Z zithromax JF-Expert Member Joined Apr 26, 2016 Posts 7,482 Reaction score 7,957 Mar 28, 2023 #21 Hziyech22 said: Hatuna kiongozi shupavu, mkali aisependa utani ndio maana sasa hiv tunachezewa Sana na Tena unakuta wanatoa sababu za kitoto cos wanajua hawawezi kuwajibishwa Click to expand... Mama anaponya nchi ..walamba asali wamebaki na masega kabisa
Hziyech22 said: Hatuna kiongozi shupavu, mkali aisependa utani ndio maana sasa hiv tunachezewa Sana na Tena unakuta wanatoa sababu za kitoto cos wanajua hawawezi kuwajibishwa Click to expand... Mama anaponya nchi ..walamba asali wamebaki na masega kabisa
G Gangala JF-Expert Member Joined Nov 6, 2022 Posts 699 Reaction score 701 Mar 28, 2023 #22 Huihui2 said: Tumechoka na nyinyi waabudu maiti!! Kila kitu Magufuli alisema, mara angekuwako Magufuli!! Hamna lolote ni ujinga mtupu mnaendekeza. Huyo Magufuli alikuwapo na maji yalikatika vilevile, hata umeme ulikatika. Acheni kuabudu ujinga Click to expand... Hujui kitu wewe unasikitisha sana
Huihui2 said: Tumechoka na nyinyi waabudu maiti!! Kila kitu Magufuli alisema, mara angekuwako Magufuli!! Hamna lolote ni ujinga mtupu mnaendekeza. Huyo Magufuli alikuwapo na maji yalikatika vilevile, hata umeme ulikatika. Acheni kuabudu ujinga Click to expand... Hujui kitu wewe unasikitisha sana
Huihui2 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 7,021 Reaction score 11,475 Mar 28, 2023 #23 Gangala said: Hujui kitu wewe unasikitisha sana Click to expand... Wewe unajuwa nini? Kumuabudu Mwendazake tu ndiyo ujinga wenu
Gangala said: Hujui kitu wewe unasikitisha sana Click to expand... Wewe unajuwa nini? Kumuabudu Mwendazake tu ndiyo ujinga wenu