Hayati Magufuli alijaaliwa watoto wangapi? Wangapi wapo ndani ya utumishi wa Umma?

Status
Not open for further replies.
Wanaume mjifunze jamani mkizaa na michepuko watoto hawatakua recognized kamweπŸ˜…

Na kwa wale michepuko mambo Kama haya unalilia tu kwenye kona..
 
Watoto wa Magufuli ni:
Suzzan John Magufuli,
Edna John Magufuli,
Joseph John Magufuli,
Jesca John Magufuli,
Ruth John Magufuli,
Jurgen John Magufuli,
Jeremiah John Magufuli
marehemu Juliana John Magufuli.

Chanzo BBC swahili.
 
Nasikia TBC wanatangaza kwamba alianza safari ya kisiasa mwaka 1995 ambapo alichaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Magharibi.

Sijui kwanini wanakwepa kusema ukweli, kuwa mwaka 1990 aligombea Ubunge katika Jimbo tajwa hapo juu na kushindwa!
Mbona hyo kabudi kaelezea na akasema magufuli akampa mkono wa hongera mshindi
 
Hata mi hii sijapenda[emoji848][emoji848]

Alikuwa msiri mnoo na private life lake, so let's keep it[emoji122][emoji122]
Sure na walioshupalia ni wanaume ambao nao Wana michepuko kila corner, mtu ka hajasema Jambo why muliongelee yeye, alikuwa anawalinda na public eye
 
Naamini watoto wake pamoja na baba yao kuwa ndani ya serikali kwa muda wote hawajawahi kuwa na furaha na baba yao kwasababu ya ubabe wa dingi, hakuna furaha kwakuwa hakuna amani.
Hujamsikiliza samia suluhu ww amesema anaongea kwa ukali ila ni mtu mcheshi na anapenda sana utani ile ni kwa nje tu
 
Hujamsikiliza samia suluhu ww amesema anaongea kwa ukali ila ni mtu mcheshi na anapenda sana utani ile ni kwa nje tu
Kwa utani nindhani hata wasaidizi wake walikua wanacheka sana.
 
Kwa utani nindhani hata wasaidizi wake walikua wanacheka sana.
Haa πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜πŸ˜€
Nimepitia Neno Kwa Neno
Jiwe Apumzike Kwa Amani
Amelala Mauti
Tutamkumbuka Sana
 
kazi ipo!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…