Hayati Magufuli alikamata kila mwenye akili ya kuhoji, alitaka kuongoza nchi ya Wajinga tu, Hata hivyo ilishindikana

Hayati Magufuli alikamata kila mwenye akili ya kuhoji, alitaka kuongoza nchi ya Wajinga tu, Hata hivyo ilishindikana

Jikite kwenye hoja iliyo mezani , nyuzi kuhusu Mbowe zimejaa tele hapa jf , kachangie huko
Niko ndani ya mada,

Mbowe alishauri wote wasiochanja wapingwe pingu ,wadungwe Chanjo ya CORONA Kwa nguvu,

Magu alikuwa sahihi katika Hilo, na alifanikiwa sana.

Mungu ambariki Nabii Magufuli huko aliko!!
 
Mkt Mbowe kushauri wote wasiohiari kuchanja Chanjo ya korona wakamatwe Kwa nguvu na kufungwa Chanjo ya Coronavirus,

Huoni kwamba Mbowe alionyesha chembe za UDIKTETA?

Tangu lini Chanjo ikawa lazima?
 
Mkt Mbowe kushauri wote wasiohiari kuchanja Chanjo ya korona wakamatwe Kwa nguvu na kufungwa Chanjo ya Coronavirus,

Huoni kwamba Mbowe alionyesha chembe za UDIKTETA?

Tangu lini Chanjo ikawa lazima?
Udikiteta na mbowe ni sawa na wembe kunyoa naniliu!
 
Back
Top Bottom