Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alipokuwa Waziri katika Wizara mbalimbali alikuwa mtiifu na mzalendo.Hata alipochaguliwa kuwa Rais 2015 alionekana mtu wa kuja kuiongoza nchi vizuri sana kuliko waliomtangulia lakini kinyume chake baada ya kumaliza miezi sita ya mwanzo aligeuka kuwa chatu mmeza mbuzi.Alikuwa mwovu okay! Sasa maraisi wite walimpa wizara mbalimbali mpaka wapinzani mkawa mnampigia makofi bungeni..... sasa huo uovu mvona hamkuw hamsemi?
Baada kupata donge nono kwa maza mnaamua kumrushia mawe mtu ambaye hayupo duniani... aisee ni ngumu kumfuta kwenye kumbukumbu za watanzania mana mnavomsema ishaonekana nyie ni matapeli na msiopenda mema bali muishi kwa kupewa keki ya taufa!
Tunajua ile kumsema tyu vibaya Magufuli hela ishaingiachuko!
Rekodi yako wewe inajulikana wazi,wala hujifichi,lkn ukweli unajulikana,magufuli amekufa akiwa mstari wa mbele akiipambania nchi yake,Alipokuwa Waziri katika Wizara mbalimbali alikuwa mtiifu na mzalendo.Hata alipochaguliwa kuwa Rais 2015 alionekana mtu wa kuja kuiongoza nchi vizuri sana kuliko waliomtangulia lakini kinyume chake baada ya kumaliza miezi sita ya mwanzo aligeuka kuwa chatu mmeza mbuzi.
Wanalipwa mkuu,Alipokuwa Waziri katika Wizara mbalimbali alikuwa mtiifu na mzalendo.Hata alipochaguliwa kuwa Rais 2015 alionekana mtu wa kuja kuiongoza nchi vizuri sana kuliko waliomtangulia lakini kinyume chake baada ya kumaliza miezi sita ya mwanzo aligeuka kuwa chatu mmeza mbuzi.
Kama yeye alikuwa mwema kwanini alibagua watu kwa vyama, makabila na ukanda? Leo anasema jambo moja kesho anafanya kitu tofauti! Kwanini alishirikiana na watu kama Sabaya, Makonda, Hapi, TISS, DPP na DCI, mahakama na Polisi kuteka, kunyang'anya pesa na mali za watu na kuua kisha anajifanya mcha Mungu?!Salute,
Aliyekuwa rais wa Tanzania, awamu ya tano, Hayati John Pombe Magufuli, alikuwa na sura kuu mbili:
1. Ndie kiongozi anayetuhumiwa kwa udicteta, ukatili, kunyang'anya watu pesa, ufisadi na kuzima democrasia, lkn kundi hili linalo mtuhumu ni kundi ambalo alilishughurikia kiukamilifu na kwa nguvu kubwa, kwenye kundi hili utawakuta mafisadi, wahujumu uchumi, wakwepa kodi, vyeti feki, na wazembe kazini. Hili ndio kundi la watu waovu linalomwona jpm ni mwovu, na kamwe halitatokea limpende, ni mbwehe walionyang'anywa mwana kondoo wakimtafuna, ni kama mainzi kwenye mzoga.
2. Kuna kundi la machinga, wakulima wadogowadogo, bodaboda, mama lishe, wachimbaji wadowadogo, wafugaji, na raia woote wanaotii sheria, walimwona JPM ni kiongozi mwema na zawadi kutoka kwa Mungu, aliletwa na mungu ili kuja kuondoa kero zao, hawa mpk kesho huwambii kitu kwa JPM, nao wanaitwa sukuma gang.
3. Pia kuna kundi la watanzania wazalendo, wenye uchungu wa kweli na hii nchi, waliokuwa wanachukia wakiona nchi inavyotafunwa na kundi la mbweha toka CCM, humu utawakuta viongozi wa dini, Wakristu na Waislamu, wasomi, wanasiasa toka upinzani, wanasiasa toka CCM, (ambao ni Wazalendo) wakulima na wafanyakazi, kundi hili linamwona magufuli ndio alikuwa mwarobai wa matatizo ya nchi, hawa ndio mpk mda huu wanamtetea JPM na kumwona kama mwokozi wa nchi hii, hili ndio kundi linaloitwa sukuma gang, japo si kweli kuwa hawa watu ni Wasukuma.
MAGUFULI NI MWOVU KWA WATU WAOVU, NA NI MWEMA KWA WATU WEMA
Kwani wale waliopeleka China kwa hapa wapo kundi gani chiefSalute,

Huyu magufuli unaemsema hapa, ni yule alyesema ukichagua mpinzani sahau maendeleo? Ni yule aliyeagiza nyumba za kimara zibomolewe na za Mwanza ziachwe? Ni yule aliyesema kaskazini wasubiri? Ni yule aliyekuwa rais wakati raia wanapotea, wanaokotwa kwenye viroba, Lissu anapigwa risasi na hakutaka uchunguzi ufanyike? Ni yule aliyefupisha ajira ya CAG professor Assad baada kufukua upotevuwa 1.5t? Ni yule muwongo aliyeokota vichwa vya treni bandarini? Ni yule aliyesema mapapai, mbuzi na oil zimepatikana na corona?Haya ndio Maneno ya Mhe.Hayati na JPM.
"Nataka niwaambie Ndugu zangu SIKU MOJA MTANIKUMBUKA na Mimi ninajua MTANIKUMBUKA kwa MAZURI si kwa MABAYA kwa sababu nimeyatoa sadaka maisha yangu kwa ajili ya Watanzania masikini. Kwa hiyo tusimame Pamoja,tusibaguane kwa vyama tusibaguane kwa ajili ya dini zetu, tusibaguane ata kwa Makabila yetu SISI TUIJENGE TANZANIA".
Kwenye hii DUNIA Kuna watu watao kupenda na watakao kuchukia.
Alipokuwa waziri alikuwa kwenye mipaka kimamlaka, hangeweza kutenda uovu alotenda baada ya kuwa rais.Alikuwa mwovu okay! Sasa maraisi wite walimpa wizara mbalimbali mpaka wapinzani mkawa mnampigia makofi bungeni..... sasa huo uovu mvona hamkuw hamsemi?
Baada kupata donge nono kwa maza mnaamua kumrushia mawe mtu ambaye hayupo duniani... aisee ni ngumu kumfuta kwenye kumbukumbu za watanzania mana mnavomsema ishaonekana nyie ni matapeli na msiopenda mema bali muishi kwa kupewa keki ya taufa!
Tunajua ile kumsema tyu vibaya Magufuli hela ishaingiachuko!
KabisaaaMachizi pekee wanaomuona magufuli kama mkombozi
Ndoto za alinacha hizoUovu wake ni mzuri sana maana alikataza wizi ambao mlikua mnafanya ila sasa ni wakati wenu huu kutamba ibeni tu ila jehanamu inawasubiri.
Mambo aliyoyafanya jpm kwa Taifa hili yako wazi,kila mtu anayajua na Dunia nzima inayajua, hebu nidhibitishie tuhuma hata moja ya jpm?,uwe na ushahidi usiatia mashaka hata kidogo,Kama yeye alikuwa mwema kwanini alibagua watu kwa vyama, makabila na ukanda? Leo anasema jambo moja kesho anafanya kitu tofauti! Kwanini alishirikiana na watu kama Sabaya, Makonda, Hapi, TISS, DPP na DCI, mahakama na Polisi kuteka, kunyang'anya pesa na mali za watu na kuua kisha anajifanya mcha Mungu?!
Kubambikia watu kesi kisha pesa za plea bargain anapelekwa kuzificha China?! Wema gani huo?! Si ndio maana Mungu akamuona kazidi na akiendelea kuishi ataumia watu wengi sana, mwisho akatoa kibali akafa kibudu kama kuku wa kideri ili kuokoa raia!
Wema upi kwani angetumia kanuni za kawaida za kisheria na kikatiba asingekuwa Rais?
Mrundi atuhañgaishe hivyo!
Serikali ingekuwa na mpango wa kumuua lissu isingefanya huo upumbavu wa kijinga,Huyu magufuli unaemsema hapa, ni yule alyesema ukichagua mpinzani sahau maendeleo? Ni yule aliyeagiza nyumba za kimara zibomolewe na za Mwanza ziachwe? Ni yule aliyesema kaskazini wasubiri? Ni yule aliyekuwa rais wakati raia wanapotea, wanaokotwa kwenye viroba, Lissu anapigwa risasi na hakutaka uchunguzi ufanyike? Ni yule aliyefupisha ajira ya CAG professor Assad baada kufukua upotevuwa 1.5t? Ni yule muwongo aliyeokota vichwa vya treni bandarini? Ni yule aliyesema mapapai, mbuzi na oil zimepatikana na corona?
Hata Yesu Kristo alipoondoka duniani walisema yule mla rushwa, jambazi, anayekula nacwenye dhambi!Salute,
Aliyekuwa rais wa Tanzania, awamu ya tano, Hayati John Pombe Magufuli, alikuwa na sura kuu mbili:
1. Ndie kiongozi anayetuhumiwa kwa udicteta, ukatili, kunyang'anya watu pesa, ufisadi na kuzima democrasia, lkn kundi hili linalo mtuhumu ni kundi ambalo alilishughurikia kiukamilifu na kwa nguvu kubwa, kwenye kundi hili utawakuta mafisadi, wahujumu uchumi, wakwepa kodi, vyeti feki, na wazembe kazini. Hili ndio kundi la watu waovu linalomwona jpm ni mwovu, na kamwe halitatokea limpende, ni mbwehe walionyang'anywa mwana kondoo wakimtafuna, ni kama mainzi kwenye mzoga.
2. Kuna kundi la machinga, wakulima wadogowadogo, bodaboda, mama lishe, wachimbaji wadowadogo, wafugaji, na raia woote wanaotii sheria, walimwona JPM ni kiongozi mwema na zawadi kutoka kwa Mungu, aliletwa na mungu ili kuja kuondoa kero zao, hawa mpk kesho huwambii kitu kwa JPM, nao wanaitwa sukuma gang.
3. Pia kuna kundi la watanzania wazalendo, wenye uchungu wa kweli na hii nchi, waliokuwa wanachukia wakiona nchi inavyotafunwa na kundi la mbweha toka CCM, humu utawakuta viongozi wa dini, Wakristu na Waislamu, wasomi, wanasiasa toka upinzani, wanasiasa toka CCM, (ambao ni Wazalendo) wakulima na wafanyakazi, kundi hili linamwona magufuli ndio alikuwa mwarobai wa matatizo ya nchi, hawa ndio mpk mda huu wanamtetea JPM na kumwona kama mwokozi wa nchi hii, hili ndio kundi linaloitwa sukuma gang, japo si kweli kuwa hawa watu ni Wasukuma.
MAGUFULI NI MWOVU KWA WATU WAOVU, NA NI MWEMA KWA WATU WEMA
Na wale watanzania waliomaliza vyuo na kuwafungia ajira watamwonaje, wale ambao alizuia wasipandishwe madaraja yao km sheria inavyotaka miaka yote ile je watamwonaje?Salute,
Aliyekuwa rais wa Tanzania, awamu ya tano, Hayati John Pombe Magufuli, alikuwa na sura kuu mbili:
1. Ndie kiongozi anayetuhumiwa kwa udicteta, ukatili, kunyang'anya watu pesa, ufisadi na kuzima democrasia, lkn kundi hili linalo mtuhumu ni kundi ambalo alilishughurikia kiukamilifu na kwa nguvu kubwa, kwenye kundi hili utawakuta mafisadi, wahujumu uchumi, wakwepa kodi, vyeti feki, na wazembe kazini. Hili ndio kundi la watu waovu linalomwona jpm ni mwovu, na kamwe halitatokea limpende, ni mbwehe walionyang'anywa mwana kondoo wakimtafuna, ni kama mainzi kwenye mzoga.
2. Kuna kundi la machinga, wakulima wadogowadogo, bodaboda, mama lishe, wachimbaji wadowadogo, wafugaji, na raia woote wanaotii sheria, walimwona JPM ni kiongozi mwema na zawadi kutoka kwa Mungu, aliletwa na mungu ili kuja kuondoa kero zao, hawa mpk kesho huwambii kitu kwa JPM, nao wanaitwa sukuma gang.
3. Pia kuna kundi la watanzania wazalendo, wenye uchungu wa kweli na hii nchi, waliokuwa wanachukia wakiona nchi inavyotafunwa na kundi la mbweha toka CCM, humu utawakuta viongozi wa dini, Wakristu na Waislamu, wasomi, wanasiasa toka upinzani, wanasiasa toka CCM, (ambao ni Wazalendo) wakulima na wafanyakazi, kundi hili linamwona magufuli ndio alikuwa mwarobai wa matatizo ya nchi, hawa ndio mpk mda huu wanamtetea JPM na kumwona kama mwokozi wa nchi hii, hili ndio kundi linaloitwa sukuma gang, japo si kweli kuwa hawa watu ni Wasukuma.
MAGUFULI NI MWOVU KWA WATU WAOVU, NA NI MWEMA KWA WATU WEMA
CrapSalute,

Alikuwa mzuri sana kwa wajinga, wasio na upeo, waliopungukiwa akili, uelewa na maarifa.Wapinzani nisehemu ya tatizo kwenye maendeleo yetu.
Magu hakutaka ujingaujinga wa kuleana na kupeana viposho posho.
Alitaka kila sent yetu itumike kusuport maendeleo ndio maana hakua na muda wa kupoteza kubembeleza bembeleza wahuni.
Walimchukia kwasababu aliwabana na kuwaumbua mchana kweupe.
Let's be serious kidogo.
Yeye akikuwa mwizi nambari oneUovu wake ni mzuri sana maana alikataza wizi ambao mlikua mnafanya ila sasa ni wakati wenu huu kutamba ibeni tu ila jehanamu inawasubiri.
Amua uwe jambazi haramia kupindukia, unaandikwa mara nyingi na wakati wote.Dah.. Natamani niwe kama Magufuli.
Nikifa kila siku watu waniandike mimi. Miaka miwili sasa jamaa alikufa ila kama anaishi