwa je wale ambao hawana majina hwatangazwi je?
Sema wewe leo wagonjwa au watu waliokufa marekani kwa corona ni wangapi, unawajua?
Mambo mengine muwe mnatuliza vichwa na sio kufyatuka tu.