Hayati Magufuli aliichangamsha Tanzania

Hayati Magufuli aliichangamsha Tanzania

Hao waliomwondosha kwa upanga nao wataondoka kwa style hiyohiyo basi.

Yes Kama alivyoondoka yeye kwa kumuua Saanane na kumshambulia Lissu. Alikosea Sana kumgusa Lissu. Maana ndio aliyeanza kutoa taarifa za kifo chake. Unampiga mtu risasi anapona halafu anakuja kutoa taarifa kwamba umekufa. Aisee Kuna funzo kubwa Sana.
 
Kuna watu huku JF ukitaja JPM wanakosa raha na wanafanya kila liwezekanalo ili wazime nyota yake.

Ila sipo uko

Kipindi cha JPM watanzania tulitembea kifua mbele sana...
Mungu kaamua ugomvi wanaolia waendelee kulia na wanaofurahi waendelee kufurahi.
 
Kuna watu huku JF ukitaja JPM wanakosa raha na wanafanya kila liwezekanalo ili wazime nyota yake.

Ila sipo uko

Kipindi cha JPM watanzania tulitembea kifua mbele sana.

JPM alifanya Tanzania tujulikane nje ya Tanzania sana kwa wale ambao wanatembea sana katika nchi nyingine watakubaliana na mimi ila kwa wabishi watabisha.

Kuna siku mwalimu wangu wa shule huku Canada alifanya reaction ya video za JPM ndani ya darasa sijui alimuona wapi yeye alikuja ndani ya darasa kabla ya kuanza kufundisha akaweka video ya JPM ile video yake ambayo alikuwa anapiga ngoma.

Halafu akatuhuliza eti amesikia huyu (JPM) ni raisi lakini alikuwa hajui ni wa nchi gani, wanafunzi wenzangu wakajibu na kusema ni Rais wa Tanzania kwao na akina wakataja jina langu.

Nilivimba ndani ya darasa wanafunzi wote wakaanza kusema il est meilleur président africain (yaani ni Rais bora Afrika)

Halafu mwalimu wangu akasema nimependa uchangamfu wake sana

Siyo hivyo tu kipindi cha JPM kila mtu alikuwa anajua Tanzania kwa style yake.

Tulikuwa tukisema nimetoka Tanzania utasikia wanasema kwa Magufuli
Wengine kwa yule Rais aliyekataa kufunga mipaka yake

Kama ninyi ni wafuatiliaji wazuri wa mitandao ya kijamii South Africa kuna comedian fulani hivi alikuwa anahojiwa kwa bahati mbaya alitaja jina la JPM vibaya alitukanwa na watu kwenye comment.

Nakumbuka kuna mtandao mmoja wa Ghana ulipost picha ya JPM halafu wakaandika maneno haya JPM Rais mpendwa zaidi Africa comment zilishuka apo mpaka raha.

Ukuu wa JPM uko nje ya Tanzania.

Sasa hivi nchi imepoa kama ugali wa muhogo, tulikuwa tumeshazoea matukio na vimbwanga vya mwanaume wa shoka.

View attachment 2392410
View attachment 2392409
ukweli ndo upo ila hakun zuri liclokuwa na baya

YING YANG
 
Alichangamsha Tanzania kwa kutuona ni wajinga na kuendesha nchi kwa kutupiga kamba👇🐒🐒🐒
View attachment 2392498
Na mungu kamwahi kumchijia baharini. Sasa akapayukie huko chako. Wale mapambe wake wataelewa tu. Bakora zingekuwa zinapigwa juu ya kaburi lake kila siku mpaka 2025 kwa kuvuruga nchi na kuwafundisha vijana uwongo.

Na kitabu kiandikwa Cha kumbukumbu ili iwe fundisho kwa vizazi vijavyo.
 
Utakuwa na ugonjwa inabidi ukatibiwe
 
Kakusanye watoto wako sebuleni kwako uwadanganye.
Pole sana mhanga ulifikiri Magufuri ni Mungu,ukasahau kuwa ni mwanadamu kama wewe,leo unaomboleza kweli kweli,kuna watu waliomboleza kipindi chake kuliko unavyoomboleza kwa mapenzi,kuna watu walipata hasara kipindi chake,kuna watu walikosa ajira kwa sababu yake,kuna watu walifilisika kwa sababu yake,kuna watu walikufa kwa sababu yake,kuna watu walipata ulemavu kwa sababu yake ,kuna watu walibomolewa makazi kwa sababu yake.
Na haya yote ni maswali ambayo ataendelea kuyatolea ufafanuzi kwa Muumba wake ili apate msamaha la sivyo Lucifer anachochea moto.
 
Kweli kabisa mkuu ,hata Lisu analijua hilo
 
Hayati alikua akiitwa Rais Magufuli sio Magufuri. Sasa hivi wanaoomboleza hawapo? Sahivi kila mtu ana ajira? Sahivi watu wameacha kupata hasara? Vipi sahizi watu hawafi? Tangu Rais Magufuli afariki watu hawafilisiki? Kwahiyo huyu nae afe kwa 'corona'? Huna akili.
 
Asante kwa masahihisho ila ujumbe umepokelewa.
Wanamageuzi huwa hawafi ndugu, mawazo yao yanaishi milele. Alikotutoa Hayati haturudi kamwe, ndio imeshatoka hiyo, tutahakikisha hivyo mpaka tone letu la mwisho la damu. Kama unadhani sadaka ya damu yake kwa taifa hili imeenda bure pole sana.
 
Jamaa lawama zote zilikuwa zinaenda kwake ila sasa hivi lawama zinaishia kwa mawaziri tu na rais anakuwa kama hana mamlaka vile. Sasa hivi kuna type za akina Makonda (untouchable) ambao huleta athari kwa nchi kiujumla.
 
Kuna watu huku JF ukitaja JPM wanakosa raha na wanafanya kila liwezekanalo ili wazime nyota yake.

Ila sipo uko

Kipindi cha JPM watanzania tulitembea kifua mbele sana.

JPM alifanya Tanzania tujulikane nje ya Tanzania sana kwa wale ambao wanatembea sana katika nchi nyingine watakubaliana na mimi ila kwa wabishi watabisha.

Kuna siku mwalimu wangu wa shule huku Canada alifanya reaction ya video za JPM ndani ya darasa sijui alimuona wapi yeye alikuja ndani ya darasa kabla ya kuanza kufundisha akaweka video ya JPM ile video yake ambayo alikuwa anapiga ngoma.

Halafu akatuhuliza eti amesikia huyu (JPM) ni raisi lakini alikuwa hajui ni wa nchi gani, wanafunzi wenzangu wakajibu na kusema ni Rais wa Tanzania kwao na akina wakataja jina langu.

Nilivimba ndani ya darasa wanafunzi wote wakaanza kusema il est meilleur président africain (yaani ni Rais bora Afrika)

Halafu mwalimu wangu akasema nimependa uchangamfu wake sana

Siyo hivyo tu kipindi cha JPM kila mtu alikuwa anajua Tanzania kwa style yake.

Tulikuwa tukisema nimetoka Tanzania utasikia wanasema kwa Magufuli
Wengine kwa yule Rais aliyekataa kufunga mipaka yake

Kama ninyi ni wafuatiliaji wazuri wa mitandao ya kijamii South Africa kuna comedian fulani hivi alikuwa anahojiwa kwa bahati mbaya alitaja jina la JPM vibaya alitukanwa na watu kwenye comment.

Nakumbuka kuna mtandao mmoja wa Ghana ulipost picha ya JPM halafu wakaandika maneno haya JPM Rais mpendwa zaidi Africa comment zilishuka apo mpaka raha.

Ukuu wa JPM uko nje ya Tanzania.

Sasa hivi nchi imepoa kama ugali wa muhogo, tulikuwa tumeshazoea matukio na vimbwanga vya mwanaume wa shoka.

View attachment 2392410
View attachment 2392409
Wachawi mpo wengi..
Yaani mlishazoea kula nyama za watu
 
You've got to the Bull pint....huo ukweli utabaki hivyo milele,huyu mama hata leo hatumjui sura yake halisi ni ipi.
Maana tangu aingie siasa yeye ni mficha sira mpaka sasa.
Hata zile "Mask" za covid19 amekwenda kuzivulia Uingereza kwenye msiba wa Malkia.
Baada ya kujikuta ni yeye tu aliyekuwa amevaa katika hadhira ya pale Airport Uingereza.
 
Back
Top Bottom