ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 3,586
- 3,857
Hussein Mwinyi hana tofauti na wakina Livingstone Lusinde au Rashid Gwajima, wote wamefika hapo walipo kwa ubabe wa magufuli kwenye kuchezea sanduku la kura.
Mnajitahidi kupambana kumnenea uongo ila mmeshindwa mapema sana.Alikuwa mpishi mzuri sana wa takwimu. Mzee alikuwa fix sana yule.
Mbadala ni kuondoa mfumo wote wa watawala waliopo sasa na kuingiza dimbani kikosi kipya kisicho na mawaa.Kipanga tupe better alternatives, mbadala, watu wanaosimamia maslahi ya wananchi leo kwenye bunge hili.
Chuki zimepofua akili yakoSijasoma Uzi wako, ila kuhusu Magufuli alikua anapenda takwimu za kupikwa!!
Hakusema ameanzisha Magufuli aliendeleza au chuki zimepofua akili zakonyie mmbwa,REA imeanza kwa mzee mkapa
Lini alisema ivo unaweza kuleta ushahidi apa Mh. Rais alikuwa anahubiri umhimu wa kuwa na shirika imara kwa ajili ya maendeleo.Takwimu za kusema ATCL inatengeneza faida nono ilhali ni kinyume chake?
Chawa kazinAlikuwa mpishi mzuri sana wa takwimu. Mzee alikuwa fix sana yule.
Huna jicho la kutaza kwa kina,mnamaanisha Kama akianza mkapa,akaendeleza kikwete...yakupasa uchambue takwimu zao katika Hilo,usimsifie aliyepiga bati ukamdharau aliyenunua kiwanja,kusimamisha bomaHakusema ameanzisha Magufuli aliendeleza au chuki zimepofua akili zako
Mapenzi yamepofua Akili yakoChuki zimepofua akili yako
Acha huu ujinga wa kusema uongo sijui inakusaidia nini! Hadi leo takwimu za corona Tanzania hazijulikani kwa Magufuli kuzuia zisikusanywe wala kuwekwa wazi halafu wewe unasema nini?Moja ya takwa la mtu kuwa kiongozi mzuri ni kufahamu takwimu na kuziheshimu. Kama hili eneo upo mtupu huwezi kuongoza vizuri.
Kwa mfano, Tanzania ni nchi ambayo raia wake wengi hawana umeme. Magufuli alilijua hili. Kwa Africa nchi za kiarabu, karibu asilimia 100 ya wananchi wao wanapata umeme.
Kusini mwa Sahara nchi zinazoongoza ni South Africa kwenye 85 na Ghana 83. Kenya asilimia 70 ya wananchi wao wana umeme. Sasa vipi Tanzania? Asilimia 40 tu ya wananchi ndiyo wana access ya umeme.
Magufuli kama mpenda takwimu alitambua hili. Akaanzisha mpango wa ujenzi wa bwawa la Nyerere. Lakini kikubwa alifanya ni kushusha bei ya kuunganisha umeme. Nafikiri hakuna kipindi watu wengi wameunganishiwa umeme kama kipindi cha Magufuli. Sasa awamu ya sita imetengua hilo, kama vile lilikuwa ni anasa tu.
Mtu hawezi kuwa kiongozi mzuri kama hafahamu wala haheshimu takwimu.
Magufuli hajawahi kuheshimu TAKWIMU kamwe kwa kuwa yeye alikuwa ANACHAKACHUA kila ripoti. Magufuli alikuwa ni FORGERY tupu kuanzia PhD yake, biashara ya korosho hadi kilo za makinikia kwenye container ya 20 ft ya ACACIA.Moja ya takwa la mtu kuwa kiongozi mzuri ni kufahamu takwimu na kuziheshimu. Kama hili eneo upo mtupu huwezi kuongoza vizuri.
Kwa mfano, Tanzania ni nchi ambayo raia wake wengi hawana umeme. Magufuli alilijua hili. Kwa Africa nchi za kiarabu, karibu asilimia 100 ya wananchi wao wanapata umeme.
Kusini mwa Sahara nchi zinazoongoza ni South Africa kwenye 85 na Ghana 83. Kenya asilimia 70 ya wananchi wao wana umeme. Sasa vipi Tanzania? Asilimia 40 tu ya wananchi ndiyo wana access ya umeme.
Magufuli kama mpenda takwimu alitambua hili. Akaanzisha mpango wa ujenzi wa bwawa la Nyerere. Lakini kikubwa alifanya ni kushusha bei ya kuunganisha umeme. Nafikiri hakuna kipindi watu wengi wameunganishiwa umeme kama kipindi cha Magufuli. Sasa awamu ya sita imetengua hilo, kama vile lilikuwa ni anasa tu.
Mtu hawezi kuwa kiongozi mzuri kama hafahamu wala haheshimu takwimu.
Hawa wa trilioni 450 walikuwa ni maprofesa vilaza. Sijui wako wapi vilaza wale!!!?Magufuli hajawahi kuheshimu TAKWIMU kamwe kwa kuwa yeye alikuwa ANACHAKACHUA kila ripoti. Magufuli alikuwa ni FORGERY tupu kuanzia PhD yake, biashara ya korosho hadi kilo za makinikia kwenye container ya 20 ft ya ACACIA.
Alisema tungepata USD 190 Billion sawa na Tsh 450 Trillion!
Ni kichaa tu anayeweza kumsifu Magufuli kwa kuziamini TAKWIMU
Tukubaliane Jambo moja la ukweli na uwazi Tanzania haijawai Pata Rais mpika takwimu na kujiaminisha Kama alivyokuwa hayati Magufuli!!Hawa wa trilioni 450 walikuwa ni maprofesa vilaza. Sijui wako wapi vilaza wale!!!?
Washauri ninao ila si mazezeta na dhaifuHata ww,unaweza kuwa mshauri kwa nchi yako. Mawazo finyu. Kwahiyo ww huna washauri..?
Kwa kweli anasikitisha mno, hata wafanyakazi serikalini wanamdharau.....nobody takes her serious zaidi ya wasaidizi wake wanao ogopa kutumbuliwa.Mama kawekwa madarakani na team kikwete, lazima alipe fadhira kwa gharama zenu.
Moja ya takwa la mtu kuwa kiongozi mzuri ni kufahamu takwimu na kuziheshimu. Kama hili eneo upo mtupu huwezi kuongoza vizuri.
Kwa mfano, Tanzania ni nchi ambayo raia wake wengi hawana umeme. Magufuli alilijua hili. Kwa Africa nchi za kiarabu, karibu asilimia 100 ya wananchi wao wanapata umeme.
Kusini mwa Sahara nchi zinazoongoza ni South Africa kwenye 85 na Ghana 83. Kenya asilimia 70 ya wananchi wao wana umeme. Sasa vipi Tanzania? Asilimia 40 tu ya wananchi ndiyo wana access ya umeme.
Magufuli kama mpenda takwimu alitambua hili. Akaanzisha mpango wa ujenzi wa bwawa la Nyerere. Lakini kikubwa alifanya ni kushusha bei ya kuunganisha umeme. Nafikiri hakuna kipindi watu wengi wameunganishiwa umeme kama kipindi cha Magufuli. Sasa awamu ya sita imetengua hilo, kama vile lilikuwa ni anasa tu.
Mtu hawezi kuwa kiongozi mzuri kama hafahamu wala haheshimu takwimu.
Kuheshimu takwimu? HALAFU MAISHA YA AZORY, BENI SAANANE, TUNDU LISSU, AKWILINA HUYAHESHIMUMoja ya takwa la mtu kuwa kiongozi mzuri ni kufahamu takwimu na kuziheshimu. Kama hili eneo upo mtupu huwezi kuongoza vizuri.