Mkuu kama colonel powel kafa kwa corona,, na hao ndo deep state,, nini kinakufanya usiamini ugonjwa upo?, Boris johnson nusra afe kwa corona, almanusra tu, kama hawa wenye dunia ndo wanakufa, unadhani kuna mtu kweli anafanya mizengwe?
Corona ipo, ni virus disease, hizi hazinaga tiba mara nyingi labda chanjo,
Hizi chanjo hazifanyi kazi kwa wazee sana na wenye underlined health issues,
Pia hizi chanjo waliziwahisha sana kuzi approve,
So kinga binafsi ya mtu ndo itamuokoa,,
Pilipili manga limao etc zinaongeza sana natural immunity agaisnt covid, kuliko hata hizi artificial immunities za chanjo kutoka ulaya[emoji23][emoji23]