Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
SawaUmeambiwa ana watoto 7 na wajukuu 10 bado tu huelewi
Umemsahau jesca? alikuwa afisa utumishi moro.Ana watoto 7, HAKUNA aliye kwenye utumishi wa umma
Ungehoji/uliza kabla, au hukuwa na ujasiri?Taarifa sahihi ya watoto wa Mhe. JPM haijawahi kuwekwa wazi na pia yeye akupenda kuingiza familia yake kwenye majukumu yake. Hadi Sasa ni vigumu kujua idadi ya watoto, majina yao pamoja na kazi wanaofanya.
Nichukue fursa hii kuhoji historia ya familia hii kwa kutaka kujua ina ukubwa gani na je familia ya mke mmoja au mke zaidi ya mmoja? Haya ni Mambo muhimu kwa jamii kujua ili kuiga nakufuata Yale yanayoonekana yanafaa
Huu uongo mwingine sasaUmemsahau jesca? alikuwa afisa utumishi moro.
Nasikia TBC wanatangaza kwamba alianza safari ya kisiasa mwaka 1995 ambapo alichaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Magharibi.Taarifa sahihi ya watoto wa Mhe. JPM haijawahi kuwekwa wazi na pia yeye akupenda kuingiza familia yake kwenye majukumu yake. Hadi Sasa ni vigumu kujua idadi ya watoto, majina yao pamoja na kazi wanaofanya.
Nichukue fursa hii kuhoji historia ya familia hii kwa kutaka kujua ina ukubwa gani na je familia ya mke mmoja au mke zaidi ya mmoja? Haya ni Mambo muhimu kwa jamii kujua ili kuiga nakufuata Yale yanayoonekana yanafaa
Hujitambui.Jiwe kaacha watoto 7 na wajukuu 10,ujue wasukuma wanapenda Sana kuzaana kama kuku ndo maana kanda ya ziwa ina watu wengi
Mbona kabudi kalisema hilo, kasema 1990 aligombea ubunge hakufanikiwa kupataNasikia TBC wanatangaza kwamba alianza safari ya kisiasa mwaka 1995 ambapo alichaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Magharibi.
Sijui kwanini wanakwepa kusema ukweli, kuwa mwaka 1990 aligombea Ubunge katika Jimbo tajwa hapo juu na kushindwa!
Kabudi aliliweka wazi hili alipokuwa akisoma historia ya Hayati JPM.Nasikia TBC wanatangaza kwamba alianza safari ya kisiasa mwaka 1995 ambapo alichaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Magharibi.
Sijui kwanini wanakwepa kusema ukweli, kuwa mwaka 1990 aligombea Ubunge katika Jimbo tajwa hapo juu na kushindwa!
Labda kama aliacha!! miaka kama mitatu hivi, alikuwa moro!Huu uongo mwingine sasa