Hayati Magufuli alimpa shamba Bhakresa sasa hivi anazalisha sukari na kaajiri vijana elfu moja

Hayati Magufuli alimpa shamba Bhakresa sasa hivi anazalisha sukari na kaajiri vijana elfu moja

eddy

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2007
Posts
16,054
Reaction score
11,568
HilI shamba tungegawia vijana elfu moja wasingezalisha hata sukari guru, tungewakuta mlandizi wakiuza Juice ya miwa
 
Sababu juice inalipa. Vijana wakiandaliwa mazingira ya kuziona fursa wanaweza
 
HilI shamba tungegawia vijana elfu moja wasingezalisha hata sukari guru, tungewakuta mlandizi wakiuza Juice ya miwa...
Dharau zingine jaribu kupunguzsa hapo kwa bakhressa kiwandani umewai Fanya Kazi? Unajua kuwa vijana wanalipwa Hadi Elfu mbili kwa siku na ukipata mkataba hauzidi 150k
 
Sasa ulitaka ulipwe shilingi ngapi?
Ukitaka fedha nyingi fanya biashara yako
 
Hata wakulima nao inasemekana wameajiriwa
 
Mnavyosifia hizo ajira 1000 wakati mishahara ya kinyonyaji?
 
Kazi zinazohusisha nguvu huwezi lipwa Pesa nyingi.

Watu wanalipa zaidi elimu.

So wapo wanalipwa pesa ndogo na Wakulipwa pesa ndefu wapo pia.

Kama unaona unanyonywa acha. Nenda wasikonyonya.
 
Back
Top Bottom