- Thread starter
- #241
Kwani ni lazima waambukizwe au waugue serious na pengine wafe? Umeshikiwa akili zako na Gwajima ee...!?
Unataka kusema wewe hujawahi kuwa karibu au kukutana na wagonjwa wa corona?? Je uliambukizwa, na kama uliambukizwa ni kwa kiwango uliuugua..!?
Kagua masikio yake. Kama makavu bora achana naye tu, labda kama una mpango wa kutafuta damu japo ya kunyunyizia 😁😁.