Hayati Magufuli alikuwa mtawala na siyo kiongozi

Kwa hiyo weye huwezi kumzungumzia Joni kwa lolote lile? Tatizo unataka azungumzwe katika uga uupendao tu.Pokea yote ili umpime.
 
Kwa hiyo weye huwezi kumzungumzia Joni kwa lolote lile? Tatizo unataka azungumzwe katika uga uupendao tu.Pokea yote ili umpime.
Kwa hiyo nimpime marehemu.Ambaye hayupo.Ambaye hawezi kujibu.Tusikose maarifa kiasi hicho.
 
Atadumu sana mioyoni kwa majority Tanzanians, na ndicho kinachowaumiza roho mnabaki mkipambana na maiti yake, mnapoteza muda wenu, ameacha disciples wengi sana, anza nenda kawaulize machinga.

Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
Kwani wamachinga kupangiwa maeneo maalum kwa ajili ya biashara zao ni kosa ? Hawajafungiwa biashara Bali wame elekezwa maeneo . Ebu angalia miji yetu ilivyo kuwa misafi, Ila kwako Hilo nalo ni upofu.
 
Kwani wamachinga kupangiwa maeneo maalum kwa ajili ya biashara zao ni kosa ? Hawajafungiwa biashara Bali wame elekezwa maeneo . Ebu angalia miji yetu ilivyo kuwa misafi, Ila kwako Hilo nalo ni upofu.
Hujui ya nayo tokea mwanza, lile eneo hawakustahili kutolewa.

Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
 
I
Kwa hiyo nimpime marehemu.Ambaye hayupo.Ambaye hawezi kujibu.Tusikose maarifa kiasi hicho.
Inapimwa nyama ya ng'ombe aliyekwisha chinjwa sembuse "regase"!Unapima aliyoyatenda na wala haujaambiwa ukamuhoji ili atoe majibu.Hajaulizwa maswali ila kaacha aliyoyaishi.Jaribu kuelewa.
 
Mbowe amefungwa na nani, aya endelea kumsifia mama yenu, mama ni msafi kabisa.

Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
Nilikuwa si elewi kumbe Mbowe Kisha fungwa ? Nilidhani bado anatuhumiwa, naona uko vizuri Sana kwenye Mambo ya kisheria, bigup.
 
I

Inapimwa nyama ya ng'ombe aliyekwisha chinjwa sembuse "regase"!Unapima aliyoyatenda na wala haujaambiwa ukamuhoji ili atoe majibu.Hajaulizwa maswali ila kaacha aliyoyaishi.Jaribu kuelewa.
Kwa hiyo Ngo'mbe huwa INA akili.?
 
Kwa hiyo nimpime marehemu.Ambaye hayupo.Ambaye hawezi kujibu.Tusikose maarifa kiasi hicho.
Kumbuka kuwa bila ya kuwa na matukio mema na mabaya yaliyo Kwisha kupita hatuwezi kujifunza kwa yanayo tukabili mbeleni.
 
Wewe nikikuita Zumbukuku nitakuwa nimekosea?

Nyerere, Mkapa na Magufuli walishafariki. Ila ni wawili tu wanazungumziwa, Nyerere ambaye anazungumziwa kwa mazuri yake na huyo Jiwe ambaye anazungumziwa kwa mabaya. Kwa hiyo kaa kwa kutulia, acha muambiwe namna Jiwe alivyoharibu hii nchi.

Hivi Jiwe wa kutaka kubadili Historia yetu kweli? Na kulazimisha watoto wetu wamsome kuanzia vidudu mpaka Chuo! Ule mtaala wa somo wa Historia umeyeyuka kama barafu juani.

Hivi Jiwe alikuwa anajisikiaje alipokuwa anatoa amri Sio Binadamu wenzake, ila Watanzania wenzake wauae!
 
Nilikuwa si elewi kumbe Mbowe Kisha fungwa ? Nilidhani bado anatuhumiwa, naona uko vizuri Sana kwenye Mambo ya kisheria, bigup.
Woi, kumbe najadiliana na ujinga. Kwa iyo kwa upeo na akili zako, mbowe yupo huru pale, ulimsikia Samia BBC lkn? Umesikia hoja kinzani za kina mbowe zilivyotupiliwa mbali mahakamani.
Nakwambiaje, soon, mtajua hamjui.

Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Kwamba hakuna wanaomzungumzia nyerere vibaya, au unadhani hakuna wanaomzungumzia magufuli vizuri

Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe mahakani sasa anafuata Nini, mi najua kuwa ataanza kutumikia kifungo Mara tu mahakama itakapo thibisha na kutoa hukumu kuwa amebainika na kosa.
Kinacho pelekea mtu kuwa mahabusu ni pamoja na kuweza kupatikana kiurahisi pale anapokuwa anahitajika kufika mahakani, lakini pia ni kwa ajili ya usalama wake na wa jamii inayo mtuhumu, asije Pata madhara yoyote yanayo tokana na hizo tuhuma. PATA HIYO.
 
Wewe mpumbavu na wenzako mnaotunga maada kila siku humu na Chagadema yako ndo unawakirisha mawazo ya wote? Unataka kusema Magufuli ana mabaya tu hana mazuri? Au huyo Nyerere anamazuri tu hana mabaya! Hoja hauna ushabaki kijifariji ujinga na upumbavu na kikundi chenu hasa nyinyi wachaga na chadema ndo mna akili hizi za kipumbavu!
 
Tunataka watawala wengi zaidi wa kutulindia rasilimali zetu
 
Magufuli alikuwa mwizi, fisadi, muongo, mzinzi, mtekaji, mtesaji na muuaji. Tusiukimbie ukweli kuhusu yule dhalimu.

Una ukabila wa kipuuzi. Na mm sio mchaga wala mpinzani. Narudia..... UNA UKABILA WA KIPUUZI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…