Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Chadema na CCM ni tofauti?Wewe si ni CHADEMA au umehama tena CHADEMA?
Muulize mbowe na lissu ndip wenye kumbukumbu nzuri!kwamba viongozi wa Chadema hawakushiriki mazishi ya Wangwe
Usimalize matusi , ndio kwanza tumeanzaKachambe kwanza naona nyuma Kuna uharo...
Umeshindwa kuthibitisha , Shut up !Muulize mbowe na lissu ndip wenye kumbukumbu nzuri!
LIpeni waandishi!Umeshindwa kuthibitisha , Shut up !
Yaan demu huyo sema ujui😂Bhana, jiwe hawezi kutembea na huyu mtoa marinda miss Erythrocyte 😂
Huyo huyo Mwendazake Ali Hassan Mwinyi alimwaga misifa kibao pale msibani.Maisha ni Hadithi; Chagua Maisha yako kuwa Hadithi nzuri" Marehemu A.H. Mwinyi
Chomoa tu man kma inauma.Msijifiche kwenye chala la "Haki" au "Demokrasia" wala "Uhuru wa Kuhoji"
Semeni Ukweli Watanzania wajue.
Magufuli alikuwa akipambana na Mashirka makubwa ya Wazungu. Big Corporations.
Zaidi ya hapo, waliokuwa na Uhasama na Magufuli walikuwa na hawa Vibaraka wa mabeberu kama kina Mbowe na Lissu. Ukitazama marafiki wao wote wa CHAMA chao, friends of Democracy and what have you ikiongozwa na yule Fashisti wa Italia, utaona kuwa wameshikwa na Fikra(Ideologies) za Kifashisti na Ukuu wa rangi ya ngozi-kama wewe unayutumia lugha zao hapa-utaona CHADEMA imeshanunulika na inasambaza Lugha za Uhasama Visasi na Vinyongo. Hulka za Wazungu
Na ndio maana wakamtuma yule Mercinery kuja kufanya waliyoyafanyam Aliongoza ujumbe wa majadiliano wa makanika.
Halikadhalika
Jenerali aliwauliza, Mlikuwa "mazuzu" mpaka mkashindwa kuhoji?
Maridhiano kwanini yafanyike nyuma ya pazia? CHADEMA mnaficha nini-manake kama mnasema haya masuala yaliyotokea wakati Serikali ikiongozwa na J.P.M yapo wazi, kwqniji msiweke yale mliyoyafanya yawe wazi. Kwanini mnataka Maridhiano yawe na Msamaha? Akuanzae si Ummalize Kwanini Maridhiano yawe na Msamaha.
Wewe endelea kuchagiza haya. Soon sumu zenu hizi zitawafikia hao wasiokuwa na akili ndio mtajua mnajua.
Uzeni sera na sio Uhasama.
Ushawahi peleka ushahidi wako mahakamani?mwanzo uliuliza Saa 8 yuko wapi, nikakujibu na kukuongezea kwamba, ukifika kwa Wembo, umuulize pia Chachawangwe alimpeleka wapi?
Mbona unakuwa kituko ukiulizwa swali ambalo M/kiti wako anafahamu vema anakokuwa anawapeleka wanaotaka kuchukua kiti chake
Muulize Lissu, iliuma? Amechomoa zote?Chomoa tu man kma inauma.
Mimi nasubilia kuchangia Sana ile mada Jiwe alitaka kumuua Mh Lissu bahati mbaya sir God alimnyonga huwu mwezi huwu,hivi mkuu Erythrocyte hiyi mada utaileta lini?? Maana nimwiba Sana kwa washabiki wa Katili JiweIkiwa tumeingia mwezi wa 3 , ambao kwa mahesabu ya Tanzania na wanazuoni ni mwezi wa Mungu ( wenye akili wameelewa ) , tutajitahidi kuanzia leo na kuelekea mwisho kuwaletea makala za kusikitisha za uozo wa serikali ya awamu ya 5 na viongozi wake , wakiwemo waliokufa na walio hai , wakiwemo wenye madaraka hadi leo na wale ambao wako Benchi .
Tunachoahidi ni kuhakikisha kwamba kila hoja zetu zitakuwa na ushahidi uliotukuka bila longolongo yoyote , kikubwa twende na kanuni ileile ya kwamba AKUANZAE MMALIZE
Pichani ni Tito Magoti aliyetekwa na kunusurika kuuawa na utawala huo akipelekwa mahakamani , nusura yake ilitokana na makelele ya Watu kutaka apatikane akiwa hai , hii ni baada ya Mashuhuda kuona namna alivyotekwa tangu mapema kabisa , huyu aliponea tundu la sindano
View attachment 2933711
Ombi letu ni hili , kila mwenye ushahidi wa mambo yote machafu ya awamu ya 5 ajitokeze kuuleta , katika makala zetu hizi kabambe za Mwezi huu wa Mungu , HATUTAKUWA NA MSWALIE MTUME .
NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO
Mleta mada katoa angalizo kuwa ukileta hoja humu njoo na ushahidi. Tunaomba ushahidi pleaseNiko ndani ya mada,
Mbowe alishauri wote wasiochanja wapingwe pingu ,wadungwe Chanjo ya CORONA Kwa nguvu,
Magu alikuwa sahihi katika Hilo, na alifanikiwa sana.
Mungu ambariki Nabii Magufuli huko aliko!!
Katika nyuzi 20 tutakazoweka hapa kuanzia kesho utaelewa unyama wa jiwe , weka bando tu , tutakuwekea ushahidi mwanana mnoHuyo huyo Mwendazake Ali Hassan Mwinyi alimwaga misifa kibao pale msibani.
Alielezea kwa Ufasaha Hadithi ya Hayat Rais au Alikuwa mnafiki? Unaeza thibitisha unafiki wake?
Alisema kati ya Maraisi wote combined, Magufuli tu ndie aliyeweza kufanya maamuzi makubwa na magumu.
Kwamba ndie aliye kuwa na Uthubutu na Ujeuri. Uthubutu na Ujeuri huo ndio unapigwa vita na sio Magufuli per se
Tuwe wakweli....Wazungu ndio walimchukia sana tu kwa Upana mrefu, Ila walikuta Jiwe ni Jiwe kweli kweli na alishajitoa kafara.
Na hakuficha haya na kutamka wazi kuwa anafanya hivyo.
Sasa leo hii kwanini hawa kina Erythrocyte na genge lao na vi Bots vyao humu hawasemi hayo na badala yake wanatafuta Uhasama wa Watanzania kuwachukia Watanzania wenzao.
Ndio maana kwenye lugha zao za kumkanda, scripted messaging wanamuondoa utu. Akwilina kapigwa risasi au wanaleta picha Tundu Lissu akichechemea au picha ya vyuma vyake vile miguuni, yote hayo kuamsha hisia tu kama picha na Ujumbe(mada hii) wa huyu wakala na kibaraka wa Wazungu Erythrocyte
Wanatukana kiasi kwamba ukiwa na nafsi ambayo ndio inaanza kukomaa , (ya Ujanani)Unaeza kukata tamaa kwa kuogopa haya matusi.
No No No. Magulification has to go on.
Hawawezi kutuua wote
...Wanakandia sera zake.
Hatahivyo ukiwauliza sera gani Wanasema Ben saanane kapotea. Tundu Lissu kapigwa risasi, Ni Ben saanane na Tundu L peke yake waliokuwa wakihoji?
Tutaeleza Hadithi yake.
Ni mkombozi wa Fikra. Na alikuwa kila siku akimaka. Tubadilishe mindset. Hawa sio marafiki zetu.
Usiondoke JF Kwenye mwezi huu wa MunguMimi nasubilia kuchangia Sana ile madam Jiwe alitaka kumuua Mh Lissu bahati mbaya sir God alimnyonga huwu mwezi huwu,hivi mkuu Erythrocyte hiyi mada utaileta lini?? Maana nimwiba Sana kwa washabiki wa Katili Jiwe
Siwezi kuondoka hapa mkuu lazima nijuwe kwanini Jiwe alitaka kumzimisha Mh Lissu,Usiondoke JF Kwenye mwezi huu wa Mungu
Chadema imeturudisha nyuma sana, uchaguzi ujao tuipige chini chadema na serikali yake yote!Sasa hivi una uhuru wa kuhoji ila hauna uhakika kama ukirudi nyumbani utakuta umeme upo na maji yapo. Muda huo huo rais anakuambia kuna mtandao unatafuna pesa za serikali ila hana uwezo wa kuudhibiti. Demokrasia hoyee
Hamuachi huu us.....e kila kukicha..mtu yupo kaburin ila bado tu...watu wa hovyo kabisa.Ikiwa tumeingia mwezi wa 3 , ambao kwa mahesabu ya Tanzania na wanazuoni ni mwezi wa Mungu ( wenye akili wameelewa ) , tutajitahidi kuanzia leo na kuelekea mwisho kuwaletea makala za kusikitisha za uozo wa serikali ya awamu ya 5 na viongozi wake , wakiwemo waliokufa na walio hai , wakiwemo wenye madaraka hadi leo na wale ambao wako Benchi .
Tunachoahidi ni kuhakikisha kwamba kila hoja zetu zitakuwa na ushahidi uliotukuka bila longolongo yoyote , kikubwa twende na kanuni ileile ya kwamba AKUANZAE MMALIZE
Pichani ni Tito Magoti aliyetekwa na kunusurika kuuawa na utawala huo akipelekwa mahakamani , nusura yake ilitokana na makelele ya Watu kutaka apatikane akiwa hai , hii ni baada ya Mashuhuda kuona namna alivyotekwa tangu mapema kabisa , huyu aliponea tundu la sindano
View attachment 2933711
Ombi letu ni hili , kila mwenye ushahidi wa mambo yote machafu ya awamu ya 5 ajitokeze kuuleta , katika makala zetu hizi kabambe za Mwezi huu wa Mungu , HATUTAKUWA NA MSWALIE MTUME .
NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO
Kwakuwa mleta mada amejiridhisha kuwa Mkt aliyasema hayo,Mleta mada katoa angalizo kuwa ukileta hoja humu njoo na ushahidi. Tunaomba ushahidi please