Hayati Magufuli alikataza maji na umeme kukatika

Hayati Magufuli alikataza maji na umeme kukatika

Hatuna kiongozi shupavu, mkali aisependa utani ndio maana sasa hiv tunachezewa Sana na Tena unakuta wanatoa sababu za kitoto cos wanajua hawawezi kuwajibishwa
Mama anaponya nchi ..walamba asali wamebaki na masega kabisa
 
Tumechoka na nyinyi waabudu maiti!! Kila kitu Magufuli alisema, mara angekuwako Magufuli!! Hamna lolote ni ujinga mtupu mnaendekeza.

Huyo Magufuli alikuwapo na maji yalikatika vilevile, hata umeme ulikatika. Acheni kuabudu ujinga
Hujui kitu wewe unasikitisha sana
 
Back
Top Bottom