Hayati Magufuli aliichangamsha Tanzania

Hayati Magufuli aliichangamsha Tanzania

Magufuli alikuwa royal tour yeye mwenyewe hakuhitaji kurekodi filamj
 
Wanamageuzi huwa hawafi ndugu, mawazo yao yanaishi milele. Alikotutoa Hayati haturudi kamwe, ndio imeshatoka hiyo, tutahakikisha hivyo mpaka tone letu la mwisho la damu. Kama unadhani sadaka ya damu yake kwa taifa hili imeenda bure pole sana.
Ukabila wake basi,ukanda wake basi,uchama wake basi pole sana.
 
Hakuwa na direction wala alichokuwa anakijenga ili kiwe nini baada ya miaka kumi hivi, kila kitu kilienda kwa mihemko/matamko bila kutazama adhari za kiuchumi na kijamii. we wer heading to the ditch/ bankruptcy.
 
Ukiwa mwovu sana, Dunia yote itakufahamu.

Kuna mtu hapa Tanzania ambaye hajawahi kuwasikia PANYAROAD?
Kwani vyeti feki si wamerudishwa kazini?

Makasiriko Kwa MAGUFULI hayupo tena.
Shida Nini?
 
Huyu alikuwa mwanaume kweli wa africa. Kila kiongozi wa africa alitamani kuja kuonana nae. Viongozi walikuwa wanamfuata hadi chato.
Nakumbuka Kenyatta alisema nimekuja huku chato ukiwa likizo ili nipate muda mzuri na wewe.
Mu7 alisema hii makufuli imekufa kizembe Sana hii sio ugonjwa ya kuua mutu kama yeye
 
Back
Top Bottom