Hayati Magufuli alijaaliwa watoto wangapi? Wangapi wapo ndani ya utumishi wa Umma?

Status
Not open for further replies.
Daaaaah wazungu nnoma
 
Nasikia TBC wanatangaza kwamba alianza safari ya kisiasa mwaka 1995 ambapo alichaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Magharibi.

Sijui kwanini wanakwepa kusema ukweli, kuwa mwaka 1990 aligombea Ubunge katika Jimbo tajwa hapo juu na kushindwa!
Mbona wamesema pia ungesikiliza wasifu wake aliousoma Kabudi leo.....mara ya kwanza aligombea ubunge1990 na alishindwa
 
Magufuli kwenye msiba wa Masaburi alikanusha pale pale kwamba masaburi hana mke mmoja bali ana mke zaidi ya mmoja. Hakuwa mtu wa kuficha ficha taarifa.

Iweje leo mnataka kusema uongo juu ya marehemu wakati yeye mwenyewe alikuwa msema kweli
Ujue kuna tofauti kati ya mke na mchepuko. Masaburi alikuwa ameoa mke zaidi ya mmoja ila JPM alioa mmoja Janeth ila michepuko ipo. Mchepuko siyo mke bwashee
 
Watoto wa Magufuli ni Suzzan John Magufuli, Edna John Magufuli, Joseph John Magufuli, Jesca John Magufuli, Ruth John Magufuli, Jurgen John Magufuli, Jeremiah John Magufuli pamoja na marehemu Juliana John Magufuli.
Viongozi wa africa uzalendo upo midomoni tu lkn vitendo wanaabudu mabeberu...

Mbona watoto wote hakuna mwenye jina la kizalendo?
 
Kama ni uongo leta ukweli ww. Magufuli aligombea ubunge 1985 akashindwa na Kabuye na hali ilikuwa hivyo hivyo 1990. Aliukwaa ubunge mwaka 1995 baada ya jimbo la Biharamulo kugawanywa na kuwa mawili. Vinginevyo alikuwa hatoboi kwa Phares Kabuye
Ndio hapo ujue Mola hupanga mambo.....
amekomaa akafanikiwa now he died as a president......
kuna funzo kubwa sana hapo......
usikate tamaaa katika mapambano
Third time lucky
 
Mwacheni mzee wa watu apumzike jamani kama alifanya Siri iweje akiwa hayupo duniani mjaribu kupekenyua pekenyua ya sirini?
Hata mi hii sijapenda[emoji848][emoji848]

Alikuwa msiri mnoo na private life lake, so let's keep it[emoji122][emoji122]
 
Ukishapitiwa tu ndo ga i imewaka, mambo ya kuzaa ni kama kuingiza gear tu.
Kila ukivuta kumbukumbu ya utamu wa shemeji mzuka nao huo
Eti ukivuta kumbukumbu ya utamu.
Nyie watu mna maneno.....
 
Hata mi hii sijapenda[emoji848][emoji848]

Alikuwa msiri mnoo na private life lake, so let's keep it[emoji122][emoji122]
Alikua msiri wapi kila akishika kipaza jukwaani utaskia "mwanamke mweupe!"
 
Mbona simpo, na yeye anamtafuta bro anam-ride
Waif amewahi kunishuku lkn Hana ujakika. I can imagine Kama akijua nimetembea na mwanamke mwingine Tena nimezaa nae halafu ndugu yake.
 
Maswali kuhusu familia ya mpendwa wetu yanazidi kutamalaki kila uchao.
Sielewi kwanini mnauliza wakati huu.
 
Maswali kuhusu familia ya mpendwa wetu yanazidi kutamalaki kila uchao.
Sielewi kwanini mnauliza wakati huu.
Labda waliogopa wangeuliza enzi zile yangewakuta ya Ben saanane, si unajua nae aliuliza!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…