Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Pamoja na mvua kunyesha maeneo ya Pwani bado maeneo mengi hakuna maji; it's like kuna mgao zaidi ya mwezi sasa. Ila magari yakuuza maji yanaongezeka mjini that means wapo watu wanahujumu juhudi za serikali kusambaza maji ili wao wauze maji.
Matokeo yake ni haya kila siku Bomba limepasuka , mgawo nk.
Mdogo wangu Jumaa Awesu hii migawo ikutoe ofisini uende field ukaangalie hizi hujuma zinatokana na nn? Na sasa hivi kutangaza Kwa umma kukatika Kwa maji hakuna.....kimya kimya