Hayati Magufuli alikuwa mtawala na siyo kiongozi

Taja mazuri yake.Masaburi weye!
 
Vyeti bana!
 
Akili huna kwani wewe hujawahi kufunga samaki katka madimbwi makubwa huwezi kuangalia idadi ya mita za mraba halafu unaangalia kila mita moja ya mraba wana kaa samaki wangapi? Halafu zidisha kwa mita zote

Kujua idadi mbona kawida tu unaoneka una upeo mudogo wa kufikiri sana
Ukishapewa cheo tu kikubwa kuliko wenzio tayari unawatawala ndiyo maana kila raisi ana walinzi kiongozi yeyote yule huwa hana walizi

Ulimuona yesu ndiye alikuwa kiongozi

Nyerere alikuwa mtawala ndiyo maana alikuwa na walinzi

Mwinyi alikuwa mtawala ndio maana alikuwa na walinzi

Mkapa alikuwa mtawala ndio maana alikua na walinzi

Kikwete alikuwa mtawala ndiyo maana alikuwana walinzi


MAGUFULI jiwe , mtetezi w wanyonge
Shujaa wa kwel aliogopwa na kuchukiwa na wazungu aliyenunua denge nyingi na meli , kiongozia aliyesababisha , wapinzani wapate vyeo ndani ya serikali , alisababisha wapinzani waonekane hawana mchango wowote kwenye hii nchi

Alikuwa na walinzi maana alikuwa mtawala

Samia suruhu hasani , msaidizi wa raisi aliyefanya serikali iwe ya watu wote hakuna kundi maalumu la serikali

Ana walinzi , maana anatawala kwa sasa MUNGU AMTANGULIE TUNAIMANI NAYE


NENO MTAWALA USIRUHUSU KICHWA CHAKO KILIFAFANUE KAMA LILIVYOTAFSIRIWA NA MABEBERU

ANGALIA KWA MTAZAMO WAKO KAMA MTU HURU KIFIKIRA

LET NOT YOUR MIND BE COLONIZED
THE COLONIALISTS IS NOT YOUR DICTIONARY, IS NOT YOUR REFERENCE,
 
Amina sana
 
Na yeye alisema "...siyo wakati wa utawala wangu"
 
Itachukua miaka 20 kumsahau chuma ,vyeti feki hamuwezi kumsahau kamwe mpaka mnaingia kaburini kenge nyie.
 
Kwenye ukomunisti na ujamaa hakuna kiongozi kuna Mtawala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…