- Thread starter
- #141
Je hata chake kikifichwa?
Napita tu.
Chake umeme ulikatika. Hakukuwahi kusikika kifo hiki. Labda hakitasikika kingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je hata chake kikifichwa?
Napita tu.
Sisi tulipunguza vifo vinavyo sababishwa na ile taharuki ya corona, hao majirani zetu maigizo waliyokuwa wanafanya yaliwasaidia nini?Ndo kusema corona si ugonjwa unaoua bali watu kwenye nchi za wenzetu walikufa kutokana na kutangaziwa uwepo wa ugonjwa huo na kuwekwa lockdown na kwamba sisi tulisalimika kutokana na msimamo wa Magufuli. Seriously?
Kazi yenu imebaki hiyo kumlaumu marehemu.Ushenzi tu huo.
Kwa hyo takwimu ndo dawa ya Corona?Unataka kusema nini? The best wa kuficha takwimu na kuacha watu wafe bila hatua zozote? Na yeye mwenyewe kafia hiyo hiyo, na unamwona "the best"! Watanzania tupo nyuma sana kifikra.
Uwezi pata haki hapa duniani mkuu,hata Mungu tunayemsema anatenda haki,ukimzingua anakukatilia mbali, jaribu kusoma maneno yake,alafu uone waliopingana nae uone walichofanywa au watakachofanywa,Sembuse mwanadamu ambaye si mkamilifu;ishi kwa kufuata sheria na taratibu tulizojiwekea,hautaona usumbufu.
unajua kila siku watu wangapi wanakufa kwa malaria,tb n.k hapa Tanzania?Unadhani is the best hata kwa Amne Ahmed Salim, na wahanga wengine wote kwa malaki kama uonavyo hapo?
#COVID19 - Kwa mujibu wa Zitto Kabwe, Tunapoteza watu kwa kiwango kikubwa kutokana na Corona
Kweli mkuki kwa nguruwe.
unajua kila siku watu wangapi wanakufa kwa malaria,tb n.k hapa Tanzania?
Kwanini takwimu ziwe za korona peke yake?
Nchi gani ambayo hawajapoteza watu wengi?
This is fearmongering.Sasa kutomsikia Salim ndio nini,anaugua Corona!Wewe ni fearmonger tu unayetumiwa na Shetani.Hii Corona mnayo ongelea mitandaoni ambayo mitaani hatuioni ni Corona gani.Tatizo lenu pia ni kwamba siku hizi mnaamini kwamba kila ugonjwa including respiratory illnesses ni Corona.Change your mind set,that is not true.
By the way tell me why you believe Salim anaugua Corona.That is give me the symptoms he has.
Naomba uyawaze haya:Umeambiwa chanjo si warranty ya kutokuugua.
Ipo tofauti ya magonjwa na ndiyo maana mengine kama malaria hata kupata chanjo tu imekuwa vigumu.
Kigezo kikubwa kikiwa ni muda gani kumbukumbu za taarifa za chanjo (kinga yaani antibodies) zinaweza kudumu mwilini.
Chanjo zinauandaa mwili kupambana na ugonjwa wala si kuwa chanjo yenyewe ndiyo inapambana na ugonjwa.
Kipi hapo usichoelewa kuwa kwanini mtu aliyechanjwa anaweza kuugua akaona au hata akafa ila anayo nafasi nzuri zaidi ya kupambana kuliko aliyechanjwa?!
Anawaombea mpate Rais anayejitambuaKwani yule aliyekuwa akiwajali sana watanzania anasema je?
Bila kujali walifanya upuuzi au la lakini kila sehemu watu walikufa kwa COVID-19🦠😷 tena pengine zaidi ya TanzaniaKwa kufanya upuuzi wa kusema hakuna Covid...!??
Shetani si ndiye anaye wafanye watu wafanye ujinga wa kila aina!Shetani tena? Ulikutana naye wapi ukufanya naye mazungumzo na kujuzana kuwa hutuma watu.
Kwanini uliyetumwa naye usiwe wewe?
Mitaani hata ukimwi, kaswende, kifaduro, kipindu pindu nk navyo havipo.
Magonjwa hujui yaliko?
Nani kakwambia Salim anaugua Corona?
Soma mada kuelewa. Usirukie treni kwa mbele ni hatari kwa afya yako.
Acha kushikiliwa akili na mashoga wa westTofautisha malaria na Corona.
Uliwahi kusikia neno Janga?
Uliwahi kusikia neno hilo likitumika kwenye malaria, kisonono, kaswende, degree, kifaduro au pangusa?
Sijamtaja Shetani mkuu,soma comment yangu vizuri.
Hata waliofuata sayansi inavyotaka wameondoka kwa COVID-19🦠😷Alijitahidi wakati ilimuondoa? Badala ya kufuata science inasemaje yeye akafuata ujinga? Ulifurahishwa na Kabudi kunyweshwa Ile mikojo mbele ya camera ili kumfurahisha bwana mkubwa? BTW Ile stock ya Madagascar ipo wapi Kwa sasa? Iligawiwa vipi? Ilisambazwa vipi? Akina nani walitumia? Maana takwimu za Jensen tunapewa kila siku, ni vyema tupewe na takwimu ya Ile kitu ya Kabudi, maana ni Kodi zetu zilitumika kuifuata
Acha kushikiliwa akili na mashoga wa west
Kwani ulizuiwa kujikinga dhidi ya UVIKO?Acha kujifanya ulishikiwa akili na mtu.Hata Iddi Amini, Hitler, Mussolini na wababe wengine wa kuvita kama kina General Farah Adid hufika wakati wakakumbukwa.
Kuna Ahmed Salim foundation imetoa mchango kumkumbuka mpendwa wao hatukujua alikuwa mhanga wa UVIKO kwa sababu yake.
Kuna pia wa kufanana naye huko Brazil atakuwa anapanda kizimbani karibuni kwa kama yake.
Ndiyo ulio msingi wa hoja.
Umekurupuka kutokea kilabu cha wapi mkuu?
Nawa angalau uso basi?
Shetani si ndiye anaye wafanye watu wafanye ujinga wa kila aina!