Hayati Magufuli alikuwa mtawala na siyo kiongozi

Wewe huoni injustices zilizopo?Badala ya kutueleza masuala ya wafu,ungeielimisha jamii inapataje utawala bora unaozingatia haki.Au basi ungehamasisha ushiriki wa jamii kwenye maendeleo.
Nenda kafungue darasa la kusifia sifia labda utapata chochote kikusaidie maishani
 
Ulita awe kiongozi ili iweje, bora alivyokua mtawala watu waliheshimiana japo alikua na mapungufu yake
 
Lazima ikuguse.ulidhani atadumu, na Kama angesifiwa unge kenua meza hiyo .
Atadumu sana mioyoni kwa majority Tanzanians, na ndicho kinachowaumiza roho mnabaki mkipambana na maiti yake, mnapoteza muda wenu, ameacha disciples wengi sana, anza nenda kawaulize machinga.

Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Tuki msifia Rais wetu mpendwa mama SSH, hampendi , tukizunguzumzia maovu yaliyo tendwa na kuweka wazi maovu ili watu na vizazi vijavyo vitambue, pia hamtaki du. Sawa semeni nyinyi yanayo wapendeza.
Mbowe amefungwa na nani, aya endelea kumsifia mama yenu, mama ni msafi kabisa.

Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Hata mods nao siwaelewi ,ukitwanga kali kuhusu mfano Mbowe au Samia au yule hakimu aliemfunga Sabaya wanaondoa uzi kwa kuunganisha ,sasa hizi Nyuzi dhidi ya hayati Magufuli zinamkono nyuma yake,amini
Acha watu wajue uovu wa yule baba ( R.I.P)! Alitutesa sana watz! Mbona kina Hitler mpaka leo habari zao zinaandikwa?
 
Tena mtawala dhalimu kabisa.
 
JPM ameshafariki.Kumbukumbu lake limefungwa tayari.Ww uliye hai jitahid ufanye ya kwako ,ili siku na ww kumbukumbu yako ikifungwa uwe umejiandaa.Ukiona MTU anamuongelea marehemu.Ujue huyo ni mnafiki,mchawi,mdini .Kwa hiyo ndugu yangu usiwe kwenye kundi hilo la wasio na maarifa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…