Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
Nime revise comment.Yes nimemtaja kwa kuwa yeye ndiye anayefanya watu wafanye kila aina ya uovu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nime revise comment.Yes nimemtaja kwa kuwa yeye ndiye anayefanya watu wafanye kila aina ya uovu.
Tuzngumzie mambo ya msingi sio petty issues.Muda mfupi uliopita ulikataa kata kata kumtaja huyo mshirika wako kindaki ndaki.
Migambo mnaruka ruka na kukanyagana.
Ya shetani hayo yako mwaonekana kufahamiana vyema.
Nime revise comment.Yes nimemtaja kwa kuwa yeye ndiye anayefanya watu wafanye kila aina ya uovu.
Tuzngumzie mambo ya msingi sio petty issues.
kuna janga la ebola ulishawahi kusikia takwimu zake kila siku?.Tofautisha malaria na Corona.
Uliwahi kusikia neno Janga?
Uliwahi kusikia neno hilo likitumika kwenye malaria, kisonono, kaswende, degree, kifaduro au pangusa?
Kalisha kalio lako. Ameshakufa mtu wenuNchi gani ambayo hawajapoteza watu wengi?
kuna janga la ebola ulishawahi kusikia takwimu zake kila siku?.
Magonjwa ya mlipuko Yana kawaida ya kuja na kupotea ila sio Corona umeshakuwa ugonjwa wa kawaida na maisha yanaendelea utatoa takwimu Hadi lini?
Kwani ulizuiwa kujikinga dhidi ya UVIKO?Acha kujifanya ulishikiwa akili na mtu.
Hakikisha unahusisha vyema matumizi mazuri ya ubongo wako unapotoa mada
Hata waliofuata sayansi inavyotaka wameondoka kwa COVID-19🦠😷
COVID-19🦠😷imeondoa watu wa kila aina, madaktari bingwa, maprofesa
Kwahiyo wewe sasa hivi unalitembeza kalio kwa sababu mtu wako yupo?
Umeloa!Watu wengine lazima tu walete siasa ndio maana Tanzania ni miongoni mwa nchi ambao watu wake wana IQ ya chini sana duniani ni kwa sababu ya watu kama hawa, wao kulala kuamka ni vijembe vya siasa kisa wanalipiwa vocha. Very useless folks.
Tushukuru Mungu huo ugonjwa haujawai kua serious kwenye hii nchi kama kwa wenzetu.hizo mambo za magufuli sijui lock down ni ujinga tu wakati hali halisi inajionyesha.Tutumie vichwa vyetu vizuri kufanya tafiti za maana kuliko kukalia tu kua kutokua na lock down ndo maana corona haikutusumbua sana.
Jana Bill Gates akiwa Uingereza amekumbana na umati mkubwa wa watu wakimzomea kuwa ni muuaji....Wanaoona alijitahidi, wengine tunawaona ni accomplice kwenye uhalifu wake kama huyu:
Rais wa Brazil kushtakiwa kwa makosa ya Uhalifu Dhidi ya Binadamu
Tulieni jamani kuna watu wana kesi za kujibu.
Sijasema aliileta. Uwe unasoma kwa uangalifuWe umeleta ubunifu gani? Au utushauri hapa njia bora ya kupambana na Covid kama huna basi kaa kimya tu Covid haikuletwa na JPM muache apumzike.
Uhero gani? Kujificha chattle?Na wewe ulijificha wapi? Ulitaka ufungiwe kama kuku wa kizungu au? Magufuli is a hero!!
Jana Bill Gates akiwa Uingereza amekumbana na umati mkubwa wa watu wakimzomea kuwa ni muuaji....
Itafika wakati hapa kwetu watu baadhi yao watashitakiwa
Huyu ni marehemu na siyo hayati.Salim Ahmed Salim foundation imetoa mchango wa 100m/- MUHAS kuunga mkono jitihada dhidi ya UVIKO-19.
Hatua ya kupongezwa kabisa yenye kustahili kuungwa mkono bila kujali nani haoni umuhimu huo.
Hata hivyo wakfu huo wamesema walisukumwa kutoa pesa hizo katika kuyaenzi maisha ya marehemu mke wa Waziri Mkuu mstaafu huyu, ambaye alifariki 20 Oct 2020 kwa ugonjwa hatari wa UVIKO.
Hayati Magufuli kwa wakati huo Rais wa JMT kumbe alijua akamuombea ila akaendelea kudai hakukuwa na Corona nchini.
Roho ngumu kabisa za binadamu zenye kustahili kuangaliwa vinasaba vyake.
Huyu ni marehemu na siyo hayati.