Hayati Magufuli alikamata kila mwenye akili ya kuhoji, alitaka kuongoza nchi ya Wajinga tu, Hata hivyo ilishindikana

Hamuachi huu us.....e kila kukicha..mtu yupo kaburin ila bado tu...watu wa hovyo kabisa.
Narudia tena , Bashiru naye kafa ? Polepole je ? Sirro , Mambosasa na Makonda nao wamekufa ? hatutaacha kuhoji ujinga wao hadi wakiri hadharani makosa yao na kuomba radhi
 
Hamuachi huu us.....e kila kukicha..mtu yupo kaburin ila bado tu...watu wa hovyo kabisa.
Achana na wa kaburini, shetani yeye yupo kuzimu zaidi ya miaka afu 2 sasa na anapigwa spana kila kona ya dunia hii ila huwezi ona chawa wake wakilalamika!
 
Ikiwa tumeingia mwezi wa 3 , ambao kwa mahesabu ya Tanzania na wanazuoni ni mwezi wa Mungu ( wenye akili wameelewa ) , tutajitahidi kuanzia leo na kuelekea mwisho kuwaletea makala za kusikitisha za uozo wa serikali ya awamu ya 5 na viongozi wake , wakiwemo waliokufa na walio hai , wakiwemo wenye madaraka hadi leo na wale ambao wako Benchi .

Tunachoahidi ni kuhakikisha kwamba kila hoja zetu zitakuwa na ushahidi uliotukuka bila longolongo yoyote , kikubwa twende na kanuni ileile ya kwamba AKUANZAE MMALIZE

Pichani ni Tito Magoti aliyetekwa na kunusurika kuuawa na utawala huo akipelekwa mahakamani , nusura yake ilitokana na makelele ya Watu kutaka apatikane akiwa hai , hii ni baada ya Mashuhuda kuona namna alivyotekwa tangu mapema kabisa , huyu aliponea tundu la sindano

View attachment 2933711

Ombi letu ni hili , kila mwenye ushahidi wa mambo yote machafu ya awamu ya 5 ajitokeze kuuleta , katika makala zetu hizi kabambe za Mwezi huu wa Mungu , HATUTAKUWA NA MSWALIE MTUME .

NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO
inaweza kuwa na msaada wowote labda?
aliekufananisha na lukasi kumbe hakuwa mjinga!
 
Kwamba Mkt Mbowe hakusema wakaidi wa kuchanjwa, wachanjwe Kwa lazima?

Hadi niweke video hapa?
Kwani kuchanjwa kwako ni big deal sana? Mbona miaka nenda rudi tunapigwa machanjo ya Surua, polio nk na maisha yanasonga tu? Mbona kuna raia kibao wamechanjwa corona na life linasonga fresh tu? Tatizo lako wewe ni nini kwani?
 
Mkt Mbowe kushauri wote wasiohiari kuchanja Chanjo ya korona wakamatwe Kwa nguvu na kufungwa Chanjo ya Coronavirus,

Huoni kwamba Mbowe alionyesha chembe za UDIKTETA?

Tangu lini Chanjo ikawa lazima?
Ndio tunasema, CHADEMA ni puppets wa hizi big Corporations za Ulaya na Marekani. Dozi moja si chini ya Dola $200 na sahivi ukipiga chafya tu huko, unadungwa. Leo hii Tanzania tusingekuwa na hata huo Umeme wa ration.

Ndio maana CHADEMA walikuwa wanataka tudungwe tu madawa yale ili wapate ka kick back za Uchaguzi n.k ??

Leo hii muulizeni huyo Mbowe keshapiga dozi ngapi? huko Ulaya na Marekani washapiga zaidi ya 5 wanaziita booster. Mbowe amepiga Booster?

Halafu anadai watu wapewe haki ya kujiamlia. Akagombee uenyekiti wa mtaa wa Ufipa.
 
Bwashee tuache tu maana Mwenyekiti yuko Chini ya uangalizi wa DPP
iu
 
Katika nyuzi 20 tutakazoweka hapa kuanzia kesho utaelewa unyama wa jiwe , weka bando tu , tutakuwekea ushahidi mwanana mno
Sema Propaganda ueleweke.

Eniweyi kamandi ipo tayari. Bring it.

Usisahahu tu kuleta picha za Lissu akicharazwa risasi.
 
Achana na wa kaburini, shetani yeye yupo kuzimu zaidi ya miaka afu 2 sasa na anapigwa spana kila kona ya dunia hii ila huwezi ona chawa wake wakilalamika!
Hivi unaona spana anazopigwa Lissu? Sasa mkaja mkamtembeza weee muonewe hurumu. Tanzania hainaga kura za Huruma.

Uzeni sera.
 
Ikiwa tumeingia mwezi wa 3 , ambao kwa mahesabu ya Tanzania na wanazuoni ni mwezi wa Mungu ( wenye akili wameelewa ) , tutajitahidi kuanzia leo na kuelekea mwisho kuwaletea makala za kusikitisha za uozo wa serikali ya awamu ya 5 na viongozi wake , wakiwemo waliokufa na walio hai , wakiwemo wenye madaraka hadi leo na wale ambao wako Benchi .

Tunachoahidi ni kuhakikisha kwamba kila hoja zetu zitakuwa na ushahidi uliotukuka bila longolongo yoyote , kikubwa twende na kanuni ileile ya kwamba AKUANZAE MMALIZE

Pichani ni Tito Magoti aliyetekwa na kunusurika kuuawa na utawala huo akipelekwa mahakamani , nusura yake ilitokana na makelele ya Watu kutaka apatikane akiwa hai , hii ni baada ya Mashuhuda kuona namna alivyotekwa tangu mapema kabisa , huyu aliponea tundu la sindano

View attachment 2933711

Ombi letu ni hili , kila mwenye ushahidi wa mambo yote machafu ya awamu ya 5 ajitokeze kuuleta , katika makala zetu hizi kabambe za Mwezi huu wa Mungu , HATUTAKUWA NA MSWALIE MTUME .

NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO
Mzee Mwanakijiji una maoni gani?
 
Kwani kuchanjwa kwako ni big deal sana? Mbona miaka nenda rudi tunapigwa machanjo ya Surua, polio nk na maisha yanasonga tu? Mbona kuna raia kibao wamechanjwa corona na life linasonga fresh tu? Tatizo lako wewe ni nini kwani?
Huyo ni Team Jiwe kutoka Katoro
 
Mbowe kafanikiwa kuwalisha limbwata.

Mwaka wa 50 huu ni mwenyekiti wenu na hakuna mwenye guts za kumuuliza lini atastep down.

Wote mpo kimya mnamuita mwamba.
 
Back
Top Bottom