Hayati Magufuli alijaaliwa watoto wangapi? Wangapi wapo ndani ya utumishi wa Umma?

Hayati Magufuli alijaaliwa watoto wangapi? Wangapi wapo ndani ya utumishi wa Umma?

Status
Not open for further replies.
Nikwelii aligombea ubunge mara ya kwanza 1985 akakosa 1990 akakosa tena
 
Nasikia TBC wanatangaza kwamba alianza safari ya kisiasa mwaka 1995 ambapo alichaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Magharibi.

Sijui kwanini wanakwepa kusema ukweli, kuwa mwaka 1990 aligombea Ubunge katika Jimbo tajwa hapo juu na kushindwa!
Lakini kabudi kasema ila wakesahau kutaja kuwa alipiga kampeni kwa kutumia baiskeli
 
Watoto wa hayati Dr.JPM Ni kama ifuatavyo
1.Suzan
2.Edina
3.Mbalu
4.Jesca
5.Joseph
6.Jeremiah
7.
Nimemsahau mmoja
 
Naamini watoto wake pamoja na baba yao kuwa ndani ya serikali kwa muda wote hawajawahi kuwa na furaha na baba yao kwasababu ya ubabe wa dingi, hakuna furaha kwakuwa hakuna amani.
 
Taarifa sahihi ya watoto wa Mhe. JPM haijawahi kuwekwa wazi na pia yeye akupenda kuingiza familia yake kwenye majukumu yake. Hadi Sasa ni vigumu kujua idadi ya watoto, majina yao pamoja na kazi wanaofanya.

Nichukue fursa hii kuhoji historia ya familia hii kwa kutaka kujua ina ukubwa gani na je familia ya mke mmoja au mke zaidi ya mmoja? Haya ni Mambo muhimu kwa jamii kujua ili kuiga nakufuata Yale yanayoonekana yanafaa
Kwa mujibu wa wasifu uliosomwa leo ana watoto saba...
 
Mwacheni mzee wa watu apumzike jamani kama alifanya Siri iweje akiwa hayupo duniani mjaribu kupekenyua pekenyua ya sirini?
Magufuli kwenye msiba wa Masaburi alikanusha pale pale kwamba masaburi hana mke mmoja bali ana mke zaidi ya mmoja. Hakuwa mtu wa kuficha ficha taarifa.

Iweje leo mnataka kusema uongo juu ya marehemu wakati yeye mwenyewe alikuwa msema kweli
 
Naamini watoto wake pamoja na baba yao kuwa ndani ya serikali kwa muda wote hawajawahi kuwa na furaha na baba yao kwasababu ya ubabe wa dingi, hakuna furaha kwakuwa hakuna amani.
Ramli ......Walikuwa wanakutaarifu hivyo? Ukawasaidiaje Sasa ili wapate furaha?
 
Yangu na yako zote zimetazama chini, na sote tutakwenda swali ni kwamba utaacha alama gani positive au negative, mwamba amesepa grafu ikiwa negative.
Upo kitengo gani hapo mbinguni?

Angalia usihukumu maana na wewe utahukumiwa kwa kipimo kilekile ulichowapimia wenzako.
 
Taarifa sahihi ya watoto wa Mhe. JPM haijawahi kuwekwa wazi na pia yeye akupenda kuingiza familia yake kwenye majukumu yake. Hadi Sasa ni vigumu kujua idadi ya watoto, majina yao pamoja na kazi wanaofanya.

Nichukue fursa hii kuhoji historia ya familia hii kwa kutaka kujua ina ukubwa gani na je familia ya mke mmoja au mke zaidi ya mmoja? Haya ni Mambo muhimu kwa jamii kujua ili kuiga nakufuata Yale yanayoonekana yanafaa
Huyu alikuwa mwizi,alizuia wengine wasiibe,aibe yeye,
Kuweka wazi familia yako,ni Swala la kiungwana maana huwezi kuwa mwadirifu kwenye utumishi wa umma wakati maisha yako yamejaa uhuni mtupu,mzinzi,vimada wengi,hueshimu mkeo,mumeo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom