OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Covid itamfyeka kama adhabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu hoja acha mihemkoHata Amne (RIP) watakuwa wamemsingizia tu hajafa kwa Corona.
Corona haipo.
Ila ngoja tunyooshe jinga moja moja. Tutaelewana mbele kwa mbele.
Mimi najua alifariki kwa tatizo la moyo.
We mjuaji tuambie Rais wetu alifariki kwa sababu gani unayoijua wewe
Jibu hoja acha mihemko
Kwahiyo hicho ulichobold ndio majibu ya hoja Corona haipo?Kwahiyo hivo vifo walivyosema ni Corona kweli ni Corona na inatakiwa iwe hivo?Vipi now wameacha kufa Corona?Kwenye red ni unachoita hoja.
Kwenye kijani ni majibu yake taslimu.
Kwenye purple tayari Jair Bolsonaro keshaingia kwenye 18 za wanaume [emoji16][emoji16].
View attachment 1983935
Kipi huelewi?
Mwenye mihemko ni wewe. Wacha hiyo haikusaidii.
Hiiiiii bagosha!
Ilijenga miradi ChatoPakubwa wapi? Bil.600 za corona alizipeleka wapi ilhali hakuna hata ventilator iliyonunuliwa?
Duniani sote tunapita hakuna atakaeishi mileleMwishowe ikaondoka naye
Sote ni mavumbi na mavumbini tutarudiNa ikamfyekelea mbali...
Mkuu hakuna atakayeishi mileleAlijitahidi wakati ilimuondoa?
All in all let him rest in peaceWanaoona alijitahidi, wengine tunawaona ni accomplice kwenye uhalifu wake kama huyu:
Rais wa Brazil kushtakiwa kwa makosa ya Uhalifu Dhidi ya Binadamu
Tulieni jamani kuna watu wana kesi za kujibu.
Inawezekana vipi mkewe na watu waliokaribu yake hawakuambukizwa naye?JMP aliondoka na Corona pasee hiyo no wazi haina kificho
Inawezekana vipi mkewe na watu waliokaribu yake hawakuambukizwa naye?
Sote ni mavumbi na mavumbini tutarudi
Unaelewa kwanini kuna social distancing?Unaelewa kwanini wagonjwa wa Corona hutibiwa kwa wauguzi kuvaa mavazi maalum?Au Corona ya bongo ni tofaut na tunayooneshwa huko MAGHARIBI?Kwani ni lazima waambukizwe au waugue serious na pengine wafe? Umeshikiwa akili zako na Gwajima ee...!?
Unataka kusema wewe hujawahi kuwa karibu au kukutana na wagonjwa wa corona?? Je uliambukizwa, na kama uliambukizwa ni kwa kiwango uliuugua..!?
All in all let him rest in peace
Inawezekana vipi mkewe na watu waliokaribu yake hawakuambukizwa naye?
Kwahiyo family ya Magufuli iliambukizwa na haikujulikana?Na inawezekana vipi kwa ugonjwa hatari sana kama Corona kuwe na kificho?Umekazania Habari za Anna,una uhakika ni kweli alikufa Corona au ni Propaganda za kutisha watu wasalim amri ktk Corona?Kwani ukiambukizwa lazima ufe?
Au ukiambukizwa lazima useme?
Mbona Amne tunakuja kujua mwaka mmoja baadaye?