johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Woops, what a coincidence !!!!Haya mambo huendaga na Nyota kwahiyo mh January tarehe 21 July inakuwaga na jambo lake
Ila natania tu ππ
Kwako Mshana Jr kilingeni Miono
Utajiri wa Januari unakadiriwa kuwa ............!msiwape watoto majina ya january hayafiki desember
Kuna mwaka wapambe wake walitushambulia ati tunavuruga nyota yakeHaya mambo huendaga na Nyota kwahiyo mh January tarehe 21 July inakuwaga na jambo lake
Ila natania tu ππ
Kwako Mshana Jr kilingeni Miono
Et akiwa rais?,nyanoko!Mheshimiwa January Makamba ana nini na tarehe 21 July. Ukiangalia kuenguliwa kwake uwaziri mara mbili na Marais wawili tofauti ni tarehe hiihii miaka tofauti na hutumbuliwa usiku.
Kuna nini?
Akiwa Rais wa JMT anguko lake pia ni 21 July?
Wewe unaona haiwezekani? Kumbuka hakupaswa hata kuwa kiongozi lakini katuongozea wizara mbili. Hii nchi hata chizi anaweza kuwa Rais tukamtazama tu.We jamaa kiazi kweli.
Yaani tusubiri awe rais ndio tuprove hiyo 21/07??
Wewe unaona haowezekani? Kimbuka hakupaswa hata kiongozi lakini katuonozea wizara mbili. Hii nchi hata chizi anaweza kuwa Rais tukamtazama tuWe jamaa kiazi kweli.
Yaani tusubiri awe rais ndio tuprove hiyo 21/07??
CoincidenceMheshimiwa January Makamba ana nini na tarehe 21 July. Ukiangalia kuenguliwa kwake uwaziri mara mbili na Marais wawili tofauti ni tarehe hiihii miaka tofauti na hutumbuliwa usiku.
Kuna nini?
Akiwa Rais wa JMT anguko lake pia ni 21 July?
Tarehe 21/7,21/9 au 21/6 hasa ikiwa kwa mfano za 2006,2009,2015,2024,2033 etc.ni demonic signatures, meaning the Devil is responsible.Sasa Makamba anajua mazingira yake,sisi wengine hatuwezi kumsemea sana.Mheshimiwa January Makamba ana nini na tarehe 21 July. Ukiangalia kuenguliwa kwake uwaziri mara mbili na Marais wawili tofauti ni tarehe hiihii miaka tofauti na hutumbuliwa usiku.
Kuna nini?
Akiwa Rais wa JMT anguko lake pia ni 21 July?
HapanaUlishawahi kuvuta bangi?
It is not,hakuna kitu kinachotokea kwa mtu,au in politics is a coincidence,nothing mkuu,everything is planned.Just a coincidence