Hayati Magufuli alikamata kila mwenye akili ya kuhoji, alitaka kuongoza nchi ya Wajinga tu, Hata hivyo ilishindikana

Ikiwa tumeingia mwezi wa 3 , ambao kwa mahesabu ya Tanzania na wanazuoni ni mwezi wa Mungu ( wenye akili wameelewa ) , tutajitahidi kuanzia leo na kuelekea mwisho kuwaletea makala za kusikitisha za uozo wa serikali ya awamu ya 5 na viongozi wake , wakiwemo waliokufa na walio hai , wakiwemo wenye madaraka hadi leo na wale ambao wako Benchi .

Tunachoahidi ni kuhakikisha kwamba kila hoja zetu zitakuwa na ushahidi uliotukuka bila longolongo yoyote , kikubwa twende na kanuni ileile ya kwamba AKUANZAE MMALIZE

Pichani ni Tito Magoti aliyetekwa na kunusurika kuuawa na utawala huo akipelekwa mahakamani , nusura yake ilitokana na makelele ya Watu kutaka apatikane akiwa hai , hii ni baada ya Mashuhuda kuona namna alivyotekwa tangu mapema kabisa , huyu aliponea tundu la sindano

View attachment 2933711

Ombi letu ni hili , kila mwenye ushahidi wa mambo yote machafu ya awamu ya 5 ajitokeze kuuleta , katika makala zetu hizi kabambe za Mwezi huu wa Mungu

NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO
Hizi ni akili za Kipumbavu tu, waTanzania mlizoe kuibia Serikali kwa kukwepa mambo mengi sana, kuhonga maofisi, kuminya na kukwapua mapato yaliyo hitajika kuwafikia waTanzania wote, wivu na uchu wa kubeba mamlaka ili mpige wachache, na tunasema, iko miaka inakuja ataibuka mtu kama huyo huyo atawakomesha, JPM alikua sawa na zaidi ya sawa, si tu waTanzania tunaojua Bali karibu waafrika wote walijua umahili na utetezi wa wananchi aliokua nao JPM, hata mseme nn ni kazi Bure maana watu wana akili sana wanajua ABC kumhusu yule Hayati

Na waTanzania wengi hawana uhakika juu ya kifo chake, yamkini ninyi ni wahusika
 
Hizi ni akili za Kipumbavu tu, waTanzania mlizoe kuibia Serikali kwa kukwepa mambo mengi sana, kuhonga maofisi, kuminya na kukwapua mapato yaliyo hitajika kuwafikia waTanzania wote, wivu na uchu wa kubeba mamlaka ili mpige wachache, na tunasema, iko miaka inakuja ataibuka mtu kama huyo huyo atawakomesha, JPM alikua sawa na zaidi ya sawa, si tu waTanzania tunaojua Bali karibu waafrika wote walijua umahili na utetezi wa wananchi aliokua nao JPM, hata mseme nn ni kazi Bure maana watu wana akili sana wanajua ABC kumhusu yule Hayati
Chadema Ruzuku imeshakata yale mabilioni yameisha
 
Sasa kwa kanuni za Akuanze mmalize, wapo wengi ambao hawakumalizwa. Wewe endelea kuchochea Uhasama na Visasi na Vinyongo halafu watu wakitumia hiyo kanuniyenu ya CHADEMA ya akuanzae mmalize uone Matokeo
Mmekataa Maridhiano ambayo yangeweka mambo haya vizuri sana , sasa nyamazeni tuanike uchafu wote hadharani , ili uchafu huu usirudiwe tena kwenye nchi hii , NEVER AND NEVER AGAIN
 
Bila ya Maridhiana ya Nyumabya Pazia huyu alitakiwa amalizwe na Kanuni za WanaCHADEMA
iu
 
Halafu wananchi wakiwakataa kwenye maandamano yenu uchwara mnasingizia mmerogwa. Mnacheza muziki wa Mbowe bila kutafakari. Mwenzenu kahongwa amtukane jiwe mpaka kajenga mjengo huko kijijini. Jpm keshawapoteza
Tunaomba ushahidi usio na shaka , hivyo ndivyo tumeeleza pale juu , kumbuka huu ni mwezi wa Mungu
 
Ikiwa tumeingia mwezi wa 3 , ambao kwa mahesabu ya Tanzania na wanazuoni ni mwezi wa Mungu ( wenye akili wameelewa ) , tutajitahidi kuanzia leo na kuelekea mwisho kuwaletea makala za kusikitisha za uozo wa serikali ya awamu ya 5 na viongozi wake , wakiwemo waliokufa na walio hai , wakiwemo wenye madaraka hadi leo na wale ambao wako Benchi .

Tunachoahidi ni kuhakikisha kwamba kila hoja zetu zitakuwa na ushahidi uliotukuka bila longolongo yoyote , kikubwa twende na kanuni ileile ya kwamba AKUANZAE MMALIZE

Pichani ni Tito Magoti aliyetekwa na kunusurika kuuawa na utawala huo akipelekwa mahakamani , nusura yake ilitokana na makelele ya Watu kutaka apatikane akiwa hai , hii ni baada ya Mashuhuda kuona namna alivyotekwa tangu mapema kabisa , huyu aliponea tundu la sindano

View attachment 2933711

Ombi letu ni hili , kila mwenye ushahidi wa mambo yote machafu ya awamu ya 5 ajitokeze kuuleta , katika makala zetu hizi kabambe za Mwezi huu wa Mungu

NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO
Ukimaliza kuandika hakikisha ume

Hili liloandika hapa nilijinga fulani tu la jamiii forum linajionaga la maana kumbe paka fulani tu la humu...
Achana na magu
 
Ikiwa tumeingia mwezi wa 3 , ambao kwa mahesabu ya Tanzania na wanazuoni ni mwezi wa Mungu ( wenye akili wameelewa ) , tutajitahidi kuanzia leo na kuelekea mwisho kuwaletea makala za kusikitisha za uozo wa serikali ya awamu ya 5 na viongozi wake , wakiwemo waliokufa na walio hai , wakiwemo wenye madaraka hadi leo na wale ambao wako Benchi .

Tunachoahidi ni kuhakikisha kwamba kila hoja zetu zitakuwa na ushahidi uliotukuka bila longolongo yoyote , kikubwa twende na kanuni ileile ya kwamba AKUANZAE MMALIZE

Pichani ni Tito Magoti aliyetekwa na kunusurika kuuawa na utawala huo akipelekwa mahakamani , nusura yake ilitokana na makelele ya Watu kutaka apatikane akiwa hai , hii ni baada ya Mashuhuda kuona namna alivyotekwa tangu mapema kabisa , huyu aliponea tundu la sindano

View attachment 2933711

Ombi letu ni hili , kila mwenye ushahidi wa mambo yote machafu ya awamu ya 5 ajitokeze kuuleta , katika makala zetu hizi kabambe za Mwezi huu wa Mungu

NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO
Chadema ina vijana wajinga sana, badala mjikite kumshauri mzee Mbowe mbinu ya kushinda uchaguzi ujao

Bado mmejikita kwenye hoja zenu za kikilaza

Iwe iwavyo, Bila JPM, Mh Lisu kawa kama mtoto wa chekechea kwenye siasa
 
Sasa kama mkt Mbowe alishauri watu wote wasiotaka kuchanja wakamatwe na kuchanja Chanjo ya korona Kwa nguvu,

Nani hapo aliyependelea HOJA ya nguvu?
Jikite kwenye hoja iliyo mezani , nyuzi kuhusu Mbowe zimejaa tele hapa jf , kachangie huko
 
Wewe ndio mpumbavu wenye ushetani,kuteswa na kuuawa kwa binadamu mwenzako unaona poa tu,wapi Mr.Saanane?,ni kiapo cha president kulinda raia wake
Upumbavu ni kuendelea kuuliza maswali ya kijinga tu

Saa 8 kwa mjibu wa gazeti mwanahali la aliyekuwa mbunge wa Ubungo, lilisema, mara ya mwisho saa 8 kuonekana, alikuwa na mwenyekiti wenu mzee wembo, kamuulize yeye, na usisahau kumuliza pia kwamba, Chacha wangwe yuko wapi

Muulizie pia kuhusu tuhuma aliyoitoa mzee Sumaye, kuhusu kugombea uwenyekiti
 
Ikiwa tumeingia mwezi wa 3 , ambao kwa mahesabu ya Tanzania na wanazuoni ni mwezi wa Mungu ( wenye akili wameelewa ) , tutajitahidi kuanzia leo na kuelekea mwisho kuwaletea makala za kusikitisha za uozo wa serikali ya awamu ya 5 na viongozi wake , wakiwemo waliokufa na walio hai , wakiwemo wenye madaraka hadi leo na wale ambao wako Benchi .

Tunachoahidi ni kuhakikisha kwamba kila hoja zetu zitakuwa na ushahidi uliotukuka bila longolongo yoyote , kikubwa twende na kanuni ileile ya kwamba AKUANZAE MMALIZE

Pichani ni Tito Magoti aliyetekwa na kunusurika kuuawa na utawala huo akipelekwa mahakamani , nusura yake ilitokana na makelele ya Watu kutaka apatikane akiwa hai , hii ni baada ya Mashuhuda kuona namna alivyotekwa tangu mapema kabisa , huyu aliponea tundu la sindano

View attachment 2933711

Ombi letu ni hili , kila mwenye ushahidi wa mambo yote machafu ya awamu ya 5 ajitokeze kuuleta , katika makala zetu hizi kabambe za Mwezi huu wa Mungu

NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO
Kauli ya Rais Samia inaonesha kila kitu ambacho kwenye Kiswahili unakisoma ikiwemo kwenye nyakati! Rais hajasema kulikuwa kama anavyotaka kutuaminisha Mchengelwa.
20240313_210807.jpg
 
Chadema ina vijana wajinga sana, badala mjikite kumshauri mzee Mbowe mbinu ya kushinda uchaguzi ujao

Bado mmejikita kwenye hoja zenu za kikilaza

Iwe iwavyo, Bila JPM, Mh Lisu kawa kama mtoto wa chekechea kwenye siasa
Mada ni Jiwe na Tito Magoti , haihusiani na huo ujinga ulioandika
 
Mmekataa Maridhiano ambayo yangeweka mambo haya vizuri sana , sasa nyamazeni tuanike uchafu wote hadharani , ili uchafu huu usirudiwe tena kwenye nchi hii , NEVER AND NEVER AGAIN
Msijifiche kwenye chala la "Haki" au "Demokrasia" wala "Uhuru wa Kuhoji"

Semeni Ukweli Watanzania wajue.

Magufuli alikuwa akipambana na Mashirka makubwa ya Wazungu. Big Corporations.

Zaidi ya hapo, waliokuwa na Uhasama na Magufuli walikuwa na hawa Vibaraka wa mabeberu kama kina Mbowe na Lissu. Ukitazama marafiki wao wote wa CHAMA chao, friends of Democracy and what have you ikiongozwa na yule Fashisti wa Italia, utaona kuwa wameshikwa na Fikra(Ideologies) za Kifashisti na Ukuu wa rangi ya ngozi-kama wewe unayutumia lugha zao hapa-utaona CHADEMA imeshanunulika na inasambaza Lugha za Uhasama Visasi na Vinyongo. Hulka za Wazungu

Na ndio maana wakamtuma yule Mercinery kuja kufanya waliyoyafanyam Aliongoza ujumbe wa majadiliano wa makanika.

Halikadhalika

Jenerali aliwauliza, Mlikuwa "mazuzu" mpaka mkashindwa kuhoji?

Maridhiano kwanini yafanyike nyuma ya pazia? CHADEMA mnaficha nini-manake kama mnasema haya masuala yaliyotokea wakati Serikali ikiongozwa na J.P.M yapo wazi, kwqniji msiweke yale mliyoyafanya yawe wazi. Kwanini mnataka Maridhiano yawe na Msamaha? Akuanzae si Ummalize Kwanini Maridhiano yawe na Msamaha.

Wewe endelea kuchagiza haya. Soon sumu zenu hizi zitawafikia hao wasiokuwa na akili ndio mtajua mnajua.

Uzeni sera na sio Uhasama.
 
Ikiwa tumeingia mwezi wa 3 , ambao kwa mahesabu ya Tanzania na wanazuoni ni mwezi wa Mungu ( wenye akili wameelewa ) , tutajitahidi kuanzia leo na kuelekea mwisho kuwaletea makala za kusikitisha za uozo wa serikali ya awamu ya 5 na viongozi wake , wakiwemo waliokufa na walio hai , wakiwemo wenye madaraka hadi leo na wale ambao wako Benchi .

Tunachoahidi ni kuhakikisha kwamba kila hoja zetu zitakuwa na ushahidi uliotukuka bila longolongo yoyote , kikubwa twende na kanuni ileile ya kwamba AKUANZAE MMALIZE

Pichani ni Tito Magoti aliyetekwa na kunusurika kuuawa na utawala huo akipelekwa mahakamani , nusura yake ilitokana na makelele ya Watu kutaka apatikane akiwa hai , hii ni baada ya Mashuhuda kuona namna alivyotekwa tangu mapema kabisa , huyu aliponea tundu la sindano

View attachment 2933711

Ombi letu ni hili , kila mwenye ushahidi wa mambo yote machafu ya awamu ya 5 ajitokeze kuuleta , katika makala zetu hizi kabambe za Mwezi huu wa Mungu

NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO
Unasema kweli unamwambia Nani??? Jiwe yupo kaburini mwaka wa tatu sasa:Kumbukumbu yake imeshafutwa.Ni upuuz na ujinga kuongea kumwongelea, ubaya mtu asiyeweza, kukujibu.Alipokufa tuliona, maelfu ya, wananchi wakilia na we gine wakifariki. Kwann usimwongelee Mbowe, aliyewafanya nyinyi kuwa misukule wake? Ukiwa, mbunge lazima ukatwe million moja .
 
Back
Top Bottom