Hayati Magufuli alikamata kila mwenye akili ya kuhoji, alitaka kuongoza nchi ya Wajinga tu, Hata hivyo ilishindikana

Hayati Magufuli alikamata kila mwenye akili ya kuhoji, alitaka kuongoza nchi ya Wajinga tu, Hata hivyo ilishindikana

Mbowe kafanikiwa kuwalisha limbwata.

Mwaka wa 50 huu ni mwenyekiti wenu na hakuna mwenye guts za kumuuliza lini atastep down.

Wote mpo kimya mnamuita mwamba.
Nje ya mada
 
Una tatizo kwenye hilo dish lako, leo ni mada ngapi umeanzisha za kumkashifu hayati jpm?!, kwa jibs ulivyompumbavu huoni hata mchango ya wajumbe inakutukana!?. Una fikra mbirikimo na akili zenye matege.
 
Usilie , ndio kwanza tunaanza
 
Ikiwa tumeingia mwezi wa 3 , ambao kwa mahesabu ya Tanzania na wanazuoni ni mwezi wa Mungu ( wenye akili wameelewa ) , tutajitahidi kuanzia leo na kuelekea mwisho kuwaletea makala za kusikitisha za uozo wa serikali ya awamu ya 5 na viongozi wake , wakiwemo waliokufa na walio hai , wakiwemo wenye madaraka hadi leo na wale ambao wako Benchi .

Tunachoahidi ni kuhakikisha kwamba kila hoja zetu zitakuwa na ushahidi uliotukuka bila longolongo yoyote , kikubwa twende na kanuni ileile ya kwamba AKUANZAE MMALIZE

Pichani ni Tito Magoti aliyetekwa na kunusurika kuuawa na utawala huo akipelekwa mahakamani, nusura yake ilitokana na makelele ya Watu kutaka apatikane akiwa hai , hii ni baada ya Mashuhuda kuona namna alivyotekwa tangu mapema kabisa , huyu aliponea tundu la sindano

View attachment 2933711

Ombi letu ni hili , kila mwenye ushahidi wa mambo yote machafu ya awamu ya 5 ajitokeze kuuleta , katika makala zetu hizi kabambe za Mwezi huu wa Mungu , HATUTAKUWA NA MSWALIE MTUME .

NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO
Na nyie wekeni mbo yenuachafu
 
Back
Top Bottom