johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Haya 😂😂😂Nje ya mada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya 😂😂😂Nje ya mada
Hizi ni akili za Kipumbavu tu, waTanzania mlizoe kuibia Serikali kwa kukwepa mambo mengi sana, kuhonga maofisi, kuminya na kukwapua mapato yaliyo hitajika kuwafikia waTanzania wote, wivu na uchu wa kubeba mamlaka ili mpige wachache, na tunasema, iko miaka inakuja ataibuka mtu kama huyo huyo atawakomesha, JPM alikua sawa na zaidi ya sawa, si tu waTanzania tunaojua Bali karibu waafrika wote walijua umahili na utetezi wa wananchi aliokua nao JPM, hata mseme nn ni kazi Bure maana watu wana akili sana wanajua ABC kumhusu yule HayatiIkiwa tumeingia mwezi wa 3 , ambao kwa mahesabu ya Tanzania na wanazuoni ni mwezi wa Mungu ( wenye akili wameelewa ) , tutajitahidi kuanzia leo na kuelekea mwisho kuwaletea makala za kusikitisha za uozo wa serikali ya awamu ya 5 na viongozi wake , wakiwemo waliokufa na walio hai , wakiwemo wenye madaraka hadi leo na wale ambao wako Benchi .
Tunachoahidi ni kuhakikisha kwamba kila hoja zetu zitakuwa na ushahidi uliotukuka bila longolongo yoyote , kikubwa twende na kanuni ileile ya kwamba AKUANZAE MMALIZE
Pichani ni Tito Magoti aliyetekwa na kunusurika kuuawa na utawala huo akipelekwa mahakamani , nusura yake ilitokana na makelele ya Watu kutaka apatikane akiwa hai , hii ni baada ya Mashuhuda kuona namna alivyotekwa tangu mapema kabisa , huyu aliponea tundu la sindano
View attachment 2933711
Ombi letu ni hili , kila mwenye ushahidi wa mambo yote machafu ya awamu ya 5 ajitokeze kuuleta , katika makala zetu hizi kabambe za Mwezi huu wa Mungu
NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO
Arudi CDM kwani alisahau nguo gani kwamba itaanikwa mlingotini?Upendo Peneza: 2025 Chadema ikipata Hata mbunge mmoja wa dawa kama sasa nitarudi Chadema 😄
Chadema Ruzuku imeshakata yale mabilioni yameishaHizi ni akili za Kipumbavu tu, waTanzania mlizoe kuibia Serikali kwa kukwepa mambo mengi sana, kuhonga maofisi, kuminya na kukwapua mapato yaliyo hitajika kuwafikia waTanzania wote, wivu na uchu wa kubeba mamlaka ili mpige wachache, na tunasema, iko miaka inakuja ataibuka mtu kama huyo huyo atawakomesha, JPM alikua sawa na zaidi ya sawa, si tu waTanzania tunaojua Bali karibu waafrika wote walijua umahili na utetezi wa wananchi aliokua nao JPM, hata mseme nn ni kazi Bure maana watu wana akili sana wanajua ABC kumhusu yule Hayati
Wezi wa fedha za Samia leo kimyaaaMbowe ashindwa mahakamani, sasa nyumba yake kufilisiwa baada ya kudhulumu waandishi wa habari.
Sawa mkuuSiasa Siyo Dini bwashee
Unafiki na Undumilakuwili ndio siasa yenyewe
Mmekataa Maridhiano ambayo yangeweka mambo haya vizuri sana , sasa nyamazeni tuanike uchafu wote hadharani , ili uchafu huu usirudiwe tena kwenye nchi hii , NEVER AND NEVER AGAINSasa kwa kanuni za Akuanze mmalize, wapo wengi ambao hawakumalizwa. Wewe endelea kuchochea Uhasama na Visasi na Vinyongo halafu watu wakitumia hiyo kanuniyenu ya CHADEMA ya akuanzae mmalize uone Matokeo
Tunaomba ushahidi usio na shaka , hivyo ndivyo tumeeleza pale juu , kumbuka huu ni mwezi wa MunguHalafu wananchi wakiwakataa kwenye maandamano yenu uchwara mnasingizia mmerogwa. Mnacheza muziki wa Mbowe bila kutafakari. Mwenzenu kahongwa amtukane jiwe mpaka kajenga mjengo huko kijijini. Jpm keshawapoteza
Wewe ndio mpumbavu wenye ushetani,kuteswa na kuuawa kwa binadamu mwenzako unaona poa tu,wapi Mr.Saanane?,ni kiapo cha president kulinda raia wakeInawezekana wewe ni mjinga mmoja wapo .
Ukimaliza kuandika hakikisha umeIkiwa tumeingia mwezi wa 3 , ambao kwa mahesabu ya Tanzania na wanazuoni ni mwezi wa Mungu ( wenye akili wameelewa ) , tutajitahidi kuanzia leo na kuelekea mwisho kuwaletea makala za kusikitisha za uozo wa serikali ya awamu ya 5 na viongozi wake , wakiwemo waliokufa na walio hai , wakiwemo wenye madaraka hadi leo na wale ambao wako Benchi .
Tunachoahidi ni kuhakikisha kwamba kila hoja zetu zitakuwa na ushahidi uliotukuka bila longolongo yoyote , kikubwa twende na kanuni ileile ya kwamba AKUANZAE MMALIZE
Pichani ni Tito Magoti aliyetekwa na kunusurika kuuawa na utawala huo akipelekwa mahakamani , nusura yake ilitokana na makelele ya Watu kutaka apatikane akiwa hai , hii ni baada ya Mashuhuda kuona namna alivyotekwa tangu mapema kabisa , huyu aliponea tundu la sindano
View attachment 2933711
Ombi letu ni hili , kila mwenye ushahidi wa mambo yote machafu ya awamu ya 5 ajitokeze kuuleta , katika makala zetu hizi kabambe za Mwezi huu wa Mungu
NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO
Hili liloandika hapa nilijinga fulani tu la jamiii forum linajionaga la maana kumbe paka fulani tu la humu...Ikiwa tumeingia mwezi wa 3 , ambao kwa mahesabu ya Tanzania na wanazuoni ni mwezi wa Mungu ( wenye akili wameelewa ) , tutajitahidi kuanzia leo na kuelekea mwisho kuwaletea makala za kusikitisha za uozo wa serikali ya awamu ya 5 na viongozi wake , wakiwemo waliokufa na walio hai , wakiwemo wenye madaraka hadi leo na wale ambao wako Benchi .
Tunachoahidi ni kuhakikisha kwamba kila hoja zetu zitakuwa na ushahidi uliotukuka bila longolongo yoyote , kikubwa twende na kanuni ileile ya kwamba AKUANZAE MMALIZE
Pichani ni Tito Magoti aliyetekwa na kunusurika kuuawa na utawala huo akipelekwa mahakamani , nusura yake ilitokana na makelele ya Watu kutaka apatikane akiwa hai , hii ni baada ya Mashuhuda kuona namna alivyotekwa tangu mapema kabisa , huyu aliponea tundu la sindano
View attachment 2933711
Ombi letu ni hili , kila mwenye ushahidi wa mambo yote machafu ya awamu ya 5 ajitokeze kuuleta , katika makala zetu hizi kabambe za Mwezi huu wa Mungu
NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO
Chadema ina vijana wajinga sana, badala mjikite kumshauri mzee Mbowe mbinu ya kushinda uchaguzi ujaoIkiwa tumeingia mwezi wa 3 , ambao kwa mahesabu ya Tanzania na wanazuoni ni mwezi wa Mungu ( wenye akili wameelewa ) , tutajitahidi kuanzia leo na kuelekea mwisho kuwaletea makala za kusikitisha za uozo wa serikali ya awamu ya 5 na viongozi wake , wakiwemo waliokufa na walio hai , wakiwemo wenye madaraka hadi leo na wale ambao wako Benchi .
Tunachoahidi ni kuhakikisha kwamba kila hoja zetu zitakuwa na ushahidi uliotukuka bila longolongo yoyote , kikubwa twende na kanuni ileile ya kwamba AKUANZAE MMALIZE
Pichani ni Tito Magoti aliyetekwa na kunusurika kuuawa na utawala huo akipelekwa mahakamani , nusura yake ilitokana na makelele ya Watu kutaka apatikane akiwa hai , hii ni baada ya Mashuhuda kuona namna alivyotekwa tangu mapema kabisa , huyu aliponea tundu la sindano
View attachment 2933711
Ombi letu ni hili , kila mwenye ushahidi wa mambo yote machafu ya awamu ya 5 ajitokeze kuuleta , katika makala zetu hizi kabambe za Mwezi huu wa Mungu
NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO
Huwezi kumzushia mtu mwema kama Mbowe uongo na ukabaki salamaBila ya Maridhiana ya Nyumabya Pazia huyu alitakiwa amalizwe na Kanuni za WanaCHADEMA
![]()
Jikite kwenye hoja iliyo mezani , nyuzi kuhusu Mbowe zimejaa tele hapa jf , kachangie hukoSasa kama mkt Mbowe alishauri watu wote wasiotaka kuchanja wakamatwe na kuchanja Chanjo ya korona Kwa nguvu,
Nani hapo aliyependelea HOJA ya nguvu?
Upumbavu ni kuendelea kuuliza maswali ya kijinga tuWewe ndio mpumbavu wenye ushetani,kuteswa na kuuawa kwa binadamu mwenzako unaona poa tu,wapi Mr.Saanane?,ni kiapo cha president kulinda raia wake
Kauli ya Rais Samia inaonesha kila kitu ambacho kwenye Kiswahili unakisoma ikiwemo kwenye nyakati! Rais hajasema kulikuwa kama anavyotaka kutuaminisha Mchengelwa.Ikiwa tumeingia mwezi wa 3 , ambao kwa mahesabu ya Tanzania na wanazuoni ni mwezi wa Mungu ( wenye akili wameelewa ) , tutajitahidi kuanzia leo na kuelekea mwisho kuwaletea makala za kusikitisha za uozo wa serikali ya awamu ya 5 na viongozi wake , wakiwemo waliokufa na walio hai , wakiwemo wenye madaraka hadi leo na wale ambao wako Benchi .
Tunachoahidi ni kuhakikisha kwamba kila hoja zetu zitakuwa na ushahidi uliotukuka bila longolongo yoyote , kikubwa twende na kanuni ileile ya kwamba AKUANZAE MMALIZE
Pichani ni Tito Magoti aliyetekwa na kunusurika kuuawa na utawala huo akipelekwa mahakamani , nusura yake ilitokana na makelele ya Watu kutaka apatikane akiwa hai , hii ni baada ya Mashuhuda kuona namna alivyotekwa tangu mapema kabisa , huyu aliponea tundu la sindano
View attachment 2933711
Ombi letu ni hili , kila mwenye ushahidi wa mambo yote machafu ya awamu ya 5 ajitokeze kuuleta , katika makala zetu hizi kabambe za Mwezi huu wa Mungu
NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO
Mada ni Jiwe na Tito Magoti , haihusiani na huo ujinga ulioandikaChadema ina vijana wajinga sana, badala mjikite kumshauri mzee Mbowe mbinu ya kushinda uchaguzi ujao
Bado mmejikita kwenye hoja zenu za kikilaza
Iwe iwavyo, Bila JPM, Mh Lisu kawa kama mtoto wa chekechea kwenye siasa
Msijifiche kwenye chala la "Haki" au "Demokrasia" wala "Uhuru wa Kuhoji"Mmekataa Maridhiano ambayo yangeweka mambo haya vizuri sana , sasa nyamazeni tuanike uchafu wote hadharani , ili uchafu huu usirudiwe tena kwenye nchi hii , NEVER AND NEVER AGAIN
Unasema kweli unamwambia Nani??? Jiwe yupo kaburini mwaka wa tatu sasa:Kumbukumbu yake imeshafutwa.Ni upuuz na ujinga kuongea kumwongelea, ubaya mtu asiyeweza, kukujibu.Alipokufa tuliona, maelfu ya, wananchi wakilia na we gine wakifariki. Kwann usimwongelee Mbowe, aliyewafanya nyinyi kuwa misukule wake? Ukiwa, mbunge lazima ukatwe million moja .Ikiwa tumeingia mwezi wa 3 , ambao kwa mahesabu ya Tanzania na wanazuoni ni mwezi wa Mungu ( wenye akili wameelewa ) , tutajitahidi kuanzia leo na kuelekea mwisho kuwaletea makala za kusikitisha za uozo wa serikali ya awamu ya 5 na viongozi wake , wakiwemo waliokufa na walio hai , wakiwemo wenye madaraka hadi leo na wale ambao wako Benchi .