- Thread starter
- #201
Hakuna covid 19 uswahilini,tuondoleeni upuuzi
Hata Amne Salim hakuugua Corona, haya kumbatieni werevu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna covid 19 uswahilini,tuondoleeni upuuzi
Si mara zote unaachia kitu ulichonacho buda
Umerudi kivip buda ?Kama alitaka kumshughulikia basi ubaya umerudi kwake.
Akikuletea usiache kutustua [emoji16][emoji16]
Kwani angemshulikiaje?Umerudi kivip buda ?
Namsubiri yaani...
Kwa namna ambayo angeona inafaa.Kwani angemshulikiaje?
Basi huenda kuna mtu alipanga kumshughulikia kwa namna aliyoona inafaa halafu mambo yakaenda kinyume nyume.Kwa namna ambayo angeona inafaa.
Mfano namna alivyoshughulikiwa makamba mkubwa na mdogo
Alifanikiwa kwa data gani ulizonazo?Wajinga na wapumbavu ndio wanamlaumu JPM kwenye covid.JPM alifanikiwa sana.
Alifanikiwa kwa data gani ulizonazo?
Comeon Brazaj you have just told me I have a low IQ,aren't you by saying that comparing yourself to me?How all of a sudden do you say we are not competing.Be serious Brazaj.Hujaona bandiko langu ila ni comments tu 😁😁.
Unajua hata unaongea nini?
Hiiiiii bagosha!
Ama kweli hujui hata tofauti maneno "bandiko" na "comments" unayoyatumia wewe mwenyewe?!
Kwamba ulikuwa awarded Ph.D? Hiyo si ya kwako? Nani kakwambia kuna mashindano ya CV hapa? Au umesikia kunatafutwa employment hapa?
The rest, you can honestly tell it to the birds.
Ninakazia:
Hiiiiii bagosha!
"Taharuki ya corona" unamaanisha nini?Sisi tulipunguza vifo vinavyo sababishwa na ile taharuki ya corona, hao majirani zetu maigizo waliyokuwa wanafanya yaliwasaidia nini?
Mimi pia siamini lockdown ilikuwa na tija katika kuzuia kusambaa kwa corona. Ninachopishana naye ni kuficha ukweli kuhusu maradhi na vifo vilivyotokana na ugonjwa huu na akaficha jina lake halisi kwa kuuita "changamoto ya upumuaji"Hayo umesema wewe, lakini nikwambie hata walioweka lockdown wamekufa sana inawezekana ndo wamekufa wengi zaidi.
Uweke lock down nchi kama hii ambayo mtu asipotoka nyumbani hali, watu watakufa kwa njaa badala ya Covid.
Punguzeni kulaumu JPM hiyo lock down haikuwa na tija na wala haina tija ndio maana nchi nyingi zimeondoa lock down
Comeon Brazaj you have just told me I have a low IQ,aren't you by saying that comparing yourself to me?How all of a sudden do you say we are not competing.Be serious Brazaj.
Nina maana pana sana, mfano tu kuna muda tulifikia hadi watu wenye magonjwa hatari kama ya moyo walikuwa wanaogopa kwenda kwenye clinic zao kwa kuhofia kupata corona hadi Madoctor wakawa wanashangaa hao wagonjwa wanatibiwa wapi?"Taharuki ya corona" unamaanisha nini?
Ile hali ya kila kifo kuhusishwa na corona ndio kitu ambacho ulikuwa unataka iwe? na huo kwako ndio ukweli ambao unaona Magu alikuwa akiuficha?Kuhu
Mimi pia siamini lockdown ilikuwa na tija katika kuzuia kusambaa kwa corona. Ninachopishana naye ni kuficha ukweli kuhusu maradhi na vifo vilivyotokana na ugonjwa huu na akaficha jina lake halisi kwa kuuita "changamoto ya upumuaji"
Mimi najua alifariki kwa tatizo la moyo.Una uhakika gani sina...?!? Wewe una proof ya kilichomfyeka ni kitu gani??
Angeweka orodha ya waliokufa kwa Covid wewe ungenufaikaje na takwimu hiyo kama sio kutishana tu?Kuhu
Mimi pia siamini lockdown ilikuwa na tija katika kuzuia kusambaa kwa corona. Ninachopishana naye ni kuficha ukweli kuhusu maradhi na vifo vilivyotokana na ugonjwa huu na akaficha jina lake halisi kwa kuuita "changamoto ya upumuaji"
Kwanini Corona isiondoke na ndugu zao wanaolala na kula pamoja na ikaondoa Magufuli na wasaidizi wake tu?Yaani Magufuli awe hatarini sana kuliko ndugu wa wasaidiz wake?Magufuli na wale wasaidizi wake wote waliondoka kwasababu ya nini vile? ugonjwa wa moyo!.
Watu mna kumbukumbu ndogo sana, wenzenu wamezika ndugu zao sababu ya Corona, nyie mnasema simple tu; "hakuna Corona, ni uongo wa wazungu"