mwanadome
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,950
- 5,317
Kwa kweli ya kuua na kuharibuNi mpuuzi tu anayeweza kubeza kazi ya JPM aliyoifanyia nchi hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli ya kuua na kuharibuNi mpuuzi tu anayeweza kubeza kazi ya JPM aliyoifanyia nchi hii
Alikua anatumwa kuwakamata wahalifu yeye kama nani??alikua polisi au arusha hakukuwa na polisi wa kukamata wahalifu??....hivi hii nchi tumefika huku kweli??kwamba mkuu wa wilaya anatoka mkoa wake anaenda mkoa mwingine kupiga watu!!...Mungu alitufanyia neema kubwa kumtoa yule mtu duniani....maana kwa namna hii tungeisha...Mungu anaipenda sana tz..Sabaya alikua anatumwa kuwashughulikia wahalifu. Sasa msigeuze maneno kama yeye na aliekua anamtuma ndo wahalifu.
Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
Na wengi tuna toa maoni bila kusoma alichosema ni kweli sijaona akisema alitumwa kufanya uhalifu bali kufuatilia watengeza fedha za bandia ambao kimsingi ni wahujumu uchumi na ndio maana wahusika walio tajwa ni waziri wa fedha na gavanaSabaya alikua anatumwa kuwashughulikia wahalifu. Sasa msigeuze maneno kama yeye na aliekua anamtuma ndo wahalifu.
Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
Tulikuwa tukisema sana wakati ule lakini tulionekana ni wachochezi tu!Kulingana na tunayosikia katika utetezi wa Ole Sabaya huko Arusha, ati alikuwa akiagizwa kufanya vitendo vya kihalifu na Rais Magufuli.
Kama itathibitishwa kuwa ni kweli basi hili linatoa picha ya uvunjifu mkubwa wa sheria uliokuwa ukitekelezwa na Magufuli katika Awamu yake.
Kuna minong'ono mingi ya uhalifu uliofanywa Awamu ya Tano kwa maelekezo "toka juu".
Sabaya aliwaambia wafanyabiashara chagua Magufuli staili au Bashite staili yaani unajihukumu mwenyewe ipi nyepesi kwako.Hivi kila mtu akisemacho kwa mbaya wako huwa unakiamini na kukikomalia? Tunajua mlimchukia JPM.
Mm nataka niwe mpuuzi wa kwaza kazi gani alizofanya jpm hizo ambazo mnamsifia nazoNi mpuuzi tu anayeweza kubeza kazi ya JPM aliyoifanyia nchi hii
Je Sabaya amakana mashtaka au amekubali?Kulingana na tunayosikia katika utetezi wa Ole Sabaya huko Arusha, ati alikuwa akiagizwa kufanya vitendo vya kihalifu na Rais Magufuli.
Kama itathibitishwa kuwa ni kweli basi hili linatoa picha ya uvunjifu mkubwa wa sheria uliokuwa ukitekelezwa na Magufuli katika Awamu yake.
Kuna minong'ono mingi ya uhalifu uliofanywa Awamu ya Tano kwa maelekezo "toka juu".
Mtu hawezi kuchukiwa bure tu bila sababu, magufuli alikuwa mtu mshenzi kabisa.wewe jiulize jiwe alipovuta kwa nini sabaya alilia kama mjane... alijua kinga yake imeondoka...Hivi kila mtu akisemacho kwa mbaya wako huwa unakiamini na kukikomalia? Tunajua mlimchukia JPM.
Mpango aitwe kujibu hoja mahakamani kama ni kweli walimtumaInaonekana ni kweli, ndio maana Sabaya licha ya kurekodiwa na camera akivamia maeneo ya watu na silaha mkononi, lakini hakuwahi kuwa na hofu yoyote na hilo.
Hili linathibitisha kweli alikuwa anatumwa akijua ana ulinzi wa kutosha upande wake, ndio maana siku ya kumuaga Magufuli jamaa alilia kama mtoto akijua fika mwisho wake umewadia.
Lakini pia hili linazidi kuthibitisha yale madai kuwa utawala wa Magufuli ulikuwa unaichukia mikoa ya Arusha na Kilimanjaro, huu unyama uliokuwa unafanywa na Sabaya, akitanguliwa na Mnyeti mikoa hiyo, haukuwahi kuonekana ukifanywa mikoa mingine Tanzania.
Na ww bila kutumia akili wala kufikiria umeingia mzima mzima kwa box!!?Kulingana na tunayosikia katika utetezi wa Ole Sabaya huko Arusha, ati alikuwa akiagizwa kufanya vitendo vya kihalifu na Rais Magufuli.
Kama itathibitishwa kuwa ni kweli basi hili linatoa picha ya uvunjifu mkubwa wa sheria uliokuwa ukitekelezwa na Magufuli katika Awamu yake.
Kuna minong'ono mingi ya uhalifu uliofanywa Awamu ya Tano kwa maelekezo "toka juu".
Wewe unafurahia ?Hivi kila mtu akisemacho kwa mbaya wako huwa unakiamini na kukikomalia? Tunajua mlimchukia JPM.
Kufurahia nini?
Sabaya kutumwa na Mungu Mtu kufanya hayo anayotuhumiwaKufurahia nini?
Inaonekana ni kweli, ndio maana Sabaya licha ya kurekodiwa na camera akivamia maeneo ya watu na silaha mkononi, lakini hakuwahi kuwa na hofu yoyote na hilo.