Niko ndani ya mada,Jikite kwenye hoja iliyo mezani , nyuzi kuhusu Mbowe zimejaa tele hapa jf , kachangie huko
Mbowe alishauri wote wasiochanja wapingwe pingu ,wadungwe Chanjo ya CORONA Kwa nguvu,
Magu alikuwa sahihi katika Hilo, na alifanikiwa sana.
Mungu ambariki Nabii Magufuli huko aliko!!