masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Mtu anayefanya uhalifu daima anachukiwa.Hivi kila mtu akisemacho kwa mbaya wako huwa unakiamini na kukikomalia? Tunajua mlimchukia JPM.
Ni mpuuzi tu anayeweza kubeza kazi ya JPM aliyoifanyia nchi hiiMtu anayefanya uhalifu daima anachukiwa.
Je alifanya na kazi ya kumpoteza Ben Saanane?Ni mpuuzi tu anayeweza kubeza kazi ya JPM aliyoifanyia nchi hii
Kazi ya kuteka na kupora mali za watu ni akazi,acha mambo hayo wewe.Ni mpuuzi tu anayeweza kubeza kazi ya JPM aliyoifanyia nchi hii
Sabaya alikua anatumwa kuwashughulikia wahalifu. Sasa msigeuze maneno kama yeye na aliekua anamtuma ndo wahalifu.Kulingana na tunayosikia katika utetezi wa Ole Sabaya huko Arusha, ati alikuwa akiagizwa kufanya vitendo vya kihalifu na Rais Magufuli.
Kama itathibitishwa kuwa ni kweli basi hili linatoa picha ya uvunjifu mkubwa wa sheria uliokuwa ukitekelezwa na Magufuli katika Awamu yake.
Kuna minong'ono mingi ya uhalifu uliofanywa Awamu ya Tano kwa maelekezo "toka juu".
Vile mwendakuzimu amefurahia comment yako kutokea huko kuzimu😁😁😁Hivi kila mtu akisemacho kwa mbaya wako huwa unakiamini na kukikomalia? Tunajua mlimchukia JPM.
Anatumwa kwa utaalamu gani alionao?Sabaya alikua anatumwa kuwashughulikia wahalifu. Sasa msigeuze maneno kama yeye na aliekua anamtuma ndo wahalifu.
Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
Alikuwa jambazi tuHivi kila mtu akisemacho kwa mbaya wako huwa unakiamini na kukikomalia? Tunajua mlimchukia JPM.
Kulingana na ulivyoandika inaonekana Milango yako yote mitano ya fahamu haifanyi kazi vizuri kwa sababu Sabaya siyo mwehu kwa kinywa chake kutamka hayo maneno.Na bila shaka kutokana na mazoea ya kutumwa na huyo mkuu wake(We fanya kazi tembea kifua mbele mimi ndiye rais nitakulinda) Sabaya kwa sababu ya utoto na ukada zaidi aliwadharau baadhi ya wateule wa rais ambao walikuwa juu yake(Rejea ya mama Mghwira) utajua tu alipitiliza.Kulingana na tunayosikia katika utetezi wa Ole Sabaya huko Arusha, ati alikuwa akiagizwa kufanya vitendo vya kihalifu na Rais Magufuli.
Kama itathibitishwa kuwa ni kweli basi hili linatoa picha ya uvunjifu mkubwa wa sheria uliokuwa ukitekelezwa na Magufuli katika Awamu yake.
Kuna minong'ono mingi ya uhalifu uliofanywa Awamu ya Tano kwa maelekezo "toka juu".
Si ndio maana watu walifanya sherehe alipokufaKulingana na tunayosikia katika utetezi wa Ole Sabaya huko Arusha, ati alikuwa akiagizwa kufanya vitendo vya kihalifu na Rais Magufuli.
Kama itathibitishwa kuwa ni kweli basi hili linatoa picha ya uvunjifu mkubwa wa sheria uliokuwa ukitekelezwa na Magufuli katika Awamu yake.
Kuna minong'ono mingi ya uhalifu uliofanywa Awamu ya Tano kwa maelekezo "toka juu".
Wahalifu gani? No one is above the law huwezi kuwa polisi ati the same time ukawa hakimu vile vile ukawa polisi wa magereza.Sabaya alikua anatumwa kuwashughulikia wahalifu. Sasa msigeuze maneno kama yeye na aliekua anamtuma ndo wahalifu.
Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
Unajua mods nao sijui wanakuwa wap..!! Wapi Sabaya kasema alitumwa akafanye ujambazi? Hamjui kusoma au uelewa ni finyu?
Polisi, TAKUKURU, TRA wana kazi gani?Sabaya alikua anatumwa kuwashughulikia wahalifu. Sasa msigeuze maneno kama yeye na aliekua anamtuma ndo wahalifu.
Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
Usijipe matumaini.Kulingana na ulivyoandika inaonekana Milango yako yote mitano ya fahamu haifanyi kazi vizuri kwa sababu Sabaya siyo mwehu kwa kinywa chake kutamka hayo maneno.Na bila shaka kutokana na mazoea ya kutumwa na huyo mkuu wake(We fanya kazi tembea kifua mbele mimi ndiye rais nitakulinda) Sabaya kwa sababu ya utoto na ukada zaidi aliwadharau baadhi ya wateule wa rais ambao walikuwa juu yake(Rejea ya mama Mghwira) utajua tu alipitiliza.
Vile vile yale yote tuliyoyaona,tuliyoyasikia,tuliyoyashuhudia kwenye utawala wa awamu ya tano,inaonekana kuna akina Sabaya zaidi ya hamsini ila tu huyu alidharau baadhi ya wateule wa JPM ndiyo maana anakomolewa.Ingekuwa haki kuna watu wengine wangekuwa kwenye kundi hili kama vile Mnyeti,Kihongosi,Polepole,Bashiru Ally,Bashite,Gwajima,Waitara,Ally Hapi,Mahera,Biswalo,Mrisho Gambo,Homela,Chalamira,Amos Makala,IGP Sirro na wengineo wengi.
Hilo swala la Sabaya mnalichukulia kimzaha sana,kumbuka huyu ndiye aliyeiweza ngome ya Mbowe,hivyo basi alipewa mamlaka na madaraka ambayo mimi na wewe hatufahamu.Kama kuna Chatu huwa anacheza karibu na nyumba yako na ulishamwona siku nyingu siku ukipoteza mbuzi wako na chatu humwoni unafikiri mwizi wa mbuzi wako ni nani?