Hayati Magufuli alikuwa mtetezi wa wanyonge kweli au alikuwa na lengo la kuwafanya watanzania wote wawe wanyonge?

Ni kipindi chake ndo machinga(wanyonge) walikuwa wengi na wanaongezeka daily na hakuna mpango mkakati wowote wa kuwapunguza kwa kupanua sector binafsi mana serikali ilikataa kabisa kuajiri kisa Barbara.

Sector binafsi ilikufa kabisa au iikuwa inapumulia mashine kiasi ambacho wote waliokuwa wameajiriwa kule walikuja kulingana na wenzao kutembeza nguo, vyombo na dawa za panya barabarani halafu ni graduates.

Huwezi kuwa mtetezi wa wanyonge na wakati huohuo unawanyonga zaidi.

Kipindi hiki sector binafsi inashine Yale mahoteli yote pale manzeshe, Arusha nk yanafanya kazi na watalii wamefurika huko pia viwanda vyote vya chumvi bagamoyo vilivyofunga biashara kipindi Cha jpm vinafanya kazi na wanyonge wameajiriwa huko.

Sasa kwa mantiki hii nani anapaswa kuwa mtetezi wa wange? Samia au jpm!!
Achana na Magufuli, hayupo. Hangaika na Mama yako.
 
Ni kipindi chake ndo machinga(wanyonge) walikuwa wengi na wanaongezeka daily na hakuna mpango mkakati wowote wa kuwapunguza kwa kupanua sector binafsi mana serikali ilikataa kabisa kuajiri kisa Barbara.
Wewe ni Mzushi na Mwongo.
Kwamba Hayat Rais hakuwa na mikakati?
Sikiliza Maagizo yake hapa
View: https://m.youtube.com/watch?v=eoqj1rlxQVA&pp=ygUpYWdpem8gbGEgUmFpc2kgTWFndWZ1bGkga3VodXN1IHdha2FjaGluZ2E%3D

Ati kuwapunguza wamachinga ndio Suluhisho! Wewe ni mtu hatari sana kwa Taifa la Watanzania.
 
Sector binafsi ilikufa kabisa au iikuwa inapumulia mashine kiasi ambacho wote waliokuwa wameajiriwa kule walikuja kulingana na wenzao kutembeza nguo, vyombo na dawa za panya barabarani halafu ni graduates.
Muongo! Umebandika haya maneno juu kuja kuwatukana Watanzania.
Haya chini yalisemwa na Sekta Binafsi Tanzania. TPSF

View: https://m.youtube.com/watch?v=uX1Y9jeOmOw&pp=ygUwV2FmYW55YWJpYXNoYXJhIHdhIFNla3RhIEJpbmFmc2kgV2FtcG9uZ2V6YSBSYWlz

Huna takwimu wala data.
 
🐒🐒🐒
gNe7h.jpg
 
Ni kipindi chake ndo machinga(wanyonge) walikuwa wengi na wanaongezeka daily na hakuna mpango mkakati wowote wa kuwapunguza kwa kupanua sector binafsi mana serikali ilikataa kabisa kuajiri kisa Barbara.

Sector binafsi ilikufa kabisa au iikuwa inapumulia mashine kiasi ambacho wote waliokuwa wameajiriwa kule walikuja kulingana na wenzao kutembeza nguo, vyombo na dawa za panya barabarani halafu ni graduates.

Huwezi kuwa mtetezi wa wanyonge na wakati huohuo unawanyonga zaidi.

Kipindi hiki sector binafsi inashine Yale mahoteli yote pale manzeshe, Arusha nk yanafanya kazi na watalii wamefurika huko pia viwanda vyote vya chumvi bagamoyo vilivyofunga biashara kipindi Cha jpm vinafanya kazi na wanyonge wameajiriwa huko.

Sasa kwa mantiki hii nani anapaswa kuwa mtetezi wa wange? Samia au jpm!!
Haita kusaidia sana. Huyu aliyepo ajiuzulu tu nchi imemshinda kuongoza.
 
Alitaka wote tz kuwa wanyonge

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Muongo! Umebandika haya maneno juu kuja kuwatukana Watanzania.
Haya chini yalisemwa na Sekta Binafsi Tanzania. TPSF

View: https://m.youtube.com/watch?v=uX1Y9jeOmOw&pp=ygUwV2FmYW55YWJpYXNoYXJhIHdhIFNla3RhIEJpbmFmc2kgV2FtcG9uZ2V6YSBSYWlz

Huna takwimu wala data.

Maguli allikuwa anapika data ndo mana akapeleka mswada bungeni kwamba takwimu ili mtu yeyote asihoji. Hali ilikuwa mbaya kwenye ground mpaka akina Mo walitaka kukimbia. Manji yeye alikimbiza nchi kabisa na kusabisha ajira za vijana elfu 3 kupoteza wakaanza kuuza vyombo tu mtaani
 
Wewe ni Mzushi na Mwongo. Tetea hoja zako badala ya kuanza kuja na Uwongo mwingine.

Mshindwe.

Nafikiri kati ya wale watu ambao wanahusika katika usambazaji wa Takwimu hasi na za Kupikwa ni wewe. Wacha upotoshaji.
 
Ni kipindi chake ndo machinga(wanyonge) walikuwa wengi na wanaongezeka daily na hakuna mpango mkakati wowote wa kuwapunguza kwa kupanua sector binafsi mana serikali ilikataa kabisa kuajiri kisa Barbara.

Sector binafsi ilikufa kabisa au iikuwa inapumulia mashine kiasi ambacho wote waliokuwa wameajiriwa kule walikuja kulingana na wenzao kutembeza nguo, vyombo na dawa za panya barabarani halafu ni graduates.

Huwezi kuwa mtetezi wa wanyonge na wakati huohuo unawanyonga zaidi.

Kipindi hiki sector binafsi inashine Yale mahoteli yote pale manzeshe, Arusha nk yanafanya kazi na watalii wamefurika huko pia viwanda vyote vya chumvi bagamoyo vilivyofunga biashara kipindi Cha jpm vinafanya kazi na wanyonge wameajiriwa huko.

Sasa kwa mantiki hii nani anapaswa kuwa mtetezi wa wange? Samia au jpm!!
Wanyonge ilikua ni approaching yake ili ku win political popularity ingaw sio mbaya maan kila kiongoz huja na trick zake. Btw yapo mamb aliweka on track very well!!
 
Upumbavu mwingi sana kwa vijana wa ccm,
Umeandika ujinga tupu
 
Back
Top Bottom