Hayati Magufuli alikamata kila mwenye akili ya kuhoji, alitaka kuongoza nchi ya Wajinga tu, Hata hivyo ilishindikana

Hayati Magufuli alikamata kila mwenye akili ya kuhoji, alitaka kuongoza nchi ya Wajinga tu, Hata hivyo ilishindikana

Kiongozi wa upinzani aliyeshiriki mazishi ni mrema tu kwanini sio chadema tuanzie hapo halafu tuingie kwa mlinzi wa dkt slaa kujeruhiwa na red bridged chumba cha siri!
Mimi na viongozi wa Chadema tulikuwepo kwenye mazishi yale , ndio maana kwenye makala hii tumeomba sana ukiweka jambo uwe na ushahidi , chama kilichofurumushwa na wananchi kingewezaje kushinda uchaguzi wa marudio ? jiangalie sura halafu jicheke kidogo .
 
Usinitishe. Kwani hiyo picha hapo ni ya Uzushi? Mbowe hakufikishwa Mahakamani kwa Ugaidi?
Wema wake upi huo, mwenye wema anatafuta maridhiano ya kusamehewa?

Kwanini Mbowe mpaka leo asiende mahakamani kushitaki Serikali kwa aliyofanyiwa? Kama yana Ukweli?

Magufuli alikuwa katika vita na Wazungu. Big Corporations
Wakaleta Mamluki na ndio hao hapa Unaowaita 'Mungu'.

Ukweli ni kwamba Vibaraka wao na mawakala wao ndio hawa unaowatetea.

Wacheni hizi deflection kuwa ilikuwa Kwasababu ya hali ya Kidemokrasia. Sio Kweli
Semeni ilikuwa ni Kwasababu za Interest za Kiuchumi za Mabeberu na ndio maana mnashashabikia hizi psychological warfare ili watu waache kupigana vita za Kiuchumi.

Mbowe hata kuja kuwa Raisi wa Nchi hii. Labda afanye kama Zitto awe mbunge tu.
Mahakama ilimkuta Mbowe ana Kesi ya kujibu ya Ugaidi

Mama akamuonea huruma hivyo DPP amemweka Chini ya Uangalizi 🐼🔥
 
Mimi na viongozi wa Chadema tulikuwepo kwenye mazishi yale , ndio maana kwenye makala hii tumeomba sana ukiweka jambo uwe na ushahidi , chama kilichofurumushwa na wananchi kingewezaje kushinda uchaguzi wa marudio ? jiangalie sura halafu jicheke kidogo .
Viongozi wa Chadema waliokuwepo ni Halima Mdee, Esther Bulaya, Lazaro Nyalandu na Mchungaji Msigwa 😂😂
 
Andiko reeeeefu lakini uchafu mtupu

Hayo ni maoni yako. Hatahivyo huna pa kusimamia kwa sababu umehemeka tu.

Ukweli ni Kwamba Wazungu ndio walianzisha kampeni ya Kumchafua. Wewe ni wakala wao. Na sio kampenibya kumchafua tu, bali na Psychological wafrare.

CHADEMA kama vibaraka wa Hawa wazungu nao wamenga'a ng'ania hapo hapo-kuendeleza kampeni za kupaka matope kwa lengo la kuwafanya Vijana wasiwe na mawazo ya Kujitawala kwa Uhuru wa Ukuu wa Taifa.-Sovereign integrity for lack of a better word.

Magufuli alikuwa na Sovereign Integriry, vita mnayompiga, matusi mabaya n.k ambayo nina Uhakika huwa yanawafanya hamlali kwa raha, Indirectly yanalengwa kwa vijana kuwa na Fikra hizo. Kuwa huru.

Mchafu Mbowe atubu dhambi zake na asijifiche kwa kutaka asamehewe nyuma ya pazia ya Maridhiano.
 
Ikiwa tumeingia mwezi wa 3 , ambao kwa mahesabu ya Tanzania na wanazuoni ni mwezi wa Mungu ( wenye akili wameelewa ) , tutajitahidi kuanzia leo na kuelekea mwisho kuwaletea makala za kusikitisha za uozo wa serikali ya awamu ya 5 na viongozi wake , wakiwemo waliokufa na walio hai , wakiwemo wenye madaraka hadi leo na wale ambao wako Benchi .

Tunachoahidi ni kuhakikisha kwamba kila hoja zetu zitakuwa na ushahidi uliotukuka bila longolongo yoyote , kikubwa twende na kanuni ileile ya kwamba AKUANZAE MMALIZE

Pichani ni Tito Magoti aliyetekwa na kunusurika kuuawa na utawala huo akipelekwa mahakamani , nusura yake ilitokana na makelele ya Watu kutaka apatikane akiwa hai , hii ni baada ya Mashuhuda kuona namna alivyotekwa tangu mapema kabisa , huyu aliponea tundu la sindano

View attachment 2933711

Ombi letu ni hili , kila mwenye ushahidi wa mambo yote machafu ya awamu ya 5 ajitokeze kuuleta , katika makala zetu hizi kabambe za Mwezi huu wa Mungu , HATUTAKUWA NA MSWALIE MTUME .

NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO
Yaani bado mnashindana na mtu aliyekwisha fariki?kweli mzimu wa Magufuli ni mkubwa kuliko hivyo vyama vyenu ovyo.
 
Viongozi wa Chadema waliokuwepo ni Halima Mdee, Esther Bulaya, Lazaro Nyalandu na Mchungaji Msigwa 😂😂
Ukilewa usiandike jf , utachekwa , lazaro Nyalandu na Bulaya waliingia Chadema lini na Wangwe alizikwa lini ? uzi huu utawadhalilisha wanafiki wote !
 
Mimi na viongozi wa Chadema tulikuwepo kwenye mazishi yale , ndio maana kwenye makala hii tumeomba sana ukiweka jambo uwe na ushahidi , chama kilichofurumushwa na wananchi kingewezaje kushinda uchaguzi wa marudio ? jiangalie sura halafu jicheke kidogo .
Muongo mkubwa matapeli wakubwa walipeni wale waandishi wa habari huna lolote hakuna aliyetia pua pale mimi nilikuwepo nikiwa na kiongozi wangu Mrema hatukuona chadema yeyote baada ya wakurya kupandisha mori!
 
Thibitisha .
 
Yaani bado mnashindana na mtu aliyekwisha fariki?kweli mzimu wa Magufuli ni mkubwa kuliko hivyo vyama vyenu ovyo.
Hawa watu ni wajinga huwezi amini yaani, Chadema huwa wanasema eti imekusanya watu wasomi, wasomi gani aina hii, watu ambao badala ya kumwaga sera zao, wanamuongelea hayati?

Jinga sana aisee
 
Hawa watu ni wajinga huwezi amini yaani, Chadema huwa wanasema eti imekusanya watu wasomi, wasomi gani aina hii, watu ambao badala ya kumwaga sera zao, wanamuongelea hayati?

Jinga sana aisee
Kuna nyuzi 20 zinakuja bakisha matusi usije ukaishiwa
 
Back
Top Bottom