- Thread starter
- #81
HAKUNA CORONA ZAIDI YA PROPAGANDA. Niamini mkuu.Unaweza jiuliza now Corona imeenda wapi?Kabla ya kifo cha Magufuli kila kona zilikua ni kelele za Corona. Baada ya kifo kukawa kimya kama miezi 4 hivi,Corona ilienda wapi?Sababu zilizofanya kuwe na Lockdown na sheria kali mwaka jana mbona saiz hazipo ilhali variety iliyopo sasa inaonesha ni mbaya kuliko mwanzo?Toka imeanza Corona sijawahi tumia kitu kinaitwa sanitizer au kufuata njia zao za kujikinga, Ninafanya kazi ktk mazingira ambayo ni hatari sana ktk kuenea kwa Corona lkn sijawahi sikia miongoni mwetu kaondoka au kalazwa Corona. Inawezekana vipi?Uganda hadi leo wamefunga shule kujikinga na Corona, ni kwamba Uganda Corona yao ni hatari sana kuliko Nchi zingine au wanatumia sayansi gani?Tuliona bungeni eti watakua wanaingia mchana ili kujikinga na Corona, Hii ni sayansi gani inayosema wakiingia Asubuhi watapata Corona?Kulikua na mazuio ya kutembea usiku huko Kenya na RSA,hii ni sayansi gani inayosema Corona inasambaa sana usiku kuliko mchana na ukiangalia usiku population huwa ndogo sana?
Hata Amne (RIP) watakuwa wamemsingizia tu hajafa kwa Corona.
Corona haipo.
Ila ngoja tunyooshe jinga moja moja. Tutaelewana mbele kwa mbele.