Hawa wa trilioni 450 walikuwa ni maprofesa vilaza. Sijui wako wapi vilaza wale!!!?
Tukubaliane Jambo moja la ukweli na uwazi Tanzania haijawai Pata Rais mpika takwimu na kujiaminisha Kama alivyokuwa hayati Magufuli!!
1. Tanzania tuliambiwa makusanyo ya TRA ni 2 Trillion per month ila Kwa uhalisia haikuwa hivyo tulivyoambiwa , hapa uhalisia ilikuwa Bilion 900 hadi 1.2 trillion bila kuweka kwenye hesabu uporomokaji wa thamani ya shilling . Hivyo hata marais wajao watateseka kutaka ama kuendelez uongo huu au wazikusanye kweli kwa kuwatesa wananchi na ma Tozo
2. Growth rate ya uchumi ni 7.2 wakati ukweli ni 4.7 ndo hali halisi ya ukuaji wa uchumi ilivyokuwa!!
3. Laizer Kaokota Tanzanate yenye uzito ambao si kawaida !! Kumbe zinatolewa store anapiga picha na kurejesha ili kuhadaa Kwamba Ukuta wa merelani ndo umeleta mafanikio hayo
4. Kwamba Wafanyakazi hewa walikuwa ni 20,000 wakati waliobainika kutokuwa kazini ni 7400 tu ila 137500 walikuwapo kazini ila majina yalikinzana kwenye vyeti ila kazi walifanya kawaida
5. Tembo wameongezeka mara tatu Tripped tokea ashike nchi Kumbe ni uongo tembo waNa interval kubwa ya kuzaa Kwa muda
6. Tanzania hakuna Corona
7. Air Tanzania inapata faida kumbe uongo
8. Mabeberu wana I tagert Tanzania tu kwakuwa tuna madini
9. Kila tajiri ni mwizi na wanapaswa kuishi Kama Mashetani
10. Kuna Mtanzania ameajiriwa na ametengeneza mrija wa kila dakika inaingia Milion 80 kwenye account yake!
11. Masamaki Ana nyumba 74 na viwanja 200 Dar es salaam.
12. Miradi tunajenga kwa Pesa za ndani Kumbe ni WB na waturuki dah
13. Tuna Viwanda 4000 mpaka sasa